video

  1. JamiiForums Tanzania Video: Konda ampiga Kichwa abiria

    Inaonekana siku hizi makonda hawana mzaha kabisa na wamejizatiti kwenye Mafunzo ya martial arts na Judo πŸ₯‹
  2. JamiiForums Tanzania Kuidai Tanganyika siyo kuuvunja Muungano. Ni mpango wa Mungu (video)

    Kihistoria nchi ya Tanganyika ilikuwepo na ndiyo ambayo tunasheherekea uhuru wake tarehe 09 Desemba kila mwaka. Kinachohuzunisha ni kwamba Tanganyika ipo kifungoni na nyapara CCM hataki kabisa kuiona ipo huru. Kila anayeidai Tanganyika anafanya jambo jema. Muungano uwepo lakini Tanganyika...
  3. JamiiForums Tanzania Video: Angalia jinsi huyu askari alivyokosa utu

    Kuna baadhi ya maaskari ni miyeyusho, yani ameshindwa kutumia busara kuwaambia waondoke kweli? SIJUI NI NCHI GANI HII.
  4. JamiiForums Tanzania Video: Baharia kafunga vioo

    Bila shaka huyu jamaa ni Member wa UWABATA (UMOJA WA WANAUME BAHIRI TANZANIA).
  5. JamiiForums Tanzania Video: Wamama wa Kiafrika huwa hawapendi mzaha mzaha!

  6. JamiiForums Tanzania Video & photo journalist, editor, tx operator, youtube & instagram moderator, straeming live on television, youtube & instagram, content creator

    Habari wakuu, kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu nishafanyaga baadhi ya sehemu kama vile Africa Swahili TV, Dizzim TV and Online, Bongo5. Naomba kama Kuna mtu atahitaji mtu wa kufanyakazi kama hizo kwenye Television au Online Media hata moja wapo tuwasiliane kwa 0714525809 nina uzoefu...
  7. JamiiForums Tanzania Video: Nimenyimwa unyumba na Mke wangu miezi 9

    Johnson Antony anasema mke wake akimkosea ananuna mpaka wiki mbili na akimgusa anamtoa mkono au anasema amechoka yani inaweza kufika mpaka miezi 9 ajapewa unyumba. Credit: WasafiTv
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 CHADEMA kuna ujumbe wenu hapa

    Sikiliza hadi mwisho. Mwananchi ana akili kubwa kuliko wasomi wetu wengi waliopo madarakani Tanzania inaamka.
  9. JamiiForums Tanzania Video: The man mwaka huu jamaa ametuwakilisha vyema sana. Vijana mna la kujifunza

    Hivi ndo inapaswa kuwa.... Mtu anapotishia kujamba na wakati ana tumbo la kuharisha unamletea poti akalie. Nimependa wote wawili walichokifanya kwa uhalisia wake. Madogo acheni kuja na nyuzi za kijinga kulia lia hapa kwamba umeachwa. Kwani mama yako huyo? Kafanye mambo mengine kama mapenzi...
  10. JamiiForums Tanzania Video: Ukipewa kitita cha dola moja utafanyia nini? Tazama majibu yake hapa

    Sina mengi ya kuzungumza zaidi ya kuwa wa kwanza kucheka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hawa viumbe wanaijua tu hela, japokuwa kuitafuta kwao ni mtihani Sikiliza matumizi ya dola 1
  11. JamiiForums Tanzania Video: Kwa hizi makeups hakikisha ananawa uso kwanza

    Aisee! Kabla ya kuongea nae lolote hakikisha anatoa make-up kwanza.
  12. JamiiForums Tanzania Video: Mtanzania aliyefungwa miaka 10 Iran kisa kafuata huko mambo ya dini

    Muhimu hii iwafikie wafia dini wa JF ambao hupenda sana kuabudu watu wa Iran na Uarabuni.... kuvaa kwako kanzu na kuotesha ndevu ili ufanane na wale haitoshi, ukiingia kwenye anga zao wanakuua, walimuua Mtanzania mmoja na kumtesa mwenzake. https://youtu.be/PC0e170GSug?si=ZHbPD25IF4W7Cz_h
  13. JamiiForums Tanzania Video: Je, ni kwanini Nape Nnauye alitaka bwawa la Nyerere lizuiwe, ni kweli anapenda sana mazingira?

    Baada ya kusikia kuna Megawatt 235 za bwawa la Nyerere zimeshaamza kuingia kwenye gridi ya taifa, nikakumbuka malalamiko ya MTz mwenzetu akitaka Megawatt 2100 zisiingizwe kwenye gridi kisa kuna miti itakatwa, unabaki unajiuliza , huyu ana akili timamu kweli...
  14. JamiiForums Tanzania Video: Tupende vya kwetu Aisee! SGR

  15. JamiiForums Tanzania ViDEO: Je, Diamond na Zari wamerudiana?

    Anybody say something please. This is the best couple that ever existed in Bongo flavour industry Semaa Mondi nae vipi !! Kwani hiyo saa shing ngapi!? Au anahamisha mjadala wa Saa ya Madame President.!?πŸ€—πŸ€— Nifah p'se.. say whatever..
  16. JamiiForums Tanzania Video: Jamaa kamfumania mpenzi wake na kaambiwa hapendwi

    Ukisikia janga juu ya janga ndio kama yaliyomkuta jamaa, yani kamfumania mpenzi wake na bado kaambiwa kuwa hapendwi aondoke.
  17. JamiiForums Tanzania Video: Penzi la Poshy lamuingiza Harmonize Kanisani

    Penzi kati ya Harmonize na mwanadada Poshy Queen linaendelea ku-make headlines kwenye mitandao ya kijamii. Harmonize amezua gumzo mitandaoni baada ya kupost Video akiwa Kanisani na mpenzi wake Poshy Queen. Ikumbukwe kuwa Harmonize ni Muislamu kiimani na Baba yake mzazi ni Ostadhi. ✍️ Mjanja M1
  18. JamiiForums Tanzania Video: Mbowe na Makonda wakiteta msibani kwa Lowassa

    Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amekutana na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Paul Makonda msibani kwa Hayati Edward Lowasa. ✍️ Mjanja M1
  19. JamiiForums Tanzania Video: Baharia Mstaafu akitoa somo la kupima Rungubeshi

    Futa huu uzi
  20. JamiiForums Tanzania Video: Hii Teknolojia ipigwe marufuku kwenye mikusanyiko ya watu

    Video: Hii Teknolojia ipigwe marufuku kwenye mikusanyiko ya watu Itazua Balaa! πŸ˜‚
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…