vifo maandamano tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Madeleka: Matukio ya Oktoba 29 yale ni Mauaji siyo Vurugu, kuzungumza Vurugu ni kudogosha “Mauaji”

    Wakili Peter Madeleka akiwa kwenye Mjadala wa Kitaifa kuhusu hatma ya Nchi uliofanyika leo Mei 16, 2026 amesema; "Nchi yetu ipo kwenye msiba. Na kwa mara ya mwisho tangu mwaka 1907... mwaka 2025 nchi imeshuhudia mamia ya Watanzania wakiuawa bila sababu za msingi na bila uwajibikaji wowote...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Warioba: Naamini Vifo vya Oktoba 29 vilikuwa vingi zaidi kuliko wanavyosema

    "Wamesema vifo na vilitokea vipi... mimi naamini vifo vilikuwa vingi zaidi kuliko wanavyosema. Lakini wanasema kulikuwa na vitendo vya uvunjaji wa sheria, na wanapendekeza iundwe tume nyingine iende kuchunguza na wale ambao walitenda nje ya sheria wawe personally accountable. Maana yake wanasema...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 CHADEMA yaikataa rasmi Ripoti ya Tume ya Jaji Chande, yadai ni njama za kuficha ukweli, yataka uchunguzi wa kimataifa

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinarejea msimamo wake wa awali wa tarehe 19 Novemba 2025 kutotambua mchakato mzima wa Tume iliyoundwa na Samia Suluhu Hassan, na kinapinga kwa ujumla wake ripoti iliyowasilishwa leo tarehe 23 April 2026 na Tume hiyo chini ya Jaji Mohamed Chande...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia atumia vifungu vya Biblia na Qur'an kutoa wito wa toba

    Rais Samia Suluhu Hassan ametumia vifungu vya Biblia na Qur'an kutoa wito wa toba, unyenyekevu na kuomba msamaha kwa Mungu kufuatia Matukio ya Oktoba 29 yaliyoikumba nchi. Akinukuu Biblia katika kitabu cha 2 Mambo ya Nyakati 7:14, Rais Samia amesema, “Ikiwa watu wangu, walioitwa kwa jina langu...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Hii ni ripoti ya Rais, aliyeunda Tume ni Rais, wasitokee watu wengine wakadai ownership

    Rais Samia amesema; "Mmeshuhudia ripoti niliyokabidhiwa na mavitabu yale yaliyoko pale. Hii ni ripoti ya Rais. Aliyeunda tume ni Rais na ripoti yote hii ni ya Rais. Kwa hiyo, wasitokee watu wengine wakadai ownership ya ripoti hii, ni ripoti ya Rais. Nilisema tume za huko nyuma zilikuwa zinabanwa...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Ni sisi tuliopoteza watoto wetu, haiwezekani asiye Mtanzania awe na uchungu zaidi yetu

    Rais Samia akipokea ripoti amesema; "Kwa desturi ya waungwana, linapotokea jambo la hasara na kuumiza mioyo, matarajio ni kufarijiwa badala ya kuzodolewa kwa vyovyote vile. Kwa vyovyote vile, walioumizwa na tukio lile ni sisi Watanzania. Ni sisi tuliopoteza watoto wetu, ni sisi tuliopoteza ndugu...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande: Serikali itenge Siku ya Maombolezo ya Kitaifa kuwakumbuka waliokufa Oktoba 29

    Mwenyekiti wa Tume, Jaji Mohamed Chande Othman, amesema Tume imewasilisha mapendekezo mbalimbali ya muda mfupi, wa kati na mrefu, huku akisisitiza kuwa hakuna pendekezo lolote linalopendekeza kuanzishwa kwa taasisi mpya. Amesema "Tume inawasilisha mapendekezo mbalimbali yakiwemo ya muda mfupi...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande: Tume imepokea ushahidi toka kwa Watu 63,603

    Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Jaji Mohamed Chande Othman, amesema Tume hiyo imepokea ushahidi kutoka kwa Watanzania 63,603 kwa njia mbalimbali. Amesema ushahidi huo umepatikana kupitia mahojiano...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume ya Uchunguzi ya Matukio ya Oktoba 29 kuwasilisha ripoti Aprili 23, 2026

    Tume ya Uchunguzi ya matukio ya Oktoba 29 inatarajiwa kuwasilisha ripoti yake tarehe 23 mwezi huu (Alhamisi) kwa Rais Samia Suluhu. Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Othman Chande, wakati akizungumza na waandishi wa habari leo Aprili 21, 2026 katika ofisi za Tume jijini Dar es...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwabukusi: Tunahitaji ukweli uliokamilika waliotekwa wako wapi? Na wa 'Mauaji ya Halaiki' ya Oktoba 29, 2025

    Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, amevitaka vyombo vya dola na taasisi za usimamizi wa uchaguzi kutoa majibu ya haraka kuhusu kile alichokiita "Mauaji ya Halaiki" na upotezwaji wa miili ya raia uliotokea Oktoba 29, 2025, akisisitiza kuwa taifa haliwezi kupona...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LHRC: Tume iache danadana; Watanzania wanahitaji uwajibikaji

    Siku chache baada ya taarifa ya Tume ya kuchunguza matukio ya uvunjifu wa amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 kuongezewa muda kwa mara ya pili, baadhi ya wadau wa masuala ya utawala bora na haki za binadamu, wakiongozwa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) na Twaweza...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Shabiki wa Simba, K-Mziwanda: Hakuna tukio lililoniumiza kama la Oktoba 29, nimepoteza washkaji watu ambao nawafahamu kabisa

    Shabiki maarufu wa Klabu ya Simba, K-Mziwanda amesema hakuna tukio lililomuumiza kama la Oktoba 29, 2025 kwani alipoteza marafiki (washkaji) wengi anaowafahamu "Kuna tukio jingine... sasa hili ni baya zaidi ambalo sipendi hata kulizungumzia. Hakuna tukio lililoniumiza kama la Oktoba 29."...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 John Heche: Walitufuata na kutupa masharti ili Lissu aachiliwe, tumekataa kuwapigia magoti

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amesema hali ya kiafya ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu na mazingira yanayomkabili, ambaye amekuwa akishikiliwa kwa kile alichokiita "kesi ya uongo," amekosa vipindi muhimu vya uchunguzi wa afya yake (check-up) ambavyo vilipaswa kufanyika kila baada...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande: Hatujapewa muda wa ziada ili kuchakachua ripoti ya vurugu za uchaguzi

    Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa matukio ya vurugu za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Mohamed Chande Othman, amekanusha uvumi kuwa nyongeza ya muda wa Tume hiyo imelenga kuchakachua ripoti yake. Akizungumza, Jaji Chande alisema sababu za kuomba kuongezewa muda wa siku 21 ni pamoja na ukubwa...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande: Tume ya Matukio ya Oktoba 29 inajitegemea kwa kila kitu, hatuna dalali

    Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Oktoba 29, Jaji Mohamed Chande Othman, amesema kuwa tume hiyo haiingiliwi katika maamuzi yake wala haina dalali yeyote katika utekelezaji wa shughuli zake, na kuwa tume hiyo ipo huru. Jaji Chande ameyasema hayo leo, Aprili 08, 2026, alipokuwa...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Diamond Platnumz: Naogopa kuongelea mambo ya Serikali, unaweza kusema Ukweli ukapata madhara

    Diamond Platnumz, nyota wa Bongo Fleva, amesema anaogopa kuzungumzia masuala yanayohusu Serikali wakati wa mahojiano katika kituo chake cha redio, Wasafi FM. Akijibu swali kuhusu jitihada za Serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, chini ya Paul Makonda na Mwana FA...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mzee Butiku: Tukubali tunaye Rais

    Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, Joseph Butiku, amewataka Watanzania kukubaliana na uhalisia kwamba nchi tayari ina Rais aliye tayari kwa maridhiano. Butiku ametoa kauli hiyo leo Machi 4, 2026, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Maridhiano (Maridhiano Day)...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kwa Rais wa Ghana: Kila kitu kipo salama Tanzania baada ya uchaguzi

    Ya kweli haya ndugu zangu? Kila kitu pipo shwari baada ya uchaguzi? Mambo yamerejea kama kawaida na uchumi umekua? ===== "Tanzania tuko watulivu na tuko sawa. Kisiasa, kila kitu kiko chini ya udhibiti baada ya uchaguzi wetu wa Oktoba. Sasa nchi imerejea katika hali ya kawaida na tunaendelea...
  19. Q

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Mahakama ikikubali kupokea Notisi inayoongelea mauaji ya 29/10, itabidi watuambie nani aliruhusu Watanzania kuuawa

    Waheshimiwa Majaji, Wanataka tuzungumze mambo ya October 29 mtakuwa mmefungulia balaa jingine na isije ikawa shida. Mkifungua huo mlango tutaenda huko. Tutazungumzia mauaji ya kimbali na tutaulizana nani aliyeua watanzania. Hii kitu haina mashiko. Are they ready? Mimi niko tayari. Isiruhusiwe...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Lissu: Wanataka tuzungumze mambo ya Oktoba 29 mtakuwa mmefungulia balaa na isije ikawa shida

    Mahakama imesikiliza hoja za upande wa mashitaka na mshitakiwa kuhusu notice inayohusiana na ushahidi wa ziada, ambapo mshitakiwa Tundu Lissu amesisitiza kwamba jambo hilo halina msingi kisheria. Katika kesi inayohusiana na matukio ya uchaguzi mkuu wa 2025, Jaji Ndunguru alieleza kuwa hoja...
Back
Top Bottom