vibaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Kesho naondoka, siwezi endelea kukaa hapa. Siwezi acha anielewe vibaya ila nimeshindwa mimi...

    Jamaa yangu zamani alikuwa vizuri tu kichwani. Mnakaa mnaongea mambo ya akili. Nimekuja mkoani kaniomba nisifikie lodge nifikie kwake. Nikasema huyu mwana toka kitambo ngoja nifikie tu kwake. Maana ananisaidia pia huko hotel nisilale na vicheche. Tumekula tumemaliza. Mlo wenyewe tunaanza kula...
  2. kavulata

    JamiiForums Tanzania Mtibwa Sugar wamechanganyiwa timu kufanya vibaya

    Nimemsikia Thobias Kifaru msemaji wa mtibwa sugar akidai deni lao kwa Yanga kuhusu abdalah Msheri kama mtu mwenye sonona na aliyekata tamaa. Wakati wanauziana mchezaji hawakuuzina kwenye vyombo vya habari lakini wakati wa kudai wanakwenda kwenye vyombo vya habari na kuviacha vyombo rasmi vya...
  3. konda msafi

    JamiiForums Tanzania Je,hatukuambiwa umeme wa gesi ya Mtwara ukikamilika tatizo la umeme litakuwa historia?

    Nakumbuka kila kiongozi mwandamizi wa serikali ya awamu ya 4 akiwa kwenye tv alikuwa anahubiri ukomo wa tatizo la umeme pale mradi wa umeme wa gesi ya Mtwara utakapokamilika. Kulikuwa na uzinduzi mwingi tu sijui wa Kinyerezi one, sijui terminal two. Tulihakikishiwa mradi ukikamilika hakutakuwa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kwa mwendo huu, mpaka kufika 2025, mfumuko wa bei unaweza kuwa haushikiki na unaweza kuigharimu vibaya CCM

    Bei ya nyama kwenye mji wa Mtwara manispaa ya Mtwara/Mikindani imepanda ghafla kutoka shilingi 8,000 kwa kilo ya nyama mchanganyiko hadi shilingi 9,000, nyama ya steki toka shilingi 10,000 hadi 12,000 kwa kilo moja.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Nape umeanza vibaya kwanza Kwa msiba lakini pia kwa kauli isiyotekelezeka, Mkipewa nafasi Jikabidhini kwa MUNGU Kwanza awape hekima

    Poleni wote mliopatwa na msiba baada ya ajali iliyosababisha vifo vya wanahabari kadhaa huko Mwanza. Pili nichukue fursa Hii kumwombea msamaha Mhe. Nape Kwa kuteleza wakati anatoa salamu za rambirambi. Nasema nimwombee msamaha kwa sababu alichokisema hakitekelezeki Kwa njia yoyote Ile. Naomba...
  6. Mtondoli

    JamiiForums Tanzania Neno 'mfumo dume' lisitumike vibaya kwa kuanza kuwabagaza wanaume na kutowapa heshima yao

    Wadau hili neno mfumo dume kwa hapa Tanzania tunapaswa kulifuta haraka ,.tukiendelea kulichekea ni muda mchache imebaki wanaume tutaanza kuandamana kupinga mfume jike. Kwa Sasa inaonekana sisi wanaume ni majitu ya hovyo na makatili sana. Hatupewi hata heshima ya asili tuliyopaswa kupewa,iwe...
  7. J_Okay

    JamiiForums Tanzania UCHAMBUZI: Tulimsoma vibaya Rais Samia

    Abuu Islam Utangulizi: Baraza jipya la mawaziri alilolitangaza Rais Samia Suluhu Hassan leo Jumamosi, Januari 8, 2022 limeshtua wengi. Vigogo, wakiwemo walioibuka katika awamu ya awamu ya tano, Maprofesa Kitila Mkumbo na Palamagamba Kabudi wametupwa, sura mpya, kama Ridhwani Kikwete...
  8. POTIZILLAH

    JamiiForums Tanzania Siku nilipojisikia vibaya zaidi

    Siku moja nilikua nimeenda kumtembelea mshikaji wangu mmoja Mwenge, yeye ana duka lake la nguo mitaa ile. Sasa story story hadi mida ya mchana tukaona twende tukapate lunch. Katika mgahawa mmoja mitaa ya jirani na ofisi ya mwana. Palikuwa pamejaa sana, meza tuliyokuta tupu ilikua na mtu mmoja...
  9. Narumu yetu

    JamiiForums Tanzania Kwanini kila anayeshindana na Gwajima anashindwa vibaya?

    Huyu mchungaji awali aliwahi pambana na makonda ,aisee mpaka mpambano unaisha makonda alilambishwa sakafu kila round hatimaye akautwaa mkanda, Mwanabongofleva Diamond akataka kuomba pambano ila kabla mpambano haujaanza mzee wa ufufuo akafufua udhaifu wa huyu mbana pua, kuona hivyo mbana pua...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Ndugai amemshambulia Rais Samia vibaya sana

    Hata kama ni kueleweka Mheshimiwa Ndugai alishindwa kujizuia na hormones zake zikamtoa kwenye uhalisia na kumuweka kwenye attacking ya liwalo na liwe, hasira ambazo unaweza kuuwa bila ya kukusudia ni hatari sana tuseme aliamua kujitoa muhanga. Nimeisikiliza kideo zaidi ya mara tatu ili kupima...
  11. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ndungai hajatoa taarifa ya kusema alinukuliwa vibaya, hivyo alidhamiria kusema alichose na, Dk Tulia, anza kupiga jaramba

    Bila shaka Ndungai alidhamiria kusema alichosema kwa kuisema serikali. Nnadhani Sasa SSH aanze kusuka watu watakaoliongoza Bunge muda si mrefu, au baada ya uchaguzi wa 2025, Tulia, kaa kwa tahadhari,jamaa wa kongwa ameshajua kiti hicho utakikalia, asije akakufanyia mambo yake aliyoyasema Humphrey
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini TCRA wanawaachia hawa matapeli wanatumia majina ya watu vibaya?

    Nimepokea huu ujumbe kwa mtu anaejifanya mganga anajifanya eti kakosea number na mimi mambo hayo sio muumini wake kabisa.
  13. Camilo Cienfuegos

    JamiiForums Tanzania Arusha: Wakuu wa Shule ambao Shule zao zimefanya vibaya kitaifa wapewa vinyago vya sokwe

    Kama kuna kada inajua kudharauliwa basi ni ualimu. Wakuu wa Shule katika halmashauri ya Arusha Dc wamepewa vinyago vya nyani ili kuongeza kiwango cha ufaulu baada ya shule zao kufanya vibaya katika mitihani ya kitaifa ya kidato cha 2, cha 4 na cha 6 mwaka jana. Hii imekaaje kitaalamu?
  14. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya kutukanwa Hayati Magufuli na wasaka vyeo kwa Samia ukiendelea tunawaonya tutakipasua CCM humu mitandaoni

    CCM isifikiri tunaotukanwa humu kwenye mitandao kwa ajili yake hatuna damu! Huo utaratibu wa vitoto ndani ya chama vinavyohojiwa hojiwa huko kwenye Midea na kumtukana marehemu JPM mkiendelea kuvichekea tutaona namna bora ya kudeal na CCM humu jamvini. Niwahakikishie Viongozi wa CCM uasi huwa...
  15. figganigga

    JamiiForums Tanzania Livingston Lusinde: Amani na utulivu haviwezi kuwepo kama kuna wanaomsema vibaya Magufuli

    Mbunge wa Mtera Livingston Lusinde almaarufu kama Kibajaji, amewashukia kama mwewe Wabunge na Viongozi wa Serikali 'wanaomsema Vibaya Magufuli'. Akiongea kwa jazba huku na kutokwa povu, alijikita kwenye hoja hizi: 1). Amani na utulivu haviwezi kuwepo kama kuna baadhi ya Watanzania na Wabunge...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mohamed Salah anazeeka vibaya

    Inakuwaje wanajamvi! Haiwezekani kabisa huyu jamaa awe na miaka 29. Huyu ni kwenye late 40s. No he can't be 29 na kataa. Wazungu na waarabu siku hizi wanaghushi sana miaka hii katika mpira haikubaliki kabisa. Jamaa achunguzwe.
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nilitahadharisha hapa kuwa 'Kesi' imemkalia vibaya 'Mwamba' na hachomoki kirahisi nikaishia Kushambuliwa

    Ukitulia kabisa na kama tokea mwanzoni umeangalia Kesi ilivyoanza na inavyoenda huhitaji Akili Kubwa sana kujua kuwa ni Kesi ya 'Kimkakati' zaidi na lazima lililopangwa litokee. Kwa nia njema tu nikaja na Threads zangu Mbili ( ambazo hata hivyo mpaka leo sijui kwanini ziliunganishwa au kufutwa...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Kutendewa vibaya na nduguyo hakuumizi kama kudharauliwa na mgeni

    Kuna wakati, niliwahi kufanya kazi kwenye kampuni ya Barrick, nikiwa senior officer. Tukataarifiwa kuwa plant imesimama, kuna kikao cha dharula. Kusimama plant kwa mgodi mkubwa siyo jambo dogo. Ndani ya saa moja, Head Office, Toronto ilikuwa tayari imejulishwa. Kwenye kikao tukajulishwa kuwa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Wavulana wa soka wa Jangwani msione vibaya kuwapigia makofi wanaume wa soka wanaokipiga leo, kesho na keshokutwà dimba la kimataifa!

    Baada ya kuangukia pua mapema wavulana wa soka wa utopolo msione vibaya kuwashangilia na kuwapigia makofi wanaume wa soka la Tanzania kuanzia Biashara leo, Azam kesho na kisha baba lao wekundu wa msimbazi siku ya jumapili. Inabidi mfanye hivyo tu maana ushindi wao ndio mbeleko yenu ya...
  20. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania TOT ni mali ya CCM haipashwi kutumika kwenye hafla za kitaifa. Huku ni kutumia vibaya rasmali za Watanzania

    Nipo nyumbani kwenye luninga nafuatilia sherehe za kuzima mwenge huko Chato. Jambo la ajabu ni kuona bendi ya TOT ambayo ni mali ya CCM ikitumika ili hali ni sherehe ya kitaifa. Kutumia kodi zetu kuwalipa Tot ili hali ni mali ya CCM ni kukosa busara za kisiasa. Abadani haya mambo yanatakiwa...
Back
Top Bottom