Uzalishaji wa korosho Tanzania umeendelea kuongezeka, kutoka tani 236,213 mwaka 2021/22 hadi kufikia rekodi ya tani 617,683 msimu wa 2025/26. Serikali inalenga kuongeza uzalishaji hadi tani 750,000 msimu wa 2026/27, huku wakulima 549,936 wakinufaika na tani 51,000 za salfa na lita milioni 6 za...