utulivu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Amani ni kubwa kuliko Utulivu, utulivu ni muhimu kuliko Demokrasia, na Demokrasia ni kubwa kuliko vyama vya siasa

    Tunahitaji amani sio utulivu, lakini ni heri ya utulivu kuliko demokrasia yenye vurungu, na bila kusahau kuwa demokrasia kwa watu hata wasiokuwa na vyama; ni zaidi ya vyama vya siasa kurahisishiwa kuwa viongozi na kwenda Ikulu. Amani: Ni kuwa na uhakika wa kuwaona wajukuu zako kutokana na...
  2. JamiiForums Tanzania Kuwa na uvumulivu na utulivu sio ishara yakuwa tuna amani

    Kuna tofauti kubwa sana kati ya hivi vitu vitatu UVUMILIVU, UTULIVU NA AMANI, huenda vikawa na muonekano sawa katika umbile la nje kimtazamo ila kuna cha kujifunza katika kuelewa hasa hasa tunaposema tuna Amani.
  3. JamiiForums Tanzania Sheikh Mkuu wa Tanzania: Muislam hajiendei endei tu,bila amani na utulivu hatuwezi kufanya Ibada zetu na kuishi vyema

    Amani na utulivu.. Ametuasa TUSIJIENDEE ENDEE tu....tusifuate mambo bila kujua undani wake..... Tusipelekwe pelekwe tu kwani Uislam unataka tutumie vyema matumizi ya akili..... Amesema ,tufahamu UMUHIMU WA AMANI na UTULIVU katika nchi. #Nchi Kwanza😍 #Uwe na uchungu na nchi yako 😍
  4. JamiiForums Tanzania Njia ya kwenda mbinguni ni nyembamba inahitaji utulivu, umakini na utilivu! No shortcut!

  5. JamiiForums Tanzania Hongera sana Jeshi letu imara sana la Polisi

    hongera sana Jeshi letu imara sana la polisi. mmefanya kazi nzuri sana iliyotukuka kwa niaba ya wananchi, na waTanzania wote kwa ujumla. teknologia, intelijensia na weledi mliotumia kuyabaini, kuyashughulikia na kuyadhibiti magenge ya kihalifu yanayo panga na kukusudia kuvuruga amani na utulivu...
  6. JamiiForums Tanzania Ushauri wangu juu ya utulivu wa vijana kwa serikali ya Tanzania

    Maoni yangu tu kwa serikali na nchi yangu pendwa Tanzania. Kumekua na Sintofahamu kubwa sana haswa kwa vijana wanaokesha mitandaoni, au watanzania wanaotumia mitandao. Kuna uhuru mkubwa sana wa Mitandao sasa, ambao ni safi kabisa. Ila siintofahamu zimekua nyingi saana. Leo huyu kakamatwa...
  7. JamiiForums Tanzania NATO na SCO zinatofautiana katika kudumisha amani na utulivu

    Mkutano wa 24 wa Baraza la Viongozi wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO) umefanyika hivi karibuni huko Astana, Kazakhstan, ukiwa na kauli mbiu ya “Kuimarisha Mazungumzo ya Pande Mbalimbali na Kutafuta Amani na Maendeleo Endelevu”. Mkutano huo umezingatia usalama wa...
  8. JamiiForums Tanzania Kanuni Tano za Kuishi Pamoja kwa Amani zachangia utulivu na amani duniani

    Huu ni mwaka wa 70 tangu China kutoa Kanuni Tano za Kuishi Pamoja kwa Amani. Miaka 70 iliyopita, aliyekuwa Waziri Mkuu wa China Zhou Enlai alipendekeza kwa mara ya kwanza kanuni tano za “kuheshimiana mamlaka na ukamilifu wa ardhi, kutovamiana, kutoingilia mambo ya ndani, usawa na kunufaishana...
  9. JamiiForums Tanzania Upatikanaji wa Sukari na utulivu wa Bei ya sukari umeimarika sana Chini ya Bashe!

    Wakuu wote salaam! Kwa wanaonisomaga humu watashangaa Sana nikisimama na Bashe leo kwenye sakata la sukari! Ila Leo ntasimama nae tena kwa hoja na sio vihoja! Kwanza kabisa Bashe ni moja ya mawaziri vijana ambaye utendaji wake unapaswa kutufariji vijana na kutupa motisha kuwa tunaweza kugeuza...
  10. JamiiForums Tanzania Hakuna kitu kinanipa utulivu kama Quran

    Kuna vijana mimi nimeshuhudia walikuwa watukutu sana wakilewa 24 hours wakaacha uhuni ghafla baada ya kuanza kusikiliza Aya za Quran yaani ina njia fulani hivi sahihi sahihi sana walioandika Quran na biblia ni watu wa Mungu waongofu... Hahaha me mkristo ila Quran naona na yenyewe ya kisomi sana...
  11. JamiiForums Tanzania Maoni na Ushauri kuhusu kuzingatia jambo ninalolifanya kwa wakati husika

    Wadau habarini za uchana huu wanajamii. Natumaini mu wazima wa afya. Niende kwenye mada moja kwa moja,nipo hapa kuuliza na kuomba Ushauri nawezaje kufocus na kuzingatia (concentrate) kwenye jambo nalofanya kwa wakati husika. Nimekuwa na changamoto ya kushindwa kufocus na kunconcentrate kwenye...
  12. JamiiForums Tanzania Vitu vizuri havihitaji Watu wanaopenda utulivu wa bwerere. Kama hupendi changamoto basi vitu vizuri sio halali yako

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Moja ya dalili kuwa maisha yako yatakuwa ya chini ni kupenda bwerere. Kupenda utulivu wa bwerere. Hakunaga vizuri kwenye bwerere. Yaani kamserereko. Bwerere haitakuimarisha. Bwérere itakufanya uwe na akili mgando. Kupenda vitu visivyokupa changamoto. Hata...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Ninavutiwa Sana na Utulivu na Umakini wa Rais Samia Kiuongozi

    Ndugu zangu Watanzania, Kiukweli ninavutiwa sana na utulivu na umakini mkubwa sana wa kiuongozi alionao Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha Watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hassan. Ni kiongozi mtulivu na makini sana katika kufanya maamuzi pamoja na kuchukua hatua...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi nyie wenzangu kabla ya kugegedana mnapimana akili na utulivu wa Ubongo Kweli?

    Mmmmh.... Nimewaza. Unamwambia mpenzi wako akunyonye mashine sababu unapenda. Kumbe siku hiyo kaamka vibaya network inakuja inakata, inakuja inakata inasoma EDGE kidogo inapotea. We unachukulia poa. Unampa mashine. Anakumbuka jinsi ambavyo uliwahi mtenda au ulivyomnyanyasa au chuki yake kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Waziri Doto Biteko na utulivu kwenye siasa zake

    Siasa za dijitali, siasa za mitandaoni, siasa za Instagram, siasa za uchawa. Ukiwa na akili timamu huwezi kushabikia siasa za Makonda na umapepe wake wa kulazimisha kukubalika Kila pembe ya nchi. Makonda ni moja ya viongozi wachapakazi sana ila tatizo lake ni moja Kila anachokifanya anataka...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini Mashariki ya Kati ni eneo korofi lisilopata utulivu watu wanaishi ngumi mkononi?

    Eneo la Mashariki ya kati ni kama eneo lenye laana fulani hivi ya vurugu. Tangu nimeanza kupata akili za kufuatilia habari sijawahi kusikiliza taarifa ya habari katika redio au TV bila kusikia kuna watu Mashariki ya wakati wamezinguana. Yani huwa hakuna kutulia, ukiachilia mbali mgogoro wa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Tumia utulivu kuchagua kwa sababu kesho nawe utachaguliwa na ulichokichagua

    TUMIA UTULIVU KUCHAGUA KWA SABABU KESHO NAWE UTACHAGULIWA NA ULICHOKICHAGUA ✍️ Hamna namna utakwepa kuchaguliwa na ulichokichagua, swali ni je kipi ulikichagua ? 1.Kozi uliyochagua kuisoma chuo bila shaka na yenyewe ilishakuchagua. 2.Aina ya mahusiano uliyochagua na yenyewe yalishakuchagua au...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza ibada yafanywa kwa utulivu kwenye msikiti wa Al-Aqsa, baada ya Israel kuwa makini

    Ilizoeleka kila wakifanya ibada huwa wanaingiwa na mzuka fulani hivi wanaliamsha amsha, ila kipindi hiki Israel imekua makini na kuzuia vijana na kuachia akina mama na wazee tu ndio waliingia pale kwa maelfu kufanya ibada zao kwa utulivu....... Yaani mapolisi yalijaa pale na kusubiri mmoja aseme...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Mikutano miwili ya China yaendeleza desturi za uwakilishi na utulivu

    Kipindi cha mikutano miwili ya China, yaani mkutano wa Bunge la Umma la China na mkutano wa Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la China iliyomalizika hivi karibuni, ni kipindi muhimu zaidi kisiasa kwa China, kwani katika kipindi hili, kwanza demokrasia ya China huwa inapimwa na kukaguliwa, na pili...
  20. JamiiForums Tanzania Hakuna nyumba ya mtu inayoelea, amka kafanye kazi!

    Mimi ni muwakilishi tu, usinipige mawe sikiliza mwenyewe.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…