Habari wana JF?. Mimi Niko kwenye ndoa mwaka wa pili, nimebahatika kupata mtoto Mmoja ana mwaka na miezi miwili saiv.
Tulikuwa tunatumia njian ya UZAZI WA MPANGO WA kitanzi na mke WANGU, na kitanzi chenyewe kawekewa kina kama miezi nane tu ila chakushangaza alikuwa hajaingia period tangu wiki...