uwanja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Juni 6, 2022 Injinia Hersi Said aliahidi atajenga Uwanja wa Yanga ndani ya miaka minne ya Uongozi wake

    Miaka minne iliyopita, Siku ya Jumatano, Juni 6, 2022 akiwa anahojiwa katika Kipindi cha Sports Arena cha Wasafi FM, Injinia Hersi Said baada ya kupitishwa kuwa mgombea pekee wa nafasi ya Urais katika Klabu ya Yanga, Injinia Hersi Said alitoa ahadi ya kujenga uwanja wa klabu wenye siti 20,000...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Millennials tukaze buti, hawa Gen Z wanaijua pesa vizuri, bado wadogo lakini wako very sharp kwenye kutega pesa.

    Millennials tukaze buti 😅. Hawa Gen Z wanaingia kwenye game wakiwa na uelewa mkubwa wa kutengeneza pesa kuliko vizazi vilivyopita. Vijana wa 2000 wao bado wadogo lakini honestly wako very sharp kwenye kutega pesa na kuona opportunities . Wamekua kwenye era ya internet, apps na fast information...
  3. M

    JamiiForums Tanzania FT: Simba 1 - 0 Dodoma Jiji | Uwanja wa KMC, Mei 24, 2026

    Mechi kati ya Simba na Dodoma Jiji inapigwa leo, Mei 24, 2026 kwenye uwanja Wa KMC, Simba inaingia kwenye mche huu ikiwa nyumba ya Yanga kwa pointi 2, Ikiwa na alama 55 ya pili kwenye msimamo huku Dodoma ikiwa na alama 33, na ya 8 kwenye msimamo. Nani kuongeza alama? Ni moja au 3 acha tuone au...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kucheza Kwenye Uwanja wa Siasa: Barua ya Wazi kwa Rio Ferdinand

    Mpendwa Rio, Kuwasili kwako nchini Tanzania kumeleta msisimko mkubwa sana miongoni mwa mashabiki wa mpira wa miguu kote barani Afrika. Kama nguzo ya michezo duniani, sauti na uwepo wako vina uzito mkubwa sana. Kuona ukishirikiana na vijana na kujionea miundombinu ya hapa nchini kunaonyesha...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Yanga na GSM zasaini mkataba wa ujenzi wa uwanja wa Yanga

    Klabu ya Yanga leo imesaini mkataba na Mfadhili na Mdhamini wao Ghalib Said Mohamed wa ujenzi wa uwanja wao wa mpira Uwanja huo wa Yanga utamilikiwa kwa 50% na klabu ya Yanga na 50% na GSM Tanzania Limited Ujenzi wa uwanja huo upo kwenye mfumo wa partnership ambapo Yanga wamechangia ardhi na...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwenu wabunge wa Kanda ya Ziwa: Airport ya Mwanza iboreshwe lakini hoja zenu za kikanda zisiwe sababu ya kupinga ujenzi wa uwanja wa Serengeti

    Serengeti ni moyo wa utalii wa Tanzania, halafu bado tunabishana kuhusu airport? https://youtu.be/9eOKGUVCjA4?si=UOzbKsu_RKP-Xeck Wakenya waliona tumelala, wana mipango ya kujenga airport karibu na Maasai Mara ili watalii watue moja kwa moja karibu na destination yao. Tumechelewa sana kuweka...
  7. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa uwanja wa ndege Serengeti

    Serikali hao wanaopiga promo ujenzi wa kiwanja cha ndege wanatafuta mianyaa ya kuiba fedha za umma tu Sasa unajengaje kiwanda cha ndege maeneo hayo miundombinu kama barabara ni mbovu kipindukia za tope Ikumbukwe kwa musoma kuna ujenzi unaendelea wa kiwanja cha ndege na hapohapo mnataka tena...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia Akamilisha Uwanja wa Ndege Tabora

    Rais Samia akamilisha ujenzi wa Uwanja wa Ndege Tabora Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan imefanikisha kukamilika kwa ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Tabora, hatua inayolenga kuboresha usafiri wa anga, kuchochea biashara, utalii na kufungua fursa zaidi za...
  9. JamiiForums Tanzania Maboresho ya Uwanja wa Ndege Musoma kuchochea Utalii

    Kukamilika kwa maboresho ya Uwanja wa Ndege wa Musoma kunatajwa kuwa hatua muhimu itakayochochea ukuaji wa sekta ya utalii, biashara na uchumi kwa ujumla katika ukanda wa Ziwa Victoria na mikoa jirani. Maboresho hayo yanatarajiwa kurahisisha usafiri wa anga kwa watalii wanaotembelea vivutio...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Usimamizi mbovu wa Uwanja wa Ndege wa ABEID AMAN

    Uwanja huu ni uwanja bora sana hauna hata miaka 6 lakini tayari haufanyiwi marekebisho ,napenda wajuzwe huu ni 5 star level airport hatutarajii rangi ya jengo izidi 3 years isibadilishwe ,vyoo vyake vinatumiwa na watu si chini ya 2000 kwa siku tunatarajia kila mwaka chooni sink zibadilishwe mpya...
  11. JamiiForums Tanzania Chadema ni wa MOTO Balaa CCM kazi wanayo uwanja wa uchaguzi ukiwa huru

    Guys guys Imagine hapa TAL Bado yupo jela lakini mwitikio bado ni mkubwa na unatisha hatari wamedhibitisha kweli ni chama kikuu Tanzania. Sipati picha Lissu awe huru hii chadema iko na MOTO 100 times kabla ya kufungiwa na baadhi wa wa mbunge wa CCM waanze kujitafakari mapema kama wataendelea...
  12. JamiiForums Tanzania Waziri Ulega: Serikali itaimarisha miundombinu ya Mara, Barabara na Uwanja wa Ndege

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema kuwa Serikali itaendelea kujenga na kukamilisha barabara zilizopo Mkoa wa Mara kwa kiwango cha lami, ili kufungua fursa za kiuchumi na kurahisisha huduma za usafiri na usafirishaji ndani ya mkoa huo na mikoa jirani. Pia soma ~ Barabara ya Tarime Mjini...
  13. JamiiForums Tanzania Mwigulu atoa maagizo mawili Uwanja wa AFCON Arusha

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mwigulu Nchemba leo, Ijumaa, Aprili 17, 2026, ametoa maagizo mawili kwa wanaosimamia mradi wa ujenzi wa Uwanja wa soka wa Arusha utakaotumika kwa Fainali za AFCON 2027. Maagizo hayo ni uharakishwaji wa mradi huo pamoja na matumizi stahiki ya...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ligi Kuu Bara. FT: Fountaain Gate 0 - 3 Simba uwanja wa Amri Abeid Aprili 15, 2026

    Mechi kati ya Simba inaendelea muda huu Simba wakiwa mbele kwa bao 2 dhidi ya Fountain gate. Simba yupo ugeninim, Goli kwanza limefungwa na Chama, la pili limefungwa na Gueye. Na sasa ni kipindi cha pili ----- Wekundu wa Msimbazi, Simba SC, wameendeleza wimbi la ushindi katika Ligi Kuu ya NBC...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Asha Baraka aomba Simba ipewe uwanja kama ilivyopewa Yanga. Hivi haya ndio mahitaji ya Watanzania wabunge wanayojadili?

    Mbunge wa Viti Maalum, Asha Baraka amemwomba Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba kutoa uwanja kwa ajili ya klabu ya Simba kama ilivyopewa klabu ya Yanga Kweli pamoja na kero chungu nzima mbunge anaenda kuomba Simba apewe uwanja kama alivyopewa Yanga, hivi ndio vipaumbele vya wabunge wa CCM...
  16. JamiiForums Tanzania "Makomandoo" watwangana makonde na Walinzi Uwanja wa Sheikh Amri Abeid kabla ya TRA Vs Simba, Aprili 9, 2026

    Wakati msafara wa timu ya Simba SC ukiingia uwanjani majira ya Saa 8:30 Mchana wa leo Aprili 9, 2026 kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara kuna hali ya sintofahamu kati ya wanaodhaniwa kuwa ni “Makomandoo” na walinzi wa uwanja, hali ambayo...
  17. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Uwanja unaojengwa Pemba, Mkoa wa Kaskazini, Wilaya ya Wete unawekewa nyasi zilizotoka kwenye Uwanja mwingine

    Kero yangu ni Kiwanja cha mpira kinachojengwa Kisiwani Pemba, Mkoa wa Kaskazini, Wilaya ya wete, Shehia ya Pandani. Yaani Kiwanja kipya lakini kinawekwa Nyasi kongwe (zimetolewa kiwanja chengine). Hapo tayari ubora wa kiwanja haujafikiwa, kila siku itakuwa ni ukarabati.
  18. JamiiForums Tanzania CAG: Mradi wa ujenzi wa Uwanja Arusha ulikadiriwa bilioni 187, mkataba ukasainiwa bilioni 338

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere akisoma ripoti ya ofisi yake ya Mwaka 2024/2025, Machi 30, 2026 amesema alibaini upungufu katika mradi wa ujenzi wa Uwanja wa Mpira wa Arusha, ambapo ulikadiriwa kugharimu Tsh. Bilioni 187 lakini mkataba ukasainiwa kwa Tsh...
  19. JamiiForums Tanzania Uwanja wa Ndege-vita wa Bushenr huko iran washambuliwa!!

    Uwanja wa ndege-vita huko Iran umeshambukiwa na ndege-vita za Israel
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…