I ibanga JF-Expert Member Joined Sep 9, 2017 Posts 651 Reaction score 1,078 Apr 11, 2021 #1 Habari za asubuhi wakuu. Namuona mama samia suluhu kavaa barakoa sasa hivi akiwa Uganda
M Mailman JF-Expert Member Joined May 16, 2020 Posts 819 Reaction score 2,111 Apr 11, 2021 #2 Kwa hiyo?
Trimmer JF-Expert Member Joined Apr 25, 2014 Posts 2,784 Reaction score 4,852 Apr 11, 2021 #3 Jiandae kwa lockdown
Chupayamaji JF-Expert Member Joined Sep 19, 2017 Posts 5,780 Reaction score 13,701 Apr 11, 2021 #4 Ukiniona na mimi utasemaje?
mjingamimi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 46,674 Reaction score 57,792 Apr 11, 2021 #5 Yupo nje ya nchi yake.lazma afate wenyeji wake.
kukumsela JF-Expert Member Joined Oct 13, 2018 Posts 725 Reaction score 920 Apr 11, 2021 #6 Umeandika kama ulikuwa unakimbizwa?
Sister Abigail JF-Expert Member Joined Sep 2, 2020 Posts 4,429 Reaction score 13,865 Apr 11, 2021 #7 Anafuata taratibu za wenyeji. Ukiingia nyumbani ya watu fuata taratibu zao.ukirudi kwako fuata zako.