vifaa

  1. W

    Matokeo ya Serikali kukataza kutumia vifaa vya plastiki kununulia mafuta kutoka Petrol Station

    Ni takribani miezi miwili sasa tangu serikali ipige marufuku matumizi ya vifaa vya plastiki (vidumu vya lita tano au madumu ya lita 20) kuchukulia mafuta kutoka vituo vya mafuta. Leo katika pita pita zangu nikakutana na hili jambo ambalo sasa watu wengi ambao wana uhitaji wa mafuta wanatumia...
  2. S

    Wauzaji wa Jumla wa vifaa vya simu

    Habari za asubuhi viongozi naomba muuzaji wa vifaa vya simu Kwa bei ya Jumla ,vitu kama Mic, LCD za simu ndogo hizo Techno na nyingine karibuni
  3. Naomba kufahamu chimbo la vifaa vya seremala kariakoo

    Wakuu nadhani mtakuwa wazima Afya . Ndugu zanguni nimekuja na ombi langu kwenu,na siku zote jamii forum ni sehemu imejaa waungwana kweli kweli. Ombi langu ni kufahamishwa chimbo la vifaa vinavotumiwa zaidi na mafundi seremala Kama vile tapes,misumari,msasa,gundi ya mbao aina zote,vanishi nk...
  4. Naomba kujuzwa mtaa wanaouza Vifaa vya Stationery hasa Rimu paper kwa bei rahisi.

    Nahitaji hivi vifaa kwa bei nzuri na ya jumla, hasa rimu paper, bei yake ikoje kwa kariakoo, mtaa gani vinapatikana kwa wingi? Au ndio haya haya maeneo karibu na kanisa la kkt, Magila na Muhonda? Je specifically wapi wana bei iliyopoa? Mwanza nako kwa aliyeko kule wanauzaje? Mashine za...
  5. I

    Naweza kupata vifaa hivi vya kuunda mabegi?

  6. Y

    Ombi la Ushauri wa Kuongeza Mtaji kwa Biashara ya Vifaa vya Simu

    Wakuu, habari za kazi? Samahani kwa usumbufu. Nina biashara ndogo ya vifaa vya simu (phone accessories), lakini ninahitaji kuongeza mtaji ili niweze kuagiza mzigo mwenyewe kutoka China na kuuza kwa jumla. Naomba msaada kwa mwenye uzoefu katika hili tafadhali. Asante.
  7. S

    Wauzaji wa vifaa vya magari used kutoka Dubai

    Husika na mada tajwa hapo juu , naomba muuzaji wa spear za magari used au mpya kama ipo spear hii naomba uniambie bei yako hapa nahitaji rejeta full pamoja na caulling yake na reserve tank ya coolant ni shilingi ngapi ukiwa mpya au used ya Japan au Dubai ,gari aina ya Toyota Brevis 1JZ FSE
  8. Serikali Kuwezesha Vifaa vya Uongezaji Thamani Madini ya Vito na Sonara kwa Vijana Wahitimu wa Kituo cha Jimolojia (TGC)

    SERIKALI KUWEZESHA VIFAA VYA UONGEZAJI THAMANI MADINI YA VITO NA USONARA KWA VIJANA WAHITIMU WA KITUO CHA JIMOLOJIA (TGC) ● Ni utekelezaji wa Programu ya Mining For a Brighter Tomorrow (MBT) ⚫️ Wizara ya Madini kuwapatia vifaa kwa lengo la kujiajiri ● Kuwajengea Uwezo wa masoko na...
  9. Vifaa vinavyohitajika kuweza kuwa na digital TV channel...

    Wataalam hebu fanyeni msaada... Inahitajika vifaa gani kuweza Ku launch digital TV channel...? Nazungumzia vifaa vya kifundi.... Complete set...
  10. Bilioni Sita Kukamilisha Ujenzi wa Hospitali ya Manispaa ya Moshi, Bilioni 44 Vifaa Tiba

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imetoa fedha zaidi ya Bilioni 44 kwa ajili ya ununuzi wa Vifaa Tiba pamoja na Bilioni 1.8 kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali ya Manispaa Moshi ambapo Hospitali hiyo ikikamilika itakua imegharimu Shilingi Bilioni...
  11. Ulinzi wa eneo lako ni jukumu lako, weka vifaa bora kwa matokeo bora

    Tunakuuzia,kufunga na kufanya matengenezo ya mifumo ya ulinzi kuhakikisha inafanya kazi kwa ufanisi zaidi. Kumbuka usalama wa eneo lako ni jukumu lako zaidi,funga vifaa bora saidizi vya ulinzi kwa matokeo bora. Tunahusika na ●Cctv camera aina zote [kasoro camera fiche hidden camera] ●Electric...
  12. B

    Biashara ya vifaa vya music kama subwoofeers kubwa na ndogo kwa Dar es Salaam imekaaje?

    Naulizia mwenyeji ujuzi wa biashara ya subwoofeer kubwa na ndogo imekaaje kimzunguko wa fedha kwa DSM
  13. Aya wadau wa jamii forum nafanya derivery ya vifaa mbalimbali vya mifugo na kilimo popote ulipo nakufikia kwa bei ya jumla.

    Karibuni mnisupport wadau wenzangu. Mawasiliano 0769 055050 Nipples za kuku na nguruwe.
  14. Je, inawezekana pager kuwa chanzo cha kifo cha rais wa Iran?

    Rais wa Iran, Raisi na yeye alionekana kuwa anatumia pager kabla ya kifo chake. Sasa umezuka uvumi kuwa inawezekana hata kifo chake cha ajali ya ndege kinaweza kuwa kilisababishwa na mlipuko wa pager iyo. Waisrael ni wajanja mno? Ni kama popobawa ambaye anakukula usiku kisha anapiga kimya...
  15. X

    Jinsi Marekani ilivyoizuia China ili Israel ifanikiwe katika shambulizi la vifaa vya mawasiliano (pagers)

    Kwanza kabisa, mnamo Februari 2024 kiongozi wa Hezbollah, Hassan Nasrallah, aliwaamuru wanachama wake kuacha kutumia simu kwa sababu zinaweza kunaswa kwa urahisi na kufuatiliwa na majasusi wa Israeli. Miezi 2 baada ya agizo la mkuu wao yaani April 2024 wakaagiza hizo pagers ndivyo hata BBC na...
  16. Hivi Ndio Sasa Tunaweza Kuvaa Teknolojia: Vifaa vya Wearables Vinavyotawala Dunia

    Teknolojia imefika mbali sana, bro! Unakumbuka zile enzi ambazo simu za mkononi zilikuwa kubwa kiasi kwamba ilikuwa lazima ubebe kwenye begi? Sasa tumefikia wakati ambapo tunaweza kuvaa teknolojia. Ndio, unavaa kabisa kama vile umevaa nguo au saa, lakini teknolojia inafanya kazi zenyewe bila...
  17. Serikali yaiomba Mahakama iruhusu Akaunti ya X na Vifaa vya 'Boni Yai' viingiliwe kwa upekuzi

    Aiyekuwa meya wa Ubungo, Boniface Jacob, maarufu Boni Yai amesomewa mashtaka mawili ya kuchapisha taarifa za uwongo kwenye mtandao wake wa X (zamani Twitter), ambayo ameyakana. Serikali imewasilisha maombi mawili, kwanza mahakama imuamuru aruhusu vifaa vyake vya kielektroniki pamoja na akaunti...
  18. Content Creators mnaoanza (Episode I): Unatumia camera gani kutengeneza maudhui yako?

    Wakuu, especially mnaopenda tasnia ya "content creator" kwenye social media, naanza kwa kuwauliza, unatumia camera gani kurecord video? Iwe ni kwaajili ya YouTube, au kwaajili ya Instagram au TikTok, quality ya video na audio jumlisha na storyline nzuri ndio vitakavyokuweka tofauti na...
  19. Watu 9 waripotiwa kufariki baada ya vifaa vya mawasiliano (Pager) za Hezbollah kulipuka kwa mkupuo; Balozi wa Iran nchini Lebanon aripotiwa kujeruhiwa

    Hili shambulizi ni bab-kubwa, sijui Israel kachezaje, magaidi wa Kiislamu 1,200 walipukiwa na pagers zao, wengine walitokwa na damu kwenye maskio, akiwemo balozi wa Iran. _----------+ Iranian ambassador Mojtaba Amani was reportedly injured in a Hezbollah explosion, according to state-owned...
  20. I

    Hizi ndizo mbinu na silaha mpya za Urusi zinazotarajiwa kuisambaratisha Ukraine

    Katika vita vinavyoendelea kati ya Russia na Ukraine, Russia imebadilisha na kuboresha mbinu zake za kijeshi ili kuongeza shinikizo kwa Ukraine. Baadhi ya mbinu mpya ambazo Russia inatumia zinajumuisha: 1. Mashambulizi ya Makombora ya Masafa Marefu na Drones, Russia imeongeza matumizi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…