Mbunge Musukuma alisikika akiunguruma Hatuna chochote cha kujifunza kutoka Kenya! Waakenya tunawazidi kwa kila kitu: akili, siasa ....!
Kwa Musukuma kudai ana akili kubwa.....ni kichekesho cha mwaka huu. Wakenya walidukua saiti yake mtandaoni wakakuta alifeli la saba, tena la Tanzania! Ikawa...