uvaaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Infantry Soldier

    Is this culture of impunity? Kwani kuna tofauti gani na uvaaji wa mke wa "Mamadou Sakho"?

    Good afternoon JamiiForums Kwani kuna tofauti gani kati ya uvaaji wa mke wa "Mamadou Sakho" na mbunge "Condester Michael"? Mimi binafsi ninafikiri spika Job Ndugai alikuwa sahihi sana kumtoa dada yangu mbunge Condester Michael kwa maana yeye amefanya maamuzi kwa kufuata muongozo wa sheria za...
  2. pombe kali

    Chama cha Wanasheria (TLS) mngependekeza aina ya uvaaji (dress code) katika mikutano yenu

    Nimeangalia mkutano uliyojumuisha uchaguzi wa raisi wa chama cha wanasheria kwenye vyombo mbali mbali vya habari. Tukio hili kubwa la kitaifa lilifanyika Arusha kwenye jumba kuu la mkutano al maarufu kama AICC ni ukumbi wa mkutano ambao hufanyika mikutano mikubwa ikizingatiwa Arusha ni Makao...
  3. I

    Uvaaji was barakoa

    Habari za asubuhi wakuu. Namuona mama samia suluhu kavaa barakoa sasa hivi akiwa Uganda
  4. and 998 others

    Uvaaji Kondomu uboreshwe

    Kama ilivyo msisitizo katika kuvaa barakoa nashauri elimu itolewe uvaaji wa kondomu usisitizwe wakati wote kujiepusha na maambukizi japo unapunguza utelezi.
  5. M

    Ni muda muafaka uvaaji wa barakoa uwe jambo la lazima kwenye umma

    Watu huangamia kwa kukosa maarifa, lakini watu huangamia kwa upumbavu wao au kiburi chao. Sisi kama Taifa na dunia kiujumla tunalo la kujifunza kutoka Uchina na nchi za Asia, kulekule ambapo ugonjwa wa Korona ulianzia! Wao waliweka sheria ya lazima kuvaa mask ukitoka nje na hiyo sheria ilikuwa...
  6. S

    Serikali ipige marufuku uvaaji wa nguo fupi kwenye mabaa na sehemu zingine zinazotoa huduma za chakula na vinywaji

    Habari wadau. Uvaaji wa nguo fupi kwenye baadhi ya mabaa na mighahawa limekuwa ni kama jambo la kawaida ingawa kwakweli halipendezi na ni udhalilishaji wa utu wa mwanamke. Na Kwasababu hakuna sheria inayokataza jambo hili, inaonekana pia ni sera ya baadhi ya wamiliki wa mabaa na mighahawa...
  7. Suley2019

    Wizara ya Afya: Ufafanuzi wa uvaaji wa Barakoa kwa Wanafunzi

  8. kavulata

    Uvaaji barakoa Ligi Kuu umedunda

    Nikiangalia watazamaji walioingia viwanjani kushuhudia mechi za ligi kuu baada ya michezo kuruhusiwa tena, sikuona matumisi sahihi ya barakoa kujilinda dhidi ya COVID-19. Kuna ambao hawakuzivaa kabisa, kuna ambao waliacha pua wazi, na kuna waliozivua ili wanywe au wale vitu vinavyouzwa uwanjani...
  9. mwengeso

    Makosa matano katika uvaaji wa Barakoa

    Kutokana na ushauri wa kuvaa barakoa kama njia mojawapo ya kujikinga dhidi ya maambukizi ya kirusi cha korona wengi wetu wanafanya makosa yafuatayo ya uvaaji wake. 1) Barakoa kufunika tu mdomo. Uwezekano wa kuambukizwa kupitia pua ni mkubwa ukivuta hewa yenye virusi. Hii ni pamoja na...
  10. P

    Uvaaji wa barakoa usigeuzwe kuwa fasheni

    Mengi yamesemwa kuhusiana na hizi barakoa na hadi sasa hivi kuna baadhi ya watu hawajazielewa vizuri. Kuna wanaodai zile za kutengenezwa mtaani hazifai kabisa lakini kuna kundi la watu wengine wanadai hata hivyo zinasaidia kuliko kuacha kabisa kuvaa. Nilichokishuhudia leo kwa jirani yangu...
Back
Top Bottom