Rais Samia Suluhu amesema hali iliyotokea nchini wakati wa uchaguzi mkuu imeitia doa nchi, na kwamba huenda ikapunguza sifa ya kupata mikopo kirahisi, hivyo ameagiza viongozi kutafuta zaidi fedha za ndani ili kutekeleza miradi.
Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza baada ya kuwaapisha Mawaziri...
Kesi inayowakabili watuhumiwa 11 kati ya 172 wanaodaiwa kuhusika na matukio ya uhalifu yaliyotokea baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, imeahirishwa hadi Novemba 26 mwaka huu baada ya upande wa mashitaka kudai kuwa upelelezi bado haujakamilika.
Watuhumiwa hao upande wa Wilaya ya...
Kiongozi wa Taasisi ya Asaalam Islamic Foundation Sheikh Muharram Mziwanda ameeleza kushangazwa na Kauli ya Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) kuwa kilichofanyika Oktoba 29, 2025 ilikuwa maandamano na si vurugu, uharibifu na wizi kama ilivyoshuhudiwa katika maeneo mbalimbali...
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limetaka kufanyika uchunguzi wa mauaji ya Oktoba 29 kupitia Taasisi huru, uchunguzi ambao utashirikisha wadau wa ndani na nje ya nchi na kuongozwa na vyombo visivyoegemea upande wowote ikiwemo taasisi za dini na taasisi huru za kimataifa ili ukweli...
Rais Samia awaambia wabungge na waliohudhuria bunggeni kusimama kwa dk 1 kuwaombea wote waliopeta maisha, waliojeruhiwa wapone haraka, na pole kwa wale wote waliopoteza mali zao kipindi hiko. Akisema yeye binafsi ameumia sana.
Amessma serikali imeunda tume kuchunguza kilichofanyika, akisema...
Mchungaji Rose Shaboka ameiambia DW kuwa serikali pia lazima ijitoe ili kuzungumza wazi na wananchi katika kuliponya taifa, Lazima Wantanzania wakubali kilichotekea, na kutafuta suluhu kwa siku zijazo.
Anaandika Mwanasiasa na mwanaharakati Godlisten Malisa.......
"CRDB Bank imetoa maua na tuzo ya pole kwa The Voice Bar Kinyerezi, inayodaiwa kuharibiwa kutokana na ghasia za Oktoba 29. Ni jambo jema kuwajali wateja wenu kwa kiwango hiki, na kwa hilo nawapongeza.
Lakini je, vipi kuhusu mamia ya...
Wananchi, wakiwa na huzuni na mshikamano, walizika nguo za marehemu aliyeuawa na polisi baada ya mwili wake kutokupatikana ishara ya kuenzi utu na kupaza sauti ya haki.
Ubalozi wa Norway unatoa pole za dhati kwa wote walioathirika na matukio ya hivi karibuni nchini Tanzania.
Tunaungana na familia na jamii zilizopoteza wapendwa wao na pia na wale wote wanaokabiliana na changamoto za kipindi hiki kigumu. Fikra zetu ziko pamoja nanyi, na tunaheshimu kumbukumbu za...
Akizungumza kuhusu hali ya baada ya uchaguzi, Mtaalamu wa Saikolojia, Leonard Mgina amesema kuwa kuendelea kuwakamata watu kutokana na matukio yaliyotokana na uchaguzi kunachochea majeraha ya kisaikolojia na kudhoofisha jitihada za kujenga taifa lenye umoja na amani.
“Ni muhimu sasa kuelekeza...
Katika kongamano la African Renaissance lililofanyika Lukenya University nchini Kenya, Rais wa zamani wa Botswana, Ian Khama, alitoa kauli yenye mguso akisema “hamtambui Rais Samia Suluhu Hassan kama kiongozi halali wa Tanzania.” Alieleza kuwa uchaguzi wa mwaka 2025 ulitawaliwa na vitisho, vifo...
Kutokana na hali ya uvunjifu wa amani na kupotea kwa utu nchini Tanzania, nimeamua kujiuzulu rasmi katika nafasi yangu ya Balozi wa Utalii.
Nimesikitika sana kuwaangusha Watanzania kwa ujumla, pamoja na ndugu yangu aliyeniteua, Mheshimiwa Hamisi Kigwangalla, na marafiki wengi niliowapata...
Diaspora wa Watanzania nchini Canada, ambayo inajumuisha moja ya jamii kubwa zaidi ya raia wa Tanzania wanaoishi nje ya Afrika, wameandamana ikiwa ni juhudi za kimataifa za kupigania madai ya ukiukwaji wa haki za binadamu kufuatia uchaguzi wa Oktoba 29 nchini Tanzania na kusababisha mauaji...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Mohamed Ali Kawaida amevunja ukimya na kuzungumza kwa mara ya kwanza kuhusu matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea tarehe 29 na 30 Oktoba 2025, akisema kwa masikitiko kuwa vurugu hizo zimefanywa kwa kiasi kikubwa na vijana...
Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Lake Oil Group, Stephen Mtemi, ameeleza kusikitishwa kwake na kitendo cha watu kuchoma vituo vya mafuta vya kampuni hiyo, akisema mbali na hasara kubwa iliyotokea, Watanzania zaidi ya 300 waliokuwa wakifanya kazi kwenye vituo hivyo sasa wako nyumbani bila kazi...
HAKI ya kwanza na ya muhimu kwa raia yoyote ni haki ya kuishi.
Hakuna mali wala miundombinu wala maendeleo yoyote yanaweza kulinganishwa na uhai wa raia mmoja TU.
Uhai wa mtu hauna mbadala tunao mara Moja TU.
Kama maendeleo ni Kwa ajili ya watu ,ukishaua raia wako hayo maendeleo Yana faida gani...
Hivi ndivyo Gen Z huko Mbeya walivyomuaga mwenzao kishujaa, aliyefariki kwenye maandamano makubwa ya kitaifa yaliyofanyika siku ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 29 hadi 31, 2025 na kusababisha polisi kuua mamia ya raia.
Baada ya Mauaji ya Oct 29-31, 2025 CCM na serikali yake wametuma Vijana mitandaoni na viongozi wengine wanatoa matamko kuonyesha kuwa wao wameumizwa zaidi na kuharibiwa Mali za serikali na bàadhi ya Mali za watu binafsi walionasibishwa na CCM zaidi ya walivyoumizwa na vifo vya Watanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.