Waziri wa habari, sanaa,utamaduni na Michezo, Paul Makonda amesema kuna timu iliingia uwanja wa Benjamini Mkapa, ikachimba Nyasi za uwanja na kuweka dawa ambazo zimesababisha uwanja kuzalisha fangasi na kusababisha hasara kwa Taifa.
Amezitaka timu kuwekeza nguvu kwenye mazoezi, kutafuta...
Nimeona clip moja mtandao, ikionesha kupostiwa na Msanii na Naibu waziri wa Michezo Hamis Mwijuma (MwanaFa) akionesha magari makali ya mwaka wa mbele kabisa, haya magari ni yale ya bei kubwa kubwa tu tena yakiwa kwenye maegesho yanakula kiyoyozi aka full kipupwe.
Yes, MwanaFA ni msanii mkubwa...
Kwa mujibu wa gazeti la The Citizen ni kuwa Simba na Yanga watalazimika kutafuta viwanja vingine kwasababu dimba la Benjamin Mkapa litaendelea na matengenezo makubwa mwezi huu hivyo kupisha mchakato huo matumizi ya uwanja huo yatafungwa kwa muda.
Uwanja wa Mkapa umefungwa kwa kipindi cha miezi...
Pamoja na jitahada za KM Msigwa kutaka wananchi wajibu Salaam za Mheshimiwa Rais kwa Vibe. Uwanja ulikuwa kimya. Hizi ni Salaam na ndio hali halisi mtaani. Sio sokoni, vyuoni wala kwenye nyumba za ibada.
Watu wengi wanaona hakuna uchaguzi ila kiini macho. Ila kwa kuwa yeye anataka tu atangazwe...
Mwonekano wa Uwanja wa Benjamini Mkapa 'Lupaso' upo tayari kwa ajili ya michuano ya CHAN2024
Agosti 2, michuano ya CHAN itaanza kwa mara ya kwanza kutimua vumbi katika ardhi ya Tanzania. Mechi ya ufunguzi itapigwa katika dimba hilo baina ya Taifa Stars na Burkina Faso. Kumbuka bado siku 5.
Inalilah waina ilahi rajiun
Ibrahim sow kutoka Ivory coast.
Aliekuwa mshindi wa Quran mwaka Jana pale uwanja wa mkapa amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 16.
====
Mshindi wa Mashindano ya Quran Tukufu Ibrahim Sow raia wa Ivory Coast amefariki.
Taarifa kutoka vyombo mbalimbali Nchini Ivory...
Dimba la Benjamin Mkapa limeonekana kuwa katika hali ya kuvutia kuelekea mechi ya kusisimua ya Dabi kati ya Yanga na Simba inayotarajiwa kuchezwa saa 11, Jioni leo Juni 25,2025.
Salaam Members!
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeutangaza uwanja wa Benjamin Mkapa uliopo Dar es Salaam, Tanzania kuwa mwenyeji wa mchezo wa ufunguzi wa Fainali za Mataifa Bingwa Afrika (CHAN2024) itakayofanyika Kenya, Tanzania na Uganda kuanzia Agosti 2, 2025, uwanja huo utatumika...
Klabu ya Simba imeruhusiwa kufanya mazoezi uwanja wa Benjamin Mkapa tarehe 14 Juni 2025, siku ya Jumamosi ambayo ni siku moja kabla ya mechi ya 'DABI' dhidi ya Yanga SC.
Wizara ya Habari Sanaa Utamaduni na Michezo imewaandikia barua hiyo hapo juu klabu ya Simba ambayo ndiyo klabu mgeni kwenye...
Kuna yeyote anayebisha? Kama timu yako imewahi kucheza fainali yoyote ya CAF katika dimba la Mkapa, nyoosha mkono juu.
Vinginevyo kaa kimya.
FT aggregate 1:3 😀
Mimi nipo pamoja na CAF kuhusu kuuhamisha Mchezo wa Fanali kwenda Zanzibar.
Kipindi hiki Cha Mvua uwanja wa Mkapa ukitumika dakika 10 tu za mwanzo, unakua sawa na Uwanja wa Sokoine huko Mbeya.
Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kuwa mechi ya pili ya fainali ya Simba vs Berkane itachezwa Zanzibar.
Ndiyo, kuna uzembe mkubwa umefanyika katika ukarabati wa uwanja wa Mkapa na wachache tumekuwa tunapigia kelele hili suala kwa muda mrefu.
Ndiyo, kuna watu tulio nao hapo hapo Tanzania wana...
Kati ya watu wasiona aibu kwenye hii nchi n Ahmed Ally msemaji wa Simba
Sio kwa kusikia angalien arise n shine taarifa ya habari anahojiwa anasema wanachama msiwe na shaka tumesikia fununu marudiano uwanja wa aman
Naomba msitoke mchexon maandalizi ya kwa mkapa yanaendelea kama kawaida tufocus...
Siasa ni saikololojia....siasa ni mbinu...siasa ni kufitinishana.
kwa kuwa Ccm kwa makusudi, imeamua kuhamisha attention ya wananchi kuhusu mambo yao muhimu....na kuyaelekeza kwenye kujadili michezo na wasanii......
Nashauri Chadema nao wapige hapohapo kwenye mshono.
John heche, hebu badilika...
serikali ilidhani wakosoaji tunawapigia kelele, sasa kelele zinatoka CAF!
Club ya Berkene imejulishwa na CAF uwanja utakuwa Zanzibar.
Simba hawajui kinachoendelea, kwenye page yao wameandika taarifa kamili ni baada ya mechi ya ugenini.
Uwanja wa Zanzibar huwa ni mgumu sana kwa mechi za Simba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.