Ni kwamba kimsingi, hakuna haja kabisa ya kuwa na utitiri wa malori tunayoyaona barabarani siku hizi katika barabara za Dar - Mbeya, Dar - Tanga, Dar - Songea, Dar - Arusha na hata Dar - Mtwara.
Sasa basi suluhisho ni nini?
Serikali iamue, kama kweli inataka kuondoa tatizo la msongamano wa...
ajali
bandari
bandari kavu
barabarani
basi
chanzo
chanzo cha ajali
iko
kutatua
malori
mfumo
mikoani
msongamano
muendelezo
nchini
nyingi
reli
serikali
serious
suluhisho
uwepo
wazi
Kumekuwa na uwepo wa mabasi yanayotoza nauli za VIP, lakini huduma na hali ya mabasi hayo hazikidhi viwango vinavyostahili.
Tarehe 3 Oktoba, nilisafiri kwa basi la kampuni ya Ally’s kutoka Mwanza kwenda mkoani Rukwa saa 9:00 mchana, ambapo nilitozwa nauli ya VIP ya Sh45,000. Hata hivyo, basi...
Njia nne Goba round about kwa sasa kuna askari wa usalama barabarani wa kutosha sana wanaoongoza magari kupita kwa zamu, tunawapongeza sana kwa jitihada hii ya kupambana na foleni. Hata hivyo, toka mmeanza kuruhusu magari kwa zamu imesababisha foleni kuongezeka mara dufu. Kuthibitisha hilo ni...
Jamani naomba kujua kama jaji Mtungi na msaidizi wake Sisty wapo!
Kuna chama cha siasa kinamiliki majeshi na vyombo vya usalama.
Nadhani hii ni kinyume na sheria ya vyama vya siasa na natumaini hatua kali sana za kukifuta chama hicho zitachukuliwa
Huyu mmama alikuwaga " Mtu' Wangu wa karibu Sana wakati nasoma UDSM. Amegraduate mwaka 2010 anatoka nchi jirani. Anataka kuja kufanya Masters UDSM.. Kwa mujibu wa ratiba iliyopo ni kwamba classes zinaanza October mwishoni. She was about to pay her fee ila amesikia kuhusu El Nino na mabadiliko ya...
Wakuu na wanajukwaa wenzangu,Leo natangaza kustaafu rasmi JamiiForums. Nilijiunga hapa mnamo mwaka 2010 kwa jina la Mpinzani. Tangu siku hiyo, nimekuwa member muungwana sana—sijawahi kupigwa 'ban' wala kugombana na mtu yeyote humu ndani. Nilikuja kwa amani, na sasa naondoka kwa amani.Baada ya...
Hawa watu msiwatukane, wasikilizeni maana Wana maana Yao kusema hivyo, wengi wao wanaoamini hivyo wameamua kua hivyo kutokana na magumu na machungu waliyokutana nayo kwenye maisha na walipomuhitaji Mungu hakuwasaidia.
Unakuta mtu ana jambo linalomnyima furaha kwenye maisha, ametafuta msaada kwa...
Kufuru anayofanya and force aliyonayo ni mfano aina ya mtu ambae sio energy ya kibinadamu.
Nafikiri yupo possessed au connected na element fulani hivi.
familia nyingi, baba huonekana kama mtu anayesimamia nidhamu, mwelekeo na usalama wa familia. Hata pale ambapo hatumii nguvu wala maneno mengi, uwepo wake pekee unaweza kuwa ujumbe kwamba kuna mipaka ambayo haipaswi kuvukwa.
Kwa mtoto wa kiume, jambo hili linaweza kuwa muhimu zaidi anapokua na...
Tukiachana na masuala ya dini kwanza, kwasababu sio dini ndo zimeleta uwepo wa Mungu
Ukizingatia dini kuu zilizopo mfano Uislam umeanza baada ya uwepo wa Mohhamad S.A.W, mtume huyo alidai kashushiwa kitabu kutoka mbiguni (Kuran) na hapo ndio ukawa mwanzo wake kitu ambacho kabla ya Mohhamad...
Azam FC wanachofanya ni kiburi cha pesa ambacho hakina tija yoyote kwao.
Tangu usajiri wa Feisal ufanyike, Azam FC imeendelea kua msindikizaji Katika mashindano ya ndani na hata Yale ya kimataifa. Huku feitoto akinufaika pakubwa kimaslahi .
Kutokana na ubumunda wa viongozi wa Azam FC kwenye...
Habari kwenu.
Raisi wa Kenya William Ruto amewapa salamu wale wasioamini uwepo wa Mungu kwamba hawana utofauti na Wanyama.
Najua hili linawagusa sana hasa wale wanaoishi nga'mbo au ugaibuni kwani wao baada ya kufika huko wengi wao wamempa Mungu Kisogo na ndio maana wengi wao wanishi kwa msongo...
Wadau za wakati huu,
Tuna muda kidogo hatujaonana uzi wangu wa mwisho wiki kama 3 zilizopita lakini katika kukaa kwangu na kufikiria nimefanya uchambuzi pamoja na utafiti mbalimbali kuhusu hii mada yetu hii ya leo. Mada hii ya leo imeibuka baada ya siku moja swali hili kutokea: "Kama...
Kumekuwa na hoja inayorudiwa mara kwa mara kwamba Afrika imechelewa kimaendeleo kwa sababu watu wake wana dini nyingi, hasa Uislamu. Lakini je, hoja hiyo ina uzito wa kutosha, au ni njia rahisi ya kuficha sababu halisi za changamoto za maendeleo?
Kwanza kabisa, ni muhimu kutofautisha kati ya...
Anaandika Hilda Newtown kutoka ukurasa wake wa X-TWITTER...
==================
Baada ya Gen-Z kutangaza Maandamano ya Amani ya 7/7 #77Tunatoka.
Sasa maandamano haya kwa MaRPC na Wakuu wa Wilaya nchini, wao wakaigeuza kuwa fursa ya kutapeli Wafanyabiasha wenye Maduka pamoja na wamiliki wa Petrol...
Imekuwa ni jadi na utamaduni kufurahia sikukuu hii na kuwaenzi waasisi wa Muungano wetu Mwalimu Nyerere na Mzee Abeid Karume kwa matamasha, gwaride na shangwe kebekebe.
Lakini imekuwa ni dhambi, tena yenye sumu kali kwa mtu yeyote kuhoji au kutaka kuuchambua Muungano huu.
Lengo langu si...
all
faida za muungano wa tanzania
hisnis the
historia ya muungano wa tanzania
kero za muungano
kuhusu
kura
matatizo ya muungano wa tanzania
muungano
muungano wa tanganyika na zanzibar
mwinyi
raisi
tanganyika
tanganyika na zanzibar
tupige kura
umuhimu
uwepo
wazi
zanzibar
Serikali ilitangaza kuanza kwa mchakato wa kuboresha eneo la Sinza ili kulifanya kuwa la uwekezaji na kwamba Wananchi watapewa maelekezo ya kuyaachia maeneo yao kwa makubaliano maalum ya uwekezaji.
Kikao kilichopita kati ya wawakilishi wa Serikali na Wananchi kwa asilimia kubwa hakikuwa na...