Sehemu ya mahubiri ya Mchungaji Dr.John Chege Wanjohi (PhD), kutoka nchini Kenya ambaye pia ni Balozi wa Amani wa Umoja wa Mataifa. Nimeweka tafsiri isiyo rasmi;
"Mmeona ripoti ya Larry Madowo na jinsi watu walivyouawa Tanzania? Kama tulichoona ni kweli, serikali imeua watu wengi kiasi kile...
Sijajua kama Mwigulu anafikiria kabla ya kuzungumza. Jana Novemba 24, 2025 na leo pia wakati anazungumza na wahariri amesema kulikuwa na watu wamezamia maandamano ambapo walikuwa hawajui hata kiswahili.
Wawe waliandamana au walibeba silaha kuua watu, huu ni udhaifu mkubwa sana kwa serikali hii...
Akizungumza na Wahariri wa vyombo vya habari leo Novemba 25, 2025 Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba ametaja tathmini ya awali ya miundombinu ya serikali na vitu vya wananchi binafsi vilivyoharibiwa wakati wa vurugu za Oktoba 29, Ameonyesha kusikitishwa na...
Akizungumza katika Mkutano na Wahariri wa Vyombo vya Habari, uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam, leo Novemba 25, 2025, Waziri Mkuu wa Tanzania Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba amesema baada ya uchaguzi kulitokea msukosuko uliohusisha...
Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba, anazungumza na wahariri wa vyombo vya habari pamoja na waandishi wa habari, akihitaji nguvu kuunganishwa ili kufikia malengo ya Dira 2050.
Prof. Palamagamba Kabudi, Waziri wa Habari Utamaduni, Sanaa na Michezo
Nawashukuru Wahariri na vyombo vya habari Tanzania kwa...
Familia ya Dainesy, msichana wa miaka 28 aliyeuawa na polisi katika tukio la Oktoba 29 huko Tabata, imeupata mwili wa mpendwa wao baada ya siku kadhaa za sintofahamu na mateso ya kutokujua alipopelekwa.
Kupitia taarifa ya Esha Buheti, ambaye amejitambulisha kama ndugu wa marehemu, familia...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema miundombinu ya Mkoa huo imeendelea kudumu na kuimarika kutokana na ufanisi wa vyombo vya ulinzi na usalama, ambavyo vimefanya kazi kubwa katika kudhibiti athari za maandamano ya Oktoba 29, 2025.
Akizungumza leo Novemba 24, 2025 katika...
Waziri Mkuu wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema uundwaji wa tume ya kuchunguza matukio yaliyotokea siku na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 ni hatua muhimu ya kitaifa, akisisitiza kuwa tume hiyo ni ya Watanzania na imeundwa kwa masilahi ya nchi, si kwa malengo ya kisiasa.
Ametoa...
Labda nianze kuuliza kimombo, "Have you ever thought that you will witness someone who is killing people very passionately and proudly, like it is something he was always dreaming of and it is now happening?"
Binafsi nilidhamiria kuandamana hata ningekuwa peke yangu, kuonesha kuwa sikubaliani...
Serikali ya Tanzania imefanya mkutano wake wa kwanza na waandishi wa habari tangu uchaguzi wenye utata uliofanyika takriban siku 25 zilizopita.
Larry Madowo wa CNN ameripoti kuwa mkutano huo ulifanyika baada ya uchunguzi wa CNN kuhusu vifo vilivyotokea wakati wa uchaguzi. Hata hivyo, licha ya...
Wakuu,
Kwani nyinyi mliokuwepo mliona nini? 🤕
==
Rais Samia amewashukuru wananchi wa Mikoa ya Arusha na Kilimanjaro kwa imani kubwa waliyompatia katika uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, akiahidi kurejea tena Mkoani Arusha kutoa shukrani zake kwa wananchi.
Samia amesema hayo Ijumaa Novemba...
Andrew Nyerere, mtoto wa kwanza wa Hayati Mwalimu Nyerere amesema "Maiti ziliokotwa barabarani, majeruhi walipelekwa mochwari kumaliziwa Serikali ikiri kwamba ilifanya makosa"
Tangu internet imeachiwa sijapata hisia za mwanamke kabisa yani Kila nikiona hizo videos mtandaoni watu wamekufa kama mbuzi yan
Sikudhani kama ingefika siku watanzania tukafanyiana vitendo vya kinyama kiasi hiki.?
Unaua tu hata kama umetumwa lakin pia askari muwe mnatumia hata akili za kawaida...
Rais Samia amesema "Tunaambiwa kwamba vijana wale walioingia kudai haki walilipwa fedha kwanza ndiyo wakaingia barabarani, na wengi wao waliingia barabarani kutokana na hizo fedha walizopewa. Je, fedha hizo zilitoka wapi?" wakati akizindua Tume huru ya uchunguzi wa Matukio ya uvunjifu wa Amani...
Mtaalamu wa uchumi, Prof. Samuel Wangwe, amesema Tume ya Rais ya kuchunguza chanzo cha machafuko ya Oktoba 29, 2025 inapaswa kuangalia pande zote, ikiwemo Jeshi la Polisi, kutokana na tetesi kwamba nao walihusika katika vitendo visivyo vya kiungwana.
Akizungumza kwenye kipindi cha Mizani...
Hivi kwanini wanataka raia tuwasamehe na siyo kuwataka watu wao wawajibike kwa uovu wao? Kwahiyo sheria zilitungwa kwa ajili gani ikiwa wahalifu hawashughulikiwi?
==
Mkuu wa Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere, Prof. Marcelinna Chijoriga, amesema kutokana na hali ilivyo nchini kwa...
Wakuu, hii ni breaking news na habari kubwa mno, Ushahidi wa mauaji ya Mo29 yamefika ICC.Nimeattach hii voice notes.Kweli nimeamini Ogopa Mungu na Teknolojia kwa huu ushahidi Hachomoi nawaambia ndugu zangu, siku za mwizi ni arobaini.
1.Ushahidi wa Video
2.Ushahidi wa picha za Satellite...
Wakuu habari za mda huu.
Kuna kijana mmoja huko TikTok anaitwa Habil & Kabil ukifuatilia video zake na tuhuma anazo toa juu ya Haji Kheir ni nzito sana na za kuogepesha mno.
Pia soma: Haji Omar Kheir - Mshauri wa Rais Ikulu, ana uhusika na mauaji Uchaguzi 2025?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.