Kuna mambo yanayogusa maisha ya wananchi ya kila dakika. Suala la mgao wa umeme, miundombinu ya maji kuharibika na kutokutengezwa kwa haraka ili kurejesha huduma, barabara mbovu, dawa hospitalini, nk. siyo vitu vya kusubiri sijui mpaka rais aje avitolee maelekezo au kuwajibisha watendaji wake...