Iran wamesema nchi na dunia itashuhudia kupitia TV rubani wa kike wa f-35 akisema wapi ndege zao ziliongezewa mafuta kabla ya kuelekea Iran,pamoja na mengine
Kumbe ndiyo maana israel imeshambulia TV ya serikali ya Iran,aibu ya f-35 na kupoteza soko
Youtube wanaruhusu kusave video kwa watumiaji wanaotumia simu na unasave na kutazama kwenye kifaa hichohicho ulichotumia kuhifadhi.
Wanafanya hivyo ili kulinda haki za waandaa maudhui. Pia Youtube inamtambua mtu yeyote atakayetumia njia nyingine kupakua video za mtandao huo kuwa ni JANGILI na ni...
Israeli huwa hawabahatishi katika Target zao Kudadadeki. Sasa kama huyo Mtangazaji Mwanamama wa Televisheni ya Taifa Iran alikuwa anajifanya Kutangaza kwa Kujiamini na Kutoogopa nini kilimfanya atoke baru (akimbie) Studioni pamoja na Cameraman wake baada ya Kombora Tukuka la Israeli kushambulia...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge Amewasili Mkoani Mwanza...
awasili
furaha
jijini mwanza
maelfu
mapokezi
mbona
mkoani
mwanza
oktoba
oktoba tunatiki
rais
rais samia
samia
simiyu
tabasamu
tube
video
wananchi
wenye
you tube
https://youtu.be/rVoMmXxnrwc?si=3yJq9L7mgZsH9xe8
Asema:
1. MSIOGOPE. Jaji Hamidu Mwanga ni Jaji wa CCM. Aliwekwa ktk kesi hii kwa maslahi ya CCM. Huyu alikuwa mjumbe wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) chini ya uenyekiti wa Jecha Jecha iliyofuta matokeo ya ushindi wa CUF ya Maalim Shariff Hamadi...
Hali hii inatisha sana.
Vitendo hivyo vya kishenzi vinavyofanywa na serikali ya Samia ,vinawalenga watanganyika.
Sijaisikia mzazibar hata mmoja aliyetekwa, kuumizwa, kubakwa, kulawitiwa na kurekodiwa video za uchi.
Swali why matendo hayo yanawakuta watanganyika tu?
Video hapa chini
Video hii inaonyesha kijana aliyemkopesha mama yake kiasi cha laki 5 na alipoenda kumdai, mama yake kiasi hicho ili arejeshewe, basi mama yake alianza kukumbusha mambo yake yote alivyokuwa akimuhudumia akiwa mdogo hadi kukua kwake.
Kwahiyo hizi ndiyo tamaduni za wazazi wa...
Dodoma imetikisika, ndivyo unavyoweza kusema.
No reforms, no election inazidi kuchanja mbuga ambapo CHADEMA wamefanya mkutano wao jijini humo na kuhudhuriwa na Makumi ya Maelfu ya watu.
Baada ya mkutano huo, wapenzi wa chama hicho wamemsindikiza Makamu Mwenyekiti wao, John Heche huku wakiimba...
https://youtu.be/et3R9kBTCk0?si=EMC9TylxgoDfmsRO
➡Anasema
"...Tulieni, maana mimi kwenye mawimbi na misukosuko ndimo huwa na perform better. Ni salama, nitatoka kwa wakati wa Bwana..."
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika kituo maarufu cha runinga cha ITV kwenye kipindi Cha DK 45 amekaririwa akisema namnukuu,
" Bajeti ya kilimo imeongezeka kutoka TZS400bn mpaka TZS1.9Trilioni sawa karibu na mara tano" alisema Kwa...
Hapa naona Bwana Mkurugenzi Kafulila kawekwa mtu kati na huyu Mtangazaji wa ITV naangalia hapa anamuuliza " unafanya siasa na maisha ya watu"?!
Huyu dada anaitwa nani?
Wakuu
Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kinajiandaa kuanza rasmi ziara yake ya kisiasa katika awamu ya kwanza itakayohusisha mikoa 14, majimbo 34 na kufanyika mikutano 38 katika kanda 4 tofauti nchini.
Katika ziara hiyo, viongozi waandamizi wa CHAUMMA wanatarajiwa kushiriki kwa ukamilifu...
Habari za wakati huu.
Nimeandaa video hii ili kuzungumza kwa kina juu ya matatizo yanayo sababishwa na allergies na njia mbalimbali zakutibu zikiwemo mitishamba.
https://youtu.be/UKhfahXz2UU?si=IDitY_xh0MB3o90h