vifo maandamano tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Askofu Gwajima atoa ushuhuda wa binti aliyepigwa risasi Oktoba 29 na kupona baada ya oparesheni nne

    Askofu Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, leo katika Ibada kanisani kwake ametoa ushuhuda wa binti aliyepigwa risasi Oktoba 29, 2025 na kupona baada ya oparesheni nne. Askofu Gwajima pamoja na muumini huyo pia wanaeleza alipigwa risasi lakini hakuwa kwenye maandamano bali alikuwa...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ni uoga wa Oktoba 29, 2025 au nini kimebadilisha ukatili wa polisi kwa wafuasi wa CHADEMA Mahakamani?

    Tofauti na mwaka 2025 wakati kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu imeanza katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam na baadaye Mahakama Kuu jijini humo, mwaka 2026 kesi hiyo imeanza bila vitendo vya ukatili wa polisi kwa wafuasi wa chama hicho wanaohudhuria. Lissu alikamatwa...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Prof. Tibaijuka: Nilipendekeza iundwe Tume ya Kijaji, ingepunguza kelele za ICC kuliko tume ya Rais matukio ya Oktoba 29, 2025

    "Rais alisema ataunda tume jambo jema kabisa na mimi nikaona kwa uzoefu wangu tuunde tume ya kijaji, ukienda Kwenye account ya X utaona kwamba nilipendekeza i iundwe tume ya kijaji. Sasa kama ilivyo mambo mengi labda haikueleweka tangu Tanzania iundwe haijawai kuunda na tume ya kijaji...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Oktoba 29, 2025 yakutana na Ridhiwani Kikwete

    Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, leo Januari 22, 2026, imekutana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete. Mkutano kati ya tume na Waziri Ridhiwani...
  5. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Butiku: Tishio la kupigwa risasi liliwafanya watu kukaa ndani. watu milioni 5 mliambiwa mkae ndani na mlikaa

    Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku, amesema kuwa tishio la watu kupigwa risasi liliwafanya mamilioni ya wananchi kubaki majumbani. Alisema kuwa takribani watu milioni tano waliambiwa wabaki ndani na walitii agizo hilo. Ameongeza kuwa vijana...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Video: DW waachia Ushahidi mpya juu ya mauaji ya Oktoba 29, 2025

    Machafuko ya uchaguzi wa Oktoba 2025 nchini Tanzania yalifunikwa na giza zito la kuzimwa kwa intaneti, baada ya mrindimo wa bunduki kunyamaza ghafla. Sasa, ushahidi mpya unafichua kile ambacho hakikusimuliwa - vifo vya watu ambao idadi yao bado haijulikani, miili iliyotoweka, na tuhuma za...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hellen Kijo Bisimba: Serikali inaogopa maandamano na maandamano ndiyo njia pekee iliyobaki kuishinikiza serikali

    Aliyewahi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu, Dkt. Hellen Kijo Bisimba amesema "Kwa uzoefu wa Tanzania, serikali huwa na hofu kubwa dhidi ya maandamano na maandamano ndiyo njia pekee iliyobaki kuishinikiza serikali"
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Clemence Mwandambo: Nimempigia Kura Samia, Familia yangu haikushiriki maandamano Oktoba 29, 2025

    Mwanamitandao Clemence Mwandambo amesema amekuwa akitumia video anazochapisha mtandaoni katika kuwashauri wanasiasa na kuwasilisha mawazo yake, lakini mara nyingine wanasiasa wamekuwa hawataki kuambiwa mawazao tofauti na wakiambiwa hivyo wanaona kama wanaowaambia wana kiburi. "Kwa bahati mbaya...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Azim Dewji: Wanataka kuleta vurugu halafu wasingizie hakuna HAKI Tanzania

    Mfanyabiashara na mdau maarufu wa maendeleo nchini, Azim Dewji, amewatahadharisha Watanzania kuwa makini na viashiria vya vurugu ambavyo vinaweza kutoa mwanya kwa mataifa ya nje kuvamia na kupora rasilimali za nchi, akitolea mfano wa matukio ya hivi karibuni nchini Venezuela. Akizungumza kuhusu...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Waziri Mkuu Mstaafu, Pinda: Maandamano gani ya kuchoma Nyumba za Watu?

    Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Nne, Mizengo Pinda, amesema maandamano yaliyotokea Oktoba 29 hayakuwa ya amani, akieleza kuwa baadhi ya Vijana walishiriki bila kupata maelekezo sahihi, hali iliyosababisha mipango ya kuharibu mali na miundombinu ya umma pamoja na...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Samia: Hatua za kuunda Tume ya Maridhiano zimeanza

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa mwanzoni mwa mwaka 2026 Serikali imejipanga kujenga umoja wa kitaifa ambapo mchakato wa kuunda Tume ya Maridhiano tayari umeanza na Serikali itashirikiana na wadau wote ili kukubaliana muundo wa Tume hiyo. Katika hotuba yake ya kuaga mwaka 2025 na...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Samia: Tumeondokewa na wapendwa wetu, tuendelee kuwaombea

    Samia Suluhu Hassan, katika salamu za mwaka mpya 2026 amesema "Tumeondokewa na wapendwa wetu, tuendelee kuwaombea"
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume ya Uchunguzi: Puuzieni wanaoshawishi msitoe maoni, shirikianeni na tume

    Tume ya Uchunguzi imetoa wito kwa wananchi kupuuza ushawishi wowote unaolenga kuwazuia kushirikiana na tume hiyo na badala yake watoe maoni na ushauri kwa tume. Wito huo umetolewa Desemba 26 kupitia taarifa ya tume kwa umma iliyobainisha kuwepo kwa watu au makundi ya watu yanayotekeleza...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wamachinga Dar: Ni bora tupoteze uhai lakini tulitibu taifa. Vipi na hawa wajumuishwe kwenye kundi la Wasanii?

    Leo nimewasikiliza hawa Wamachinga wa Dar na mmoja wao anasema ni bora tupoteze uhai lakini tulitibu taifa. Naona hata hawa tujumuishwe kwenye kundi la Wasanii, kususia biashara zao, twende kuwaunga mkono wale ambao wana Utu na hawajitokezi kuzungumza ujinga bila kujali watu waliopoteza maisha...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Warioba: Waliouawa Oktoba 29, 2025 ni wengi kuliko waliouawa kwenye Vita ya Kagera

    Kwenye mahojiano na Jamhuri TV, Jaji Mstaafu Joseph Warioba amesema kwenye Vita ya Kagera, vijana wengi waliuawa na adui. Aidha, ukilinganisha na takwimu zinazozungumziwa sasa, idadi ya waliokufa ni kubwa zaidi kuliko ile ya vita. Tofauti ni kwamba, wakati ule tuliuawa na adui, lakini sasa...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Kulikoni CCM na Serikali kutokutoa mkono wa pole kwa Polisi na wananchi waliofariki katika vurugu za Oktoba 29?

    Wanadai kuna Polisi waliouwawa katika vurugu za Oct 29. Kitu cha ajabu hatujaona wala kusikia serikali na CCM wakitoa mkono wa pole kwa marehemu hao. Pia kuna wananchi kibao wamefariki katika vurugu za Oct 29. Baadhi yao walikuwa mashabiki wakubwa wa Rais Samia na CCM. Mfano mzuri ni Sharifu...
  17. Q

    JamiiForums Tanzania Tanzania imeingia kwenye rekodi ya Dunia. Inakadiriwa Vifo 10,000 kwa masaa 72 sawa vifo 2 kwa dakika

    Ukitoa bomu la Hiroshima lililoua watu 70,000 instantly, vifo vilivyotokea Tanzania siku ya uchaguzi 2025 vimeingia kwenye historia ya dunia kwa watu wengi kuuawa na polisi kwa kipindi kifupi. Inakadiliwa tarehe 29/10/2025 watu 10,000 waliuawa ndani ya siku 3 (masaa 72), sawa na watu 3,300 kwa...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Dkt. Malisa: Nimefichwa kwenye giza totoro, nipo huku nateseka, zile damu kwangu hazikuwa baraka

    Ujumbe ambao inadaiwa umetumwa na aliyekuwa kada wa CCM, Dkt Godfrey Malisa ambaye aliripotiwa kutekwa usiku wa Novemba 20, akiwa nyumbani kwake maeneo ya msamaria majengo au malenga, siku chache baada ya kutoa maazimio ya Kamati ya Kitaifa ya Kurejesha Haki na Amani katika Nchi Yetu (Tanzania)...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kanisa Katoliki Baltimore, Marekani wawaombea waliouawa Oktoba 29 katika ibada ya Jumapili Desemba 14, 2025

    Kanisa Katoliki la Baltimore, Maryland, Marekani (eneo la DMV) siku ya Jumapili, Desemba 14, 2025, limefanya ibada maalum ya kuwaombea mashujaa waliouawa wakati na baada ya uchaguzi Oktoba 29 wakipigania haki, ambapo waumini walikusanyika kuwakumbuka na kuwaombea marehemu hao. Katika ibada...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 UN yatoa wito kwa mamlaka kutoa taarifa za waliopotea, kufa Oktoba 29

    Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Binadamu imesema ina wasiwasi kuhusu taarifa za vifo, majeruhi, watu kupotea na kukamatwa katika muktadha wa uchaguzi wa tarehe 29 Oktoba nchini Tanzania. Hayo ni kwa mujibu wa Kamishna Mkuu wa Ofisi hiyo, Volker Turk, ambaye ametoa wito wa familia kupata...
Back
Top Bottom