Hii mada ni maalum kwa wenye kupenda asili, ukimya utulivu na wenye kujitafuta kiroho ama kujitakasa
Je umeshawahi kutembelea mwituni kwenye "Crystal clear water" yanayotirika kwa utulivu na sauti zenye mirindimo laini sana
Sauti ya maji yanayotiririka katikati ya msitu ni moja kati ya midundo...
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Leo XIV, ameahidi kuiombea Tanzania amani na utulivu, baada ya vurugu za Oktoba 29, mwaka jana, huku akidokeza amewahi kuishi nchini katika mikoa ya Morogoro, Dar es Salaam, Ruvuma na Arusha.
Ahadi hiyo ya Papa Leo, imetokana na ombi lililowasilishwa...
NIliwahi kuwa na shida ya ajira nikaenda kiwandani nikafurahia kuambiwa ajira zipo bila rushwa lakini nilipoanza kazi siku ya kwanza tulipelekwa godown, ule mziki wa kubeba viroba si wa kitoto, mimi na rafiki yangu tuliacha viatu na hela, pesa tulikuwa tunaihitaji ila sio kwa mazingira yale...
Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), imewataka Watanzania kuendelea kushikamana na misingi ya Taifa, hususan katika kipindi hiki ambacho nchi inatafakari matukio ya vurugu za Oktoba 29, 2025 kupitia Tume iliyoundwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan.
Hayo yameelezwa jijini Dar es Salaam leo, Alhamisi...
Wakuu mpoooo!!!!
Huyu inatakiwa VAR imulike bongo lake labda kuna chenga chenga 😂 😂 😂
Wanaovuruga amani ni hao wanaong'ang'ania madaraka kiuhalifu
-------------
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Kagera, Faris Buruhani, amewataka wananchi wa mkoa huo...
Na. M. M. Mwanakijiji
Sijui ni 'genius' gani huyo ambaye ameanzisha hili la kuwa "tunataka amani kwanza". Kwa wiki hasa baada ya Oktoba 29 kumekuwa na jitihada kubwa ya kujaribu kugeuza mambo kinyumenyume. Sasa tunaambiwa "amani kwanza" ndio mambo ya "haki" yaje baadaye. Hili sijui limeanzaje...
Wakuu,
Kutofanyika kwa maandamano na kuwepo kwa hali ya utulivi na amani nchini Tanzania siku ya tarehe 9 Disemba 2025 ni nani anapaswa kupongezwa, Serikali au wananchi ?
Binadamu ukiua au kumwaga damu ya mtu si rahisi kuwa na akili timamu katika maisha yako yote yaliyo baki kwa sababu kuua kunahusiana zaidi na tendo la hisia, maadili na ubongo wa binadamu.
Kwa nini mtu ukiua sio rahisi kubaki na akili zako timamu.
1. Asili ya kimaadili (moral conflict)
Watu...
Assalam aleykum jami'ya,
Tumsifu Yesu kristo.
Dunia nzima kila kiumbe kinahitaji Uhuru, Amani na utulivu.
Lakini kubwa zaidi tuangazie Uhuru.
Uhuru ni nini?
Kwa definition fupi ni kwamba Uhuru ni hali ya kujiamulia na kupanga mambo yako bila kubughudhiwa au kupangiwa na mtu.
Lakini ni...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Mahamoud Banga, ameendelea kukutana na makundi ya vijana kuhamasisha utulivu na kuwataka waripoti wote wanaofanya uchochezi pamoja na wageni wanaoingia nchini kinyume cha sheria
Aidha, amewaeleza vijana hao kuwa kile...
Naona mashambulizi yanatoka kila upande wa wavaa kobaz ,lakin naona wakatoliki wametulia hawana haraka wala hofu , wapo kimya kama hawasemwi na kushutumiwa na hao wauza madawa ya kulevya huu ni ukomavu wa hali ya juu sana na ndio faida ya kuwa na viongozi wa dini wasomi
Tukio la mauaji na machafuko yaliyotokea nchini Tanzania tarehe 29–31 Oktoba 2025 limeacha jeraha kubwa katika taifa. Wananchi wengi wamepoteza imani, wengine wamepoteza ndugu, na nchi imeingia katika sintofahamu ya kisiasa na kijamii. Katika mazingira kama haya, kuendelea mbele kama kawaida...
Samia Suluhu Hassan aapishwa kuwa Rais wa Awamu ya Saba wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Shwrehe za kuapishwa kwake zimefanyia Dodoma hii leo 03/Nov/2025
amani
awamu
dodoma
fursa
hii
kishindo
kumpongeza
mtukufu
raia
rais
saba
samia
samia suluhu
samia suluhu hassan
suluhu
tanzania
uapisho wa viongozi
upendo
ushindi
utulivu
wenye
Sasa hivi, ukijikuta kwenye hali ambayo hukutarajiia ujue umesamia. Usitafute suluhu bila kuwa ngangari na ngunguru.
Hilo ndilo wazo la leo. Msikubali kusamia wala kusamiwa.
Wapiga kura visiwani Zanzibar leo Oktoba 28, 2025 wanaanza zoezi la kupiga kura katika kile kinachofahamika kuwa ni "kura ya mapema" ya uchaguzi mkuu wa Tanzania.
Vituo vya kupigia kura vimefunguliwa kuanzia saa moja asubuhi na kufungwa saa 10 jioni na matokeo ya urais yatatangazwa ndani ya saa...
Niseme tu kwamba wale wanadhani kuwa mabadiliko nchi hii yataletwa na mandamano wamefeli vibaya sana
Nature ya nchi hii sio vurugu nchi hii mtwana ni mtwana na bwana ni bwana
Niende MBALI niseme kuwa hata waingereza wangeamua kututawala milele wangefanukiwa
Wangemweka Nyerere...
GT
Haya sasa wale wajinga wajinga ambao hamtaki kutamka.neo haki sikilizeni hii.
Kiufupi HAKI ni matendo na AMANI ni Matokeo
Mfano Heshima ni matokea lazima kuna matendo lazima uyafanye kupata heshima
Tumeonya sana sana kama watu wa Mungu , machawa yakaona sie mataira ,kumbe lengo letu ni moja ilikua kuliponya Taifa .
Huwezi ongoza taifa ambalo liko katika wakati kama huu, hakuna Duniani kote hata waliojaribu , mnajua what happened, narudia ipo nafasi ya kuliponya Taifa .
1. Sitisha...
Katika maisha ya sasa yenye kelele nyingi, teknolojia kila mahali, shughuli zisizoisha, majukumu, watu, uraibu wa vileo na addictions ni rahisi kupotea ndani ya harakati bila kujitambua.
Kila mwezi, jitahidi kutenga siku moja hata kwa masaa 12 ya kuwa peke yako.
Nenda unakojua bila simu, bila...
Kweli dunia hadaa
Jamaa walikomaa miaka Ile wakiwa vitani wakawa wanauza kwa laki mbili tani 30 makaa ya mawe.
Kule mahala wao walikua tani 30 wanauza kwa elfu thelathini au ambaye anapajua kule walishabadilisha au bado