uvccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Dodoma: Baadhi ya wabunge wanachukulia poa mamlaka ya Rais

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dodoma, Abdulhabib Mwanyemba amesema wapo baadhi ya wabunge wamezidiwa na vyeo vyao na kuchukulia poa’ mamlaka ya Rais, hivyo amebainisha kuwa jumuiya hiyo haitokubali kuona wabunge hao wakitweza madaraka ya Rais...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wale vijana wa UVCCM waliosema wapo wabunge wanaosema afadhali Magufuli kuliko huyu walitaka kumanisha nini?

    Nimeona clip ndogo ya vijana waliokata tamaa wa UVCCM mkoa wa Dar es salaam wakijaribu kuwajibu watu wanaomkosoa mpendwa wao , lakini wakiwa wanajibu wao wanakiri kuwa wabunge baadhi. Wakiwa sirini huko husema Bora alivyokuwa Magufuli kuliko huyu Ile kauli ili lenga kumanisha nini
  3. K

    JamiiForums Tanzania Magufuli alimuita Gwajima mara 3, lakini leo anabezwa na vitoto vya UVCCM

    Kweli nimeamini kila zama na kitabu chake, unaweza ukapandishwa na mtu na ukashushwa na jamii ya wajinga ingawa umuhimu wako unabaki palepale na siku ukifa ndiyo wajinga watajua umuhimu wako. Lakini ukiwa hai wanakubeza kukutukana na kukudharau. Kwangu mimi Gwajima anabaki kama shujaa katika...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 UVCCM Dar watoa msimamo kuhusu Gwajima, wataka akamatwe akaisaidie polisi kuhusu utekaji

    Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dar es Salaam imetoa wito mzito kwa Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima, kutofika katika ofisi yoyote ya CCM ndani ya mkoa huo kuchukua fomu ya kuwania tena ubunge kwa mwaka 2025. Msimamo huo umetolewa siku ya...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nasra: Dar es salaam sio lango la wanaharakati uchwara

    Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Dar es Salaam, Ndg. Nasra Mohammed amekemea baadhi ya Wanaharakati uchwara kutoka nchi za jirani kuingia jijini humo kuingilia masuala ya nchi ya Tanzania. Kauli hiyo imekuja baada ya hivi karibuni kuwepo baadhi ya wanaharakati ambao waliwasili jijini Dar es Salaam...
  6. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 UVCCM yalaani wanaovuruga amani kutoka nje

    Viongozi wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), wakiwemo Wenyeviti wa Mikoa wameungana kwa sauti moja kulaani vikali kile walichokiita vitendo vya baadhi ya wanaharakati na watu wengine kutoka nchi jirani wanaojaribu kuvuruga amani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  7. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 UVCCM: Wapinzani waache visingizio ngoma hii imewapita kushoto

    Baadhi ya Wajumbe wa Baraza Kuu la UVCCM TAIFA ambao pia ni Wenyeviti wa UVCCM wa Mikoa mbalimbali nchini wameahidi kuhakikisha wanapigania Kwa nguvu zote kura za Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mgombea wa Urais katika Uchaguzi...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa Nini UVCCM hawawajibu Vijana wa Kenya?

    Naona UVCCM wako Kimya Tu wakati Mwenyekiti wao anabalaswa na Gen Z! Nilitamani hata wangeandamana kuonyesha solidarity na Mwenyekiti wao but WAKO kimya. Je kimya hiki kinaashiria nini? Why wamemuacha Mwenyekiti wao peke yake ndio ajibizane na Wakenya? Kuna theories kadhaaa hapa, twende pamoja...
  9. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 UVCCM Kilimanjaro: Hakuna kijana yeyote anayesema No Election, Reforms zimeshafanyika

    MWENYEKITI wa Umoja wa Vijana UVCCM wilaya ya Moshi (Moshi Vijijini ) Yuvenal Shirima ameeleza kuwa katika Wilaya ya hiyo hakuna Kijana yoyote anaesema "No Election" na kwamba wote wanaunga mkono uchaguzi kufanyika. Ameeleza hayo Jumamosi Mei 17, 2025 wakati wa fainali za mashindano ya mpira wa...
  10. JamiiForums Tanzania UVCCM ni Umoja wenye Vijana wasokua na Msaada kwa Taifa , wasoweza hata kuishauri Serikali Kwa faida ya Taifa

    Wakuu mkikaa mkauchambua Huu Umoja ,kuanzia Kwa Viongozi wao, Wanachama, mitaani Kisha ingia mitandaoni,, Ama Kwa kuwasikiliza wanachongea au kusoma walichoandika, LAZIMA UKUBALIANE NAMM KUA NI UMOJA WENYE VIJANGA WAJINGA KWELIKWELI. Kinachowapa vyeo Hawa wajinga ni ULOPOKAJI WAO TU , Wee...
  11. K

    JamiiForums Tanzania UVCCM itisheni maandamano makubwa nchi nzima kupinga maazimio ya umoja wa Ulaya tuone kama MULIRO atayazuia

    Sijui kwanini mwachelewa wakati sababu zipo Waonyesheni mabeberu kuwa hatutaki kupangiwa na tuko huru Police wawasaidie kuratibu na watumieni wafanyakazi wote wa serikali kihamasisha yule asiyetoka katika maandamano hayo ashughulikiwe kwa mujibu wa Sheria
  12. Q

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi linachafuliwa na Green Guard wa CCM

    Matukio ya utekaji, mauaji ya viongozi wa vyama vya upinzani hasa Chadema mengi hutekelezwa na UVCCM (Green Guard) kwa mwamvuli wa jeshi la polisi. Hawa Green Guards 'WENGI' wao ni vijana wa vijiweni wahuni, wavuta bangi wasio na maadili yeyote hutumiwa na Chama cha Mapinduzi kuwaumiza...
  13. JamiiForums Tanzania Tetesi: JE UVCCM na Mamluki wake Kuvaa sare za CHADEMA Mei 19 2025 , kuanzisha vurugu na Fujo dhidi ya Mahakama na Mali zake ?

    Wakuu za chini chini ni kua, Maamuzi ya Hakimu ya Leo yapo well coordinated and calculated. Tarehe 19/5/2025 ,lile Genge la Wahuni wa UVCCM ,pamoja na Mamluki wao mbalimbali WAMEPANGA kuvaa nguo za Sare za CHADEMA tarehe Husika, Kisha wataanzisha Fujo nyingi sana Ndani ya Mahakama Fujo hizo...
  14. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kawaida: Tuwakate viongozi wanaotaka kuigawa CCM

    Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mohammed Ali Kawaida (MCC) amewahimiza wanachama wa CCM kudumisha umoja kuelekea Uchaguzi Mkuu na kuwakataa viongozi ambao wanawagawa na kuleta mpasuko kwa Wanachama. Kawaida ameyasema hayo Mei 03, 2025 akihutubia maelfu ya Wakazi wa Wilaya ya Kahama katika mkutano wa...
  15. JamiiForums Tanzania Asasi za kiraia zailalamikia CCM kauli zilizotolewa na UVCCM

    Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu, Wakili Onesmo Olengurumwa, ameeleza kusikitishwa na kauli zilizotolewa na baadhi ya viongozi wa Jumuiya ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), akisema zinadhoofisha jitihada za Asasi za Kiraia katika kuchangia maendeleo ya taifa. "Tumeona...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Songwe: CCM yatoa onyo kwa UVCCM na Mbunge wa Momba

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Songwe kimewaonya Umoja wa Vijana (UVCCM) Wilaya ya Momba pamoja na Mbunge wa Jimbo la Momba, Kondesta Sichalwe kutokana na mvutano ulioibuka kati yao hivi karibuni katika mkutano. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi wa UVCCM: Wapo wanasiasa wanaowatumia vijana kuharibu amani ya Taifa letu

    Katibu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi wa UVCCM Taifa, Jessica Mshama, ametoa onyo na wito mzito kwa Watu wote wanaonuia kuwatumia Vijana kufanya vurugu na kuwadanganya Vijana wasitimize wajibu wao wa kikatiba au kuwavuruga hususani wakati huu wa mchakato wa uchaguzi mkuu kuwa waache mara...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mapokezi ya Mwenyekiti wa UVCCM, Mohamed Kawaida, mkoani Geita yameniacha hoi!

    Jamaani kilichonifurahisha hapo ni aina ya mapokezi yakiongozwa na usafiri pendwa kanda ya ziwa Mapokezi ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mohamed Kawaida mkoani Geita.
  19. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kawaida: Nitavitaja vyama vinavyofadhili vijana kufanya vurugu

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Vijana ya Chama Cha Mapinduzi UVCCM, Mohamed Kawaida ameeleza kuwa anazo taarifa za baadhi ya asasi za kiraia na vyama vya siasa vinavyowapeleka Vijana wa Kitanzania kwenye mafunzo nje ya nchi ili kuwaandaa kuja kuwa sababu ya machafuko na vurugu ndani ya nchi, akieleza...
  20. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 M/Kiti UVCCM Kagera: Simamieni maslahi ya vijana siyo kupiga makofi tu

    Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera, Faris Buruhani ametoa wito kwa viongozi wa vijana mkoani humo kusimama imara katika kulinda maslahi ya vijana wenzao hasa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu, huku akiwakumbusha kwamba kazi waliyochaguliwa kuifanya ni kuwasimamia vijana ndani na nje ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…