vibaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kuna wanawake wamenenepeana vibaya sana hadi huruma

    Kuna wanawake Tanzania hasa mishangazi huwa wananepeana vibaya sana. Unakuta mkono wa mmama ni mkubwa kama paja la ng'ombe,mashavu kama anapuliza moto, tumbo kubwa kiuno kimeunganika mgongo na makalio huwezi kuona tofauti yoyote, shingo ina pingili kama matairi mengi ya baiskeli yamepangwa...
  2. JamiiForums Tanzania Haiti hiyo nchi isha jifia, marekani waingilie kati kwa hao watekaji waliomua vibaya huyo dada kwa mapanga

    Asee hili swala dunia ipige kelele. Ester Tomas, maarufufu nice b anasakwa na polisi akidaiwa kuhusika, alie katwa mapanga anaitwa baby love
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Handeni, Maryam Ukwaju, anatumia vibaya madaraka yake

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Handeni, Maryam Ukwaju, anatumia vibaya madaraka yeke kujiamlia mambo Hali ilivyo katika Halmashauri ya Mji Handeni, ikiwa itaendelea bila mamlaka za juu kuchukua hatua stahiki, inaweza kusababisha matokeo hasi yatakayoathiri utendaji na utoaji wa huduma ndani...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Nawakumbusheni Ya Kuwa Field Marshall Paul Makonda Hajawahi kushindwa vita yoyote ile. Huyu ni Zaidi ya Alexander The Great. Msimjaribu Mtaumia Vibaya

    Ndugu zangu Watanzania, Napenda kuwaambieni na Kuwakumbusheni Ya Kuwa Mwamba Mwenyewe Field Marshall Paul Makonda Hajawahi kushindwa vita yoyote ile katika vita zote alizowahi kupigana . Mwamba hajawahi kupoteza wala kuweka silaha chini katika Uwanja wa Vita . Mwamba hajawahi kurudi nyuma ...
  5. JamiiForums Tanzania Je, Putin alipiga mahesabu yake vibaya?

    Usiku wa kuamkia leo, Ukraine imefanikiwa kufanya shambulizi kubwa la drones na kufanikiwa kupiga mitambo ya nishati ya mafuta katika jiji la Moscow, ndio sijakosea jiji la Moscow? Mimi binafsi sikuwahi kufikiria kuwa tutafika huku kwenye hii vita Kwasasa Putin ana machaguo mawili tu, chaguo...
  6. JamiiForums Tanzania CHADEMA ni chama kitakatifu kinachonajisiwa na wanaokitumia vibaya

    Mzee Edwin Mtei na Mzee Bob Makani walikuwa ni watu makini, wasomi wa uchumi na wenye heshima na hekima nyingi waliolitumikia taifa lao kwa uaminifu mkubwa katika ngazi ya juu katiba kitaifa ya Ugavana wa benki kuu. Walianzisha CHADEMA lakini sidhani kama walikuwa wanajua kuwa iko siku chama...
  7. JamiiForums Tanzania Nadhani huu ukumbatiaji wa wicknell kwa rais wa nchi haujakaa kiprotical , amemkumbatia vibaya na sidhani dini kama inaruhusu.

    Binafsi sidhani kama mwanamke wa kiislamu mjane na ambaye inasemekana ni rais akumbatiwe namna hii. Kwa maoni yangu ninavyoona sio sahihi. Jamaa ukumbatiiaji umevuka mipaka.
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mtendaji wa Kijiji cha Ukingwaminzi - Katavi anatumia madaraka vibaya, anabagua watu

    Mtendaji wa Kijiji cha Ukingwaminzi, Kata ya Mwamapuli, Wilaya ya Mpimbwe, Mkoa wa Katavi, amekuwa akifanya maamuzi ya kibaguzi na ya upendeleo dhidi ya wananchi wa kijiji hicho wanapowasilisha shida zao, hasa zinazohusu migogoro. Kuhusu ujenzi wa vibanda vya biashara pembezoni mwa barabara...
  9. JamiiForums Tanzania Nivumilieni wana JF leo nimeamka vibaya, nilikuwa natafuta attention tu 😊

    I was just seeking attention guys.. I'm glad I got it.. Niko humu na sitoki Kamwe.. If you hate me, hate me.. It is who I am.
  10. JamiiForums Tanzania Mheshiwa Lissu kajitetea vibaya kwenye kipengele cha heshima kubwa aliyonayo kimataifa

    Nilimsikia Mh. Lissu kwenye moja ya majibu yake mahakamani akisema na kukubali kuwa yeye ni mtu anaehishimika sana ndani na nje ya nchi kiasi cha jumuiya za kimataifa kumtambua na kumheshimisha kwa kumpatia tuzo. Kama Lissu mwenyewewe anakili kuwa yeye ni mtu muhimu na anaekubalika nchini na...
  11. JamiiForums Tanzania Video: Mwanamke adhurika vibaya baada ya kula chips zinazosemekana kukaangwa kwa mafuta ya transfoma

    Wakuu mko poa, Kipindi cha nyuma nadhani 2016 wakati Muhongo akiwa waziri aliwahi kupiga marufuku matumizi ya mafuta ya transfoma kwa mapishi ya chips, wakati huo zilikua ni tetesi tu kua kuna wauza chips wasio waaminifu wanatumia mafuta ya transfoma. Sasa leo nimekutana na video ya simulizi...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi amewazoesha vibaya sana huu msemo huu wa kijinga CHADEMA na imewakaa kichwani

    Kumekuwa na kasumba kwamba kila jambo linaloonekana kutrending ambalo halitokani na siasa Mange Kimambi amekuwa akisema Serikali ndio wamebuni huo mpango hili ni lakishamba na kijinga na hii kauli ninaiona kwa katibu mkuu wa CHADEMA John Heche akiingilia mambo ya mpira kwamba yanatumika ili...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa NMB leo umenikatili vibaya sana sina hamu kabisa

    Hawa jamaa leo wameniathiri vibaya kwa kukoso huduma fulani katika benki yao kutokana na mtandao wao kuwa down. Nimepoteza hela na nimeopoteza fursa. Inakera sana!
  14. L

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lipige marufuku na kuzuia mkusanyiko unaotaka kufanywa na BAVICHA mkoani Dodoma tarehe 12 Agosti kutokana na kuwa na viashiria vibaya

    Ndugu zangu Watanzania, Nimeona tangazo la Mwenyekiti Wa BAVICHA Taifa Deogratias Mahinyila Akisema watakuwa na mkusanyiko wa vijana utakaofanyika pale Dodoma wakitaka ama wakiwa na ajenda za kutaka Katiba mpya na kuzungumza mambo mengine ya kisiasa . Sasa kwa jicho la kijasusi na jicho la...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa filosofia ya "ikibidi ua ili uokoe" inatumika vibaya kila kona duniani, pamoja na hapa Tanzania

    Kuna filosofia kayika mahusiano ya wanadamu inayosema "ikibidi ua ili uokoe". Hii ni filosofia ambayo katika mazingira fulani inaonekana ni muhimu ili kulinda haki za mwanadamu, lakini pia inatumika sana na watu katika matakwa yao binafsi. Filosofia ya "ikibidi ua ili uokoe" inatumika mara...
  16. JamiiForums Tanzania Masikini wengi wakiwaongelea vibaya Matajiri huwa wanapata auheni ya kisaikolojia

    Masikini wengi wakiwaongelea vibaya matajiri uwa wanapata auheni ya kisaikolojia hii ni ngumu kumeza ndio maana weng waliofanikiwa wanaongozwa kusemwa vibaya sana
  17. JamiiForums Tanzania Watu wengi hawajui kikosi cha mizinga na nako 2 nako waliwahi kuwa na bifu kali kupelekea hadi kuumizana vibaya

    Bou Nako, mmoja wa waanzilishi wa Nako 2 Nako, alikuwa moja ya walengwa wakuu katika beef hiyo kubwa. Kuna hadithi kwamba aliumizwa vibaya sana wakati wa shambulio lililohusishwa na upande wa Kikosi cha Mizinga, na ilisemekana kuwa karibu na kifo. Haruna Moshi “Boban” aliripotiwa kumsaidia...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Barnabas Nyalusi: Gen Z wanaaminishwa kuwa Mwanaharakati ni vibaya

    Mjumbe wa Baraza la Uongozi Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) na Chama cha Wanasheria Zanzibar (ZLS), Barnabas Nyalusi, ameeleza jinsi dhana ya uanaharakati inavyopotoshwa na kukandamizwa nchini, akibainisha kuwa vijana wengi wa kizazi cha Gen Z wameaminishwa kwamba kuwa mwanaharakati ni...
  19. JamiiForums Tanzania Kijana miaka 25-30 kwanini uendelee kukaa kwa shemeji yako? Ati kisigizio ‘unasikilizia ajira’?

    Kwanza sipo hapa kukubeza au kukutukana bali kukumbushana kama wanaume Tegemewa wa leo na kesho pia nataka kujua hasa uwezo wako wa akili upo kiasi gani kichwani mwako! Ni kweli una elimu Ni kweli mfumo wetu wa Elimu una mjenga msomi kuwa tegemezi wa ajira tu hilo sipingi lakini bado haiindoi...
  20. JamiiForums Tanzania Msinielewe vibaya, uhu sio udini ILA wakatoliki tumepwaya sana, mapdri mmekuwaje?lissu alipigwa risasi tukanyamaza,kitima mpo kimnya mnasubilia wauwe?

    Uu, sio udini jamani narudia tena sio udini wakatoliki tunashambiliwa mno na tupo kimnya, Faza kitima alishambuliwa hatukuchukua HATUA na mpaka Leo hakuna TAARIFA yoyote iliyotolewa dhidi shambulio ilo sio jeshi la polisi, sio uchunguzi wa kanisa sio uchunguzi wa chombo chochote ili maana yake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…