utumishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Kwa waliowahi kufanya Practical Interview za utumishi hususani kada ya Database administration ilikuwaje?

    Kwa yeyote aliyewahi kufanya practical hususan kwa kada ya ICT (Database administration) naomba utupe mwanga kidogo, Je Inatumika DBMS System ipi? Postgre, SSMS, MySQL nk Je Practical nayo hufanyika kwa njia ya online au kuna Msimamizi mtoa alama papo hapo? Natanguliza shukrani
  2. JamiiForums Tanzania Oral ya utumishi kwa CAG (NAOT)

    Hata nitoke private sasa nijaribu na serikali. Naombeni tips haswa kwa ambao kozi zetu sio za uhasibu au finance. Sisi ambao ni madktar, engineers etc
  3. JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Akwilapo aagiza Mtumishi kusimamishwa kazi na kuchukuliwa hatua za kinidhamu kwa kukiuka misingi ya utumishi

    WAZIRI DKT. AKWILAPO AAGIZA MTUMISHI KUSIMAMISHWA KAZI NA KUCHUKULIWA HATUA ZA KINIDHAMU KWA KUKIUKA WELEDI NA MISINGI YA UTUMISHI WA UMMA Dodoma Agosti 12, 2026 Kufuatia malalamiko ya wananchi wanaoishi katika eneo la Bahari Beach Manispaa ya Kinondoni kuhusu kusudio la ujenzi wa kituo cha...
  4. JamiiForums Tanzania ESS Utumishi Account Locked After Multiple Attempts: How to Unlock

    If your ESS Utumishi account gets locked due to multiple failed login attempts, don't worry — this is a common security feature to protect your account. To unlock it, first wait a few minutes, as some systems automatically release the lock after a short cooldown period. If the account remains...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo wa maombi ya ajira wa Utumishi sio rafiki kwa uombaji wa ajira wenye taaluma tofauti

    Habari, Naomba kuwasilisha kero kuhusu mfumo wa maombi ya ajira wa Utumishi, ambao unaonekana kutokuwa rafiki kwa baadhi ya waombaji. Mfumo huu unapomtambua mwombaji kuwa ana shahada katika kozi fulani, humzuia kuomba nafasi nyingine zinazohusiana na taaluma tofauti aliyoisomea baadaye. Kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa ajili ya kupeana updates za vibali vya uhamisho kutoka Utumishi

    Kama wewe ni Mtumishi wa Umma na Umeomba uhamisho kutoka Taasisi Moja na kwenda nyingine basi tukutane hapa kwa ajili ya kupeana updates, najua kuna watu maombi yao yamefika Utumishi siku na miezi mingi imepita bila majibu basi tuzidi kupeana infos hapa ili kama wewe mwenzetu umefanikiwa...
  7. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utumishi Girls Fire Case Moved to Nairobi as 8 Students Face 16 Murder Charges Each

    Moto wa Utumishi Girls Academy unaendelea kuzua maswali mengi baada ya mahakama ya Naivasha kuhamisha kesi hiyo kwenda Nairobi. Wanafunzi 8 sasa wanatarajiwa kushtakiwa kwa makosa 16 ya murder kila mmoja kufuatia moto uliosababisha vifo vya wanafunzi 16 na kujeruhi wengine 79. Prosecution...
  8. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania DPP Approves Murder Charges Against Suspects in Utumishi Girls Fire Tragedy

    The Director of Public Prosecutions (DPP) has approved murder charges against nine students implicated in the deadly fire at Utumishi Girls Academy in Gilgil, Nakuru County, which claimed the lives of 16 students on May 28, 2026. The decision follows a review of evidence submitted by the...
  9. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania 9 Utumishi Girls Students to Face 16 Murder Charges Over Dormitory Fire That Killed 16 Learners

    Nine students from Utumishi Girls Academy in Nakuru County are set to face 16 murder charges each following the tragic dormitory fire that claimed the lives of 16 learners on May 28, 2026. The decision was approved by the Director of Public Prosecutions (DPP) after reviewing evidence gathered...
  10. JamiiForums Tanzania Matumizi mabaya ya pesa za umma naziona kwenye sherehe/kilele ya Utumishi wa umma

    Naona Kuna taasisi nyingi zimeweka mabanda hapa chilangali kuhitimisha wiki/kilele cha Utumishi wa umma jambo ambalo halina manufaa kwa Taifa,ni afadhali kungekuwa na tamasha la tamaduni kuliko haya mambo ya ajabu.
  11. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ma-DED, maofisa Utumishi wadaiwa kuzuia walimu kujitoa CWT, kujiunga na vyama vingine

    Katiba ya Jamhuri ya Muungano ibara ya 20(1) inasema, “Kila mtu anao uhuru wa kukutana na watu wengine kwa hiari yake na kwa amani, kuchanganyika, kushirikiana na watu wengine, na kwa ajili hiyo kutoa mawazo yake hadharani na kuanzisha na kujiunga na vyama au mashirika yaliyoanzishwa kwa...
  12. O

    JamiiForums Kenya “Tafadhali Find Time for Your Children” – Mother Who Lost Daughter in Utumishi Fire Gives Emotional Plea

    Machozi yalitawala during today's memorial mass for victims of the Utumishi Girls fire tragedy, ambapo mama mmoja aliyepoteza mtoto wake alitoa ujumbe mzito kwa wazazi kote nchini. Akizungumza kwa uchungu mkubwa, the grieving mother alisema kuwa wazazi wanapaswa kupata muda wa kuwa karibu na...
  13. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tears at the requiem mass for the 16 girls who lost their lives in the Utumishi Academy dorm fire

    Families and friends gather to honour and pay their respects to the victims of the Utumishi Girls’ Academy fire. They are: Purity Naisula, Imani Boit, Mercy Precious, Cecilia Wanjiku, Juliet Linah, Neema Wairimu, Getrude Muthoni, Zuhura Rama, Jane Kimani, Jullie Hinga, Fortune Aimaya, Sheril...
  14. JamiiForums Tanzania Responded HOJA Utumishi PEPMIS ni bomu linaloenda kutengeneza chuki baina ya Serikali na Watumishi

    Tangu awamu ya sita ingie madarakani changamoto za Watumishi wa Umma zimekuwa zikitatuliwa kwa wakati na malalamiko yalikuwa madogo sana ila kwa sasa huu Mfumo wa PEPMIS umekuwa kama mtego wa kuwagawanya Watumishi wa Umma. 1. Utendaji kazi wake upo kwa ngazi ya mtumishi, kwenda kwa msimamizi...
  15. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utumishi Fire Tragedy: Serikali Yaagiza Ukaguzi wa Haraka wa Shule Zote za Boarding Nchini

    Baada ya moto uliosababisha vifo vya wanafunzi 16 katika shule ya Utumishi Girls Academy, serikali imeagiza ukaguzi wa haraka wa shule zote za boarding nchini ili kuhakikisha usalama wa wanafunzi. Basic Education Principal Secretary, Julius Bitok, amesema kuwa shule zote za boarding zitafanyiwa...
  16. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utumishi Girls Fire: Seven Students Arraigned Over Deaths of 16 Learners

    Seven students from Utumishi Girls Academy in Gilgil, Nakuru County, have been arraigned at the Naivasha Law Courts in connection with the tragic dormitory fire that claimed the lives of 16 learners and left dozens of others injured. The students were presented before the court as detectives...
  17. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utumishi Girls Fire: 16 Learners Dead as Government Confirms Arson

    Education CS Julius Ogamba provides an update on the tragic fire at Utumishi Girls Academy in Gilgil, Nakuru County. 1. 16 learners sadly lost their lives, while 79 others were injured, seven of whom remain hospitalized. 2. The fire has been confirmed as arson, with eight learners currently...
  18. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanga anaficha Barua za Uhamisho zinazotoka Ofisi ya Rais Utumishi

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanga Amekuwa akificha barua za uhamisho zinazotoka kwa OR Utumishi kwa baadhi ya watumishi ambao ana chuki nao. Na pia amekuwa akifanya Hamisho za ndani kwa uonevu pindi anapopishana na watumishi hao. Mfano, Kuna dereva na Transport officer wamepelekwa...
  19. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tragedy in Nakuru as Deadly Fire Engulfs Utumishi Girls Academy Dormitory

    A tragic fire broke out early Thursday morning at Utumishi Girls Academy in Gilgil, Nakuru County, with several students feared dead and many others injured. Initial reports indicate the fire started in one of the school dormitories at around 1:00 a.m., prompting an emergency response from...
  20. JamiiForums Tanzania Ajira portal & utumishi ni mabingwa wa kupoteza muda wa watu

    Nimekuwa shortlisted interview ya Quantity Surveyor II, NCC. Nikasema sawa, opportunity imepatikana. Nikaanza maandalizi yote kama mtu mwenye matumaini. Nikakata tiketi kutoka Mwanza hadi Dodoma Nikatbook hoteli na kuilipia Nikatumia hela ya kula, usafiri na maandalizi mengine Nikafika mapema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…