Mahakama ya Katiba ya Korea Kusini imeidhinisha kwa kauli moja kuondolewa madarakani kwa Rais Yoon Suk Yeol baada ya kumkuta na hatia ya kukiuka katiba kwa kutangaza sheria ya kijeshi mnamo Desemba 3, 2024, hatua ambayo ilizua mtafaruku mkubwa wa kisiasa.
Uamuzi huu unamaliza miezi ya mvutano...
Hakuna taasisi ya kiserikali ,kimahakama ama kibunge iliyo huru Tanzania ,kitu kinachopelekea taasisi nyingi kifanya kazi zake kwa weledi na uhuru.
Viongozi wa juu wa taasisi za kiserikali,,Mahakama na hata Bunge Rais anahusika moja kwa moja katika uteuzi wao.
Natolea mfano TAKUKURU,ofisa...
Nasema tena CCM sio serikali moja, na kwa sababu hii itachukuwa miaka zaidi ya 100 kwa Tanzania kuwa na standard life for as long as CCM itaendelea kuwepo madarakani.
Ishu ya Chalamila na Mwendo kasi, ni katika jitihada za kupambana na nchi yenye miundo mbinu ya HOVYO never seen kiasi kwamba...
Waafrika hatuendelei sababu ya wizi, wengi wanaokabidhiwa kitengo wanafilisi serikali.
Vivuko vya kigamboni vimetushinda, magari ya mwendokasi yametushinda, reli ya tazara imetushinda wamepewa wachina waendeshe miaka 30.
Tusijifiche kwenye mwamvuli wa dini, sisi wengi ni wezi, wala rushwa.
tulishakubaliana kuwa katiba ni kijitabu flani hivi, hivyo kisitusumbue sana. Uongozi bora ni utashi wa kiongozi aliyechaguliwa. Nadhani wote tunashuhudia yanayoendelea Marekani ambao ndiyo mama wa democrasia.
Tanzania tunaye rais mwenye utashi na leadership skills zake ziko juu kabisa
Mimi ni Mwananchi ninayeishi Shehia ya Kwahani, Wilaya ya Mjini Unguja Zanzibar, naomba mamlaka husika pamoja na baraza la Manispaa Unguja kushughulikia kero ya Maji Taka na mitaro inayotoa maji machafu mtaani kwetu.
Uchafu huo unatoka kwenye nyumba mpya za Kwahani na hivyo kuwa kero kwa muda...
Hellow!
Katika Taasisi mbalimbali zitoazo huduma za kibenki na Taasisi zingine za Serikali na binafsi, watumishi huvaa vitambulisho shingoni vyenye Majina Yao Ili kumpa nafasi mteja Kutoa malalamiko au kudai HAKI yake ambayo anaona imepokwa au kudhulumiwa na mtoa huduma.
Tukirudi kwenye sekta...
Mwanachama wa ACT Wazalendo ambaye pia ni Waziri Kivuli Ofisi ya Waziri Mkuu- Bunge, Sera, Vijana, Kazi na Ajira, Ndolezi Petro amesema wanamuunga mtu yeyote anayekuja na hoja ya mabadiliko kwa sababu viongozi wasiochaguliwa na umma huwa hawawajibiki ipasavyo.
Ndolezi ameyasema hayo katika...
Rushwa imekuwa kama ugonjwa katika taasisi nyingi za serikali, ambapo kila kitu kinaonekana kuendeshwa kwa mlungula. Bila bahasha, huwezi kupata huduma kwa wakati, na bila "connections," mambo yako yatakwama hadi uchoke, utazungushwa mpaka uchakae. Hakuna anaejali umetoka wapi unapigwa tu...
Usikose kujiunga nasi katika Mjadala wa "Je, 'Uchawa' unakwamisha Uwajibikaji?" Alhamisi hii ya Februari 27, 2025, kuanzia Saa 12 jioni hadi 2 usiku, kupitia Xspaces ya JamiiForums
'Washtue' ndugu, jamaa au marafiki ili wawe sehemu ya Mjadala huu muhimu kwa 'kesho' ya Nchi yetu.
Washiriki...
Habari wanajukwaa.
Mimi ni Mtumishi Sekta Binafsi. Mwenza wangu ni Mtumishi Sekta ya Serikali Idara ya Elimu. Tumepambana kuomba uhamisho wa kubadilishana na mtumishi mwenzake kwa kutumia mfumo wa online ess.utumishi. Mpaka sasa status zao zote zinasoma Tamisemi kwa zaidi ya miezi 7. Tukipiga...
Matukio mbalimbali wakati wa warsha iliyoandaliwa na JamiiAfrica kuwakutanisha Wanahabari na Wadau wa Habari kupeana elimu kuhusu umuhimu wa kuripoti Habari na taarifa zenye maslahi ya Umma, lengo likiwa ni kuhamasisha Utawala Bora na Uwajibikaji, Jijini Dar es Salaam.
Warsha hiyo ya siku moja...
Wakuu,
Wote tunashuhudia kipindi hiki cha uchaguzi wanasiasa wakiangahaika huku na hukokuonesha wananchi wao ni watu wa kazi, wanawasikiliza kero za wananchi na kuzitatua kwa wakati, wanafika mitaani kuangalia mambo yanavyoenda, ziara za kushtukiza zinapigwa kwelikweli, wengine mpaka wameweka...
Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) nawapongeza mmeanzisha mfumo mzuri wa wananchi kufuatilia taratibu za kupata cheti cha kizazi na vifo katika mtandao badala ya kuja kupanga foleni kwenye ofisi zenu.
Ila bado kuna changamoto nadhani kwakua watumishi sasa hawakutani na wateja nadhani...
Kuna huu mfumo wa kusubiri mtu atoke madarakani ndio tuanze kumkosoa lakini akiwepo madarakani ni kama watu wengi wanakuwa wamepoteza macho na kujifunga akili mfano mzuri ni kipindi cha utawala wa magufuli.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa...
Maandamano makubwa yamezuka mjini Novi Sad, mji wa pili kwa ukubwa nchini Serbia, ambapo maelfu ya waandamanaji, wengi wao wakiwa wanafunzi, wamejitokeza kupinga ufisadi wa serikali na kudai uwajibikaji kufuatia kuanguka kwa paa la kituo cha reli mwezi Novemba mwaka jana, tukio lililosababisha...
Bashir Yakub, WAKILI.
+255714047241.
Mama wakati uko bize kujiandaa na mkutano wa Nishati Chalamila amemdihaki na kumdharau mwanamke wa Tanzania.
Mama wewe ni mwanamke, ulipata mimba, ulipata uchungu, na kisha uliingia Lab kujifungua.
Unajua vizuri kadhia wakati wa mchakato huu . Fikiria upo...
Wakuu,
Ni huduma gani ambayo tunaweza kusema kwa 90% na kuendelea kuwa serikali imetimiza? Yaani hata mtu akilalamika tutasema hapa ni roho mbaya tu ya watu kulalamika lakini huduma ni nzuri?
Si kwa huduma za 'bure' wala ambazo tunachangia ambazo zimefanywa kwa ufanisi. Kote kumejaa makando...
Tundu Lissu, akizungumza kupitia mtandao wa kijamii wa Clubhouse mnamo Desemba 23, 2024, alieleza kuwa endapo atakuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, ataweka ukomo wa ubunge wa viti maalum. Lissu alisema hatua hiyo inalenga kuhakikisha wanawake wengi wanaokipigania chama wanapata fursa ya uwakilishi...
Matatizo ya ajali barabarani tunaweza kuyaondoa haraka endapo mamlaka za serikali zitachukua hatua leo.
kama hatutabadili namna ya kufikiri itatuchukua miaka mingi sana kupunguza matatizo ya ajali Tanzania.
Takwimu alizotoa rais wakati akifunga mwaka 2024 zinaonesha ajali zilizotokea ni 1735 na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.