DR-DOS (written as DR DOS, without a hyphen, in versions up to and including 6.0) is a disk operating system for IBM PC compatibles. Upon its introduction in 1988, it was the first DOS attempting to be compatible with IBM PC DOS and MS-DOS (which were the same product sold under different names).
DR-DOS was developed by Gary A. Kildall's Digital Research and derived from Concurrent PC DOS 6.0, which was an advanced successor of CP/M-86. As ownership changed, various later versions were produced with names including Novell DOS and Caldera OpenDOS.
watu wengi wanapenda ps4 za kuchipu kuepuka gharama za games za kununua na account,
Ps4 iliyochipiwa unadownload game lako mtandaoni, unalihamisha kwenye mashine unaanza kucheza.
PS4 zenye soko kubwa ni version 9.00 kwasababu ya urahisi wake wa kuchipu, juu ya hapo watu wengi wanazikwepa au...
Tesla officially wamezindua Tesla Model Y L, ambayo ni long version ya Tesla Model Y ya kawaida.
Itakuja ikiwa na seat 2 za ziada kwahiyo jumla mtakaa watu sita fresh kabisa.
Ukifananisha na Model Y, hii imeongezeka urefu 180 mm, kimo 24 mm, wheel base 150 mm, na bei ikiongezeka kwa $3,600 hivi.
Taifa huru linaundw na katiba iliyo bora
Muda wa installation ya new version ya checker unahesabika,hakuna mtu atakaye amini tukio la ajabu toka nia kuundwa na waasisi wenye assigning number one,ambao kete zao zenye assigning number zimeshapigwa,hakuna atakaye amini awe rice promax one ,au...
Habar wakuu nataka kuhama kutoka kwenye Xiaomi kuja sumsung ,naombeni msaada wenu nitoleo jipi hasa matoleo mapya naweza pata Samsung yenye camera quality,betri kukaa na chaji mda mrefu,na iwe fast charging na je maduka Gani Hasa kariakoo napata mpya fullbox,
Wakuu kama heading inavyosema naomba wenye uzoefu wanipe muongozo.Sitaki bidhaa ya Dubai.
Leta ushuhuda wako pia kwa simu ya Samsung unayotumia.
Nawezaje kujua simu fake na Original?.
Nina 550k
Baada kucheleweshwa kwa muda mrefu kuachiwa kwa update ya Android version 15 kwenye baadhi ya vifaa vya Samsung device hatimaye wametoa list la simu inabidi wafanye update kupata android Version 15 kwenye vifaa vyao.
Update hiyo mpya sio kwamba kutakua na mabadiliko Makubwa hapana ila sana...
Muda si mrefu wasanii wa Bongofleva watasitisha utaratibu wa kuwaruhusu wasanii wa singeli kufanya singeli versions za nyimbo zao kwa sababu kila wakifanya, singeli version zinakuwa hit kuliko nyimbo original.
Mfano mzuri ni Wimbo " Kisa Salio" Wa Marioo. Dogo Sajenti na mwenzake Pateni...
Habari wadau humu jukwaaani,
Kama pengine kuna member ana simu tajwa hapo juu maybe imekufa mashine au shida ingine.
Mimi mdau mwenzake nina uhitaji wa kioo cha simu kama hiyo, kama yupo anicheki inbox au anijibu post yangu kisha tuone namna ya kuweza kufanya biashara nae.
Sihitaji kuingia...
Isarael any time soon anafanya ground invasion ndani ya Lebanon. Hapo Hezbollah ndo watajua hadithi za 2006 zilikuwa mtego ili wajisahau
Photos: Israel deploys tanks near Lebanon border
[Menahem Kahana/AFP][Menahem Kahana/AFP][Menahem Kahana/AFP]
Nina shida na kanuni za uumishi wa wartumishi wa serikali. (STANDING ORDERS FOR THEPUBLIC SERVICE, ). Ya mwisho ilikuwa ya 2009. Kama kuna latest anisaidie
Kwa wale wenzangu na mimi, kama hujawahi sikiliza Wimbo wa Dax: what it takes to be a man, sikiliza kisha hii ndio swahili version yake
"Sina uwezo wa kujificha
Sitarajii uweze kuelewa
Natumai tu naweza kueleza
Vipi ni kuwa mwanamume
Ni njia yenye upweke
Na hawajali kuhusu unayojua
Siyo kuhusu...
Wakuu, Mimi ni software developer. Natengeneza App kwa ajili ya kutumika kwenye simu za Apple(iphones).
Nafanya research nipate kujua ios version gani inatumika na watu wengi hapa Tanzania ili niweze kuwaletea App yangu na muweze kuitumia.
Hivyo naomba kufahamu ios version ya ngapi mnatumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.