vichwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Vifaranga vya kuku vimekufa vyote tatizo ni nini wengine hata vichwa hawana

    Nimeingia bandani na kukuta hali hiyo nimechanganyikiwa kabisa
  2. Nauza trailers na vichwa vyake kama chuma chakavu

    Habari za muda ......nauza trailers na vichwa vyake kwa bei ya 10m kwa 8m....vinapatikana kibaha mkoani pwani...kwa mawasiliano zaidi 0767 015 189
  3. Mercedes Benz C Class (W205) hii chuma Wajerumani walituliza vichwa. Hadi sasa naamini ndio the best katika segment yake

    Wakuu. Katika segment ya compact executive cars tunakutana na wakali wengi sana, mfano BMW 3 series, Mercedes Benz C Class, Audi A4, Volvo S60, Genesis G70, Lexus IS nk. Yote tisa, hii generation ya nne ya Mercedes Benz C Class, W205, iliyoanza mwaka 2014 hadi 2021 ni namba nyingine kabisa...
  4. Iran imetoa orodha ya Magaidi wanaotakiwa kukatwa vichwa

    ⚡️BREAKING: Wizara ya Ujasusi ya Iran imetoa orodha ya magaidi wa Israel wanaotakiwa wakiwa maiti. Just like Israel, now Iran's Intelligence Ministry releases a list of individuals it want to eliminate.
  5. B

    Baadhi ya Watoto sio wazembe wala wavivu au vichwa vigumu wana ‘learning disabilities’

    Habari wana JF, Nawapongeza wazazi, walezi, walimu na jamii kwa ujumla kwa jukumu kubwa la ulezi hakika kazi yenu ni kubwa. Tukumbushane sasa: Baadhi ya wazazi na walezi mmepata watoto ambao maendeleo yao shuleni kwenu yako chini sana hayalingani kabisa na umri na watoto wa rika lake...
  6. Kwanini dini zinazataka wanawake kuvaa vitambaa kufunika vichwa vyao?

    Katika maandiko ya dini zote tatu za Uisalamu, Ukristo na Uyahudi suala la wanawake kujifunika vichwa vyao linazungumziwa japo kwa msisitizo tofauti. Katika Ukristo mazingatio yake ni madogo sana mfano kwa masista wa Kikatoliki na kwa makanisa machache mfano kwa Kakobe, katika Uyahudi siku...
  7. Vichwa vya treni ya SGR kupewa jina la "Samia Express", Watanzania tumekwama wapi?

    Salaam Wakuu, Naishukuru Serikali kwa kupitia Shirika la reli Tanzania TRC kwa kuendelea na jitihada za kuboresha miundombinu yetu la reli. Ila kinachonisitikisha, ni uamuzi wa kupachika jina la Mwenyekiti wa chama cha Siasa(CCM) bla kuwashirikisha Wananchi Wanaotoa kodi zao. Hii ni haki...
  8. CCM ina watu Vichwa sana

  9. Kidogo nimpige vichwa huyu Daktari

    Umri umeenda, upara umeanza kuninyemelea, naamini ni jambo la kawaida, sasa leo nimekutana na jamaa tulisoma nae, alikuwa na vijiakili vya darasani sasa amekuwa daktari wa binadamu. Baada ya kuniona akaniambia natakiwa niache punyeto maana inanizeesha, aloo hasira zilipanda kidogo nimrukie...
  10. Historia fupi ya jamii ya watu wenye vichwa virefu (Mangbetu)

    Hapo zamani nchini Kongo kulikua na jamii iliyoamini kwamba wanawake wenye vichwa virefu Wanavutia (WAZURI) zaidi na wanaume wenye vichwa virefu wanakua na NGUVU zaidi na AKILI sana. Hivyo basi watoto wakizaliwa walilazimika kifungwa nganganga na kitambaa kichwani (LIMPOPO) ili kutengeneza...
  11. Nani alikuja na huu Utaratibu wa Kimasikini na wa Kishamba ndani ya Vichwa vya baadhi ya Watanzania?

    Sijui ni lini hii Poverty Mentality itaondoka ndani ya Vichwa vya Watanzania. Yaani unakutana na Mtu ana Simu ya Thamani Kubwa sana na ya Kisasa ( tena Boss mahala fulani ) halafu tena unamkuta ana Kasimu ka Shilingi Efu Aobaini au Elfu Thelathini na ukimuuliza kwanini ana hiyo Simu atakujibu...
  12. MOI yaandaa kambi ya upasuaji kwa Watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi itakayofanyika Aprili 20, 2024

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) kwa kushirikiana na Taasisi ya MO Dewji Foundation imeandaa kambi ya upasuaji kwa Watoto 50 wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi itakayofanyika 20/04/2024 katika Taasisi ya MOI. Akizungumza na waandishi wa habari, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa...
  13. TRC: Seti ya Kwanza ya Treni ya Kisasa ya EMU, Vichwa Vitano vya Umeme na Mabehewa Matatu ya Abiria imewasili

    TAARIFA KWA UMMA KUWASILI KWA SETI YA KWANZA YA TRENI YA KISASA EMU Dar es Salaam, Tarehe 03 Aprili 2024 Shirika la Reli Tanzania TRC linautaarifu umma kuwa Seti ya kwanza ya treni ya kisasa ya EMU, vichwa vitano vya umeme na mabehewa matatu ya abiria yamewasili katika bandari ya Dar es Salaam...
  14. Aliyeelewa ufafanuzi huu wa TBC atueleweshe na sisi wenye vichwa vigumu

    Hebu someni hii
  15. Dhana 'Mungu" ni chanzo cha anguko kwa vichwa maji

    Habari Wana JF. Bila shaka asilimia kubwa ya Watanzania na watu duniani kwa ujumla tunaamini juu ya uwepo wa Mungu. Hata hivyo kuna matabaka mbalimbali yatokanayo na aina ya imani tunayokuwanayo kuhusu Mungu. Kwa uzoefu na shuhuda nilizonazo, nimeshuhudia jinsi watu wanavyosaidiwa na...
  16. Z

    Viongozi wa kuu wa ulimwengu huwa vichwa vyao vigumu. Wangewambia HAMAS kuwaachia mateka wa Israel ,kungekuwepo na ahuweni kwa watu wa GAZA

    Ukiondoa taifa la America na baadhi ya mataifa ya ulaya, wengi wa viongozi wakuu wa taifa mbali mbali wang'angania kuilaumu Israel kwa uisambaratisha Hamas. Sasa israel inajipanga kuivamia RAFAH na bado viongozi wa kiarabu ,UN ,Afrika waniona israel kama nchi mbaya sana. swali ni je israel...
  17. Serikali haioni hivi vichwa vilivyopo JamiiForums?

    Kwanza, ninaipongeza kwa kumteua Mkurugenzi wa JF, Maxence Mello kuwa mjumbe wa Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi. Naamini hawajakosea kumteua mtajwa. Lakini inafahamu kuwa kuna vichwa vingine kibao, tena wanaotumia verified Id hivyo si kazi kuwapata, ambao wangeweza kuwa na mchango...
  18. Mrembo aliyetengenezwa na A.I asumbua vichwa vya wanaume kwenye mitandao ya kijamii

    Mrembo mmoja wa Instagram ameyashika macho ya wacheza mpira wa miguu maarufu, mastaa pamoja na mabilionea, lakini yote si kama unavyoweza kudhania. @emilypellegrini amejikusanyia followers zaidi ya laki mbili kwenye Instagram ndani ya miezi minne tu. Ingawa picha na video zake zinaonekana kuwa...
  19. Vichwa Vipya 3 vya Treni ya Umeme SGR Vyawasili Nchini

    TRC YAPOKEA VICHWA 3 VYA TRENI YA UMEME SGR KUTOKA KOREA KUSINI Shirika la Reli Tanzania limepokea vichwa vipya vitatu (3) vya treni za umeme vilivyoundwa na kampuni ya Hyundai Rotem na mabehewa mapya 27 ya abiria yaliyoundwa na kampuni ya ‘Sung Shin Rolling Stock Technology’ (SSRST) kutoka...
  20. Kadogosa: Safari za SGR kutoka Dar - Moro zimechelewa kwasababu ya hatuna Vichwa vya Treni

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa amesema ujenzi wa reli ya kisasa kipande cha Dar es salaam - Morogoro umekamilika kwa 100% na mabehewa zaidi ya 45 tayari yamewasili nchini lakini kilichosimamisha safari kuanza ni kuchelewa kwa vichwa vya treni ambapo hadi sasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…