utu

Utu, later worshipped by the East Semitic Akkadian-speaking Babylonians as Shamash, was the ancient Mesopotamian sun god, god of justice, morality, and truth, and the twin of the Mesopotamian goddess Inanna (Ishtar in the Assyrio-Babylonian language), the Queen of Heaven. His main temples were in the cities of Sippar and Larsa. He was believed to ride through the heavens in his sun chariot and see all things that happened in the day. He was the enforcer of divine justice and was thought to aid those in distress. According to Sumerian mythology, he helped protect Dumuzid when the galla demons tried to drag him to the Underworld and he appeared to the hero Ziusudra after the Great Flood. In the Epic of Gilgamesh, he helps Gilgamesh defeat the ogre Humbaba.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Matukio ya vijana kujidhalilisha ,kuuza utu wao yanazidi kushamiri.

    Habari Jamii Africa. Mimi nipo Wilaya ya Rufiji,tarafa ya ikwiriri,sehemu ambapo ni headquarter ya mheshimiwa Mohamedi Omary Mchengerwa, Waziri wa Tawala za mikoa na serikali za mitaa (Tamisemi) Sasa Jana nikiwa hapa Ikwiriri maeneo ya Kaunta,Ilipo Radio ya Rufiji FM limetokea jambo la...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi askari kama hawa bado wapo Tanzania hii?

    Askari kama hawa Tanzania hii bado wapo au ndio magugu yamemeza mbegu? Soma pia: Watu wema bado wapo
  3. JamiiForums Tanzania CCM kutoa form ya Urais kabla ya kumpumzisha Ndugai ni kutoka na utu na aibu

    Spika wa bunge, mbunge na mwanachama wa CCM Bado hajazikwa, CCM mshatangaza kukabidhi fomu ya mgombea wenu pekee na asiyepingwa hiyo kesho Job Ndugai na bunge lake ndo alitoa budget ya kujenga bwawa la mwalimu Nyerere, SGR na kivuko cha Busisi Bila shaka inasemekana uchukuaji fomu utaambatana...
  4. JamiiForums Tanzania Tembo amkumbatia mwadada na kumtaka aendelee kuimba

    Video ya kusisimua inayosambaa mtandaoni imeonesha Tembo mmoja anamkumbatia mwanamke kwa upole huku akimsikiliza akiimba, akionesha wazi jinsi Wanyama wanavyoweza kuungana kihisia na binadamu. Soma pia: Tembo hazikwi na meno yake: wanachadema wanaojiunga CCM mnakaribishwa kwa mikono miwili...
  5. JamiiForums Tanzania TLS: Tumesikitishwa na vitendo vya kudhalilisha, kukandamiza, na kutweza utu wa Lissu anavyofanyiwa na Vyombo vya Dola

    1 AGOSTI, 2025. TAMKO KUHUSU HADHI, STAHA, HAKI NA UTU KATIKA UENDESHAJI WA SHAURI DHIDI YA WAKILI TUNDU ANTIPAS LISSU MUGHWAY. Baraza la Uongozi la Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) limefuatilia kwa karibu mwenendo wa uendeshaji wa shauri linalomkabili Mwanachama wetu, Wakili Tundu...
  6. JamiiForums Tanzania Askofu Kyando: Watanzania wameanza kusahau utu

    Askofu wa Jimbo Katoliki la Njombe, Mhashamu Eusebius Kyando, ametoa wito kwa Watanzania kurejea katika msingi wa kuthamini utu wa binadamu kama nguzo muhimu ya ustawi wa jamii na taifa kwa ujumla. Akizungumza kwenye mahafali ya 25 ya Taasisi ya Mafunzo ya Afya Lugarawa (LUHET) yaliyofanyika...
  7. JamiiForums Tanzania Watumishi, wakulima, wanachuo, wanafunzi, wafanyabiasha, vijana, akina Mama, wazee, wanasiasa na sector binafsi. KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE.

    Husika na mada tajwa hapo juu. Hayo makundi yote hapo juu. Kwa niaba yao nasema Asante Mh. Rais Dr. Samia Suluhu Hassan 🇹🇿 Umeyatendea haki makundi yote hapo juu na mengine ambayo sijayataja, hii ni ibada tosha kwako. Mfano baada ya Mh Rais kuongeza mshahara nadhani ametajwa kwenye kila...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Utu ni moja ya misingi mitano katika dira 2050

    Kila mmoja wetu anastahili kuheshimiwa na kuthaminiwa utu wake, kulindwa na kuhakikishiwa faragha yake. Hapa niseme tuh chini ya Rais Samia Amefanya na anadelea kutekeleza Dira hii ambayo imezinduliwa itakuwa na Maono chanya kwetu na kila Mmoja wetu yaani Mimi na tunahaki zote za Kuheshika na...
  9. JamiiForums Tanzania Utu na ubinadamu uko wapi?

    Daaaah! Eeeeh bwana eeeh, katika pitapita zangu huko mitandaoni leo nimekutana na hii video. Hivi harakati za utafutaji ndio zimetufikisha huku kweli? Utu uko wapi? Ubinadamu uko wapi? Tena hii kitu inarushwa LIVE kabisa, na mashabiki wa kutosha ukumbini. Aisee, utafutaji mgumu sana.
  10. JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole ajivua uongozi: Ni utu, ujasiri au kujipanga upya?

    Wakuu, Leo tunashuhudia jambo ambalo si la kawaida kwenye siasa za Tanzania. Humphrey Polepole mwanasiasa wa muda mrefu wa CCM, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa zamani, Mbunge, na kisha Balozi – ameandika barua rasmi ya kujiuzulu nafasi yake ya uongozi wa umma na ubalozi. Lakini si kujiuzulu tu...
  11. JamiiForums Tanzania Binadamu na Nyota: Mwangaza Mfupi Kati ya Giza Mbili?

    Na: Mjumbe wa Nafsi za Watu Je, binadamu ana uhusiano wowote wa kweli na nyota? Je, tunaongozwa nao? Tumetokana nao? Au nyota ni mapambo tu ya anga, kama taa zisizo na maana zaidi ya kutufurahisha macho? Maswali haya si mapya. Yamechochea fikra za watawala, wanafalsafa, wachawi, manabii na...
  12. JamiiForums Tanzania Tetesi: Nadharia ya "utu wema" toka kwa gwiji la falsafa duniani - Aristotle

    https://www.facebook.com/share/r/196jATvBN Wakati anaichambua Nadharia hii ya "utu wema" alimalizia kwa kusema "Tabia njema ni msingi wa maisha Bora"
  13. JamiiForums Tanzania KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE: Tundu Lissu apewa kila anachohitaji gerezani

    Kuna wakati baadhi ya Watanzania hasa wenye mrengo wa Upinzani walishindwa kumwelewa Rais Samia hasa aliposema yeye ni mtu safi na ni mtu anayemtegemea Mungu hivyo hawezi kufanya jambo lolote baya kwa mpinzani wake yeyote kwa namna yeyote. Mtakumbuka mara baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA...
  14. JamiiForums Tanzania Tenda wema kwa mipaka watu hawana shukrani

    iwe funzo kwa watu kuwa na utu na moyo wa shukrani na pia kwa wengine iwe funzo la kuto kujitoa sana kwa watu Waka acha mambo yao Kila mtu anapitia high na lows. Hakuna mtu anapitia highs peke ake., hivyo kila mwanadamu huwa anakuwa na dharura kwa wakati flani maishani na atahitaji tu msaada...
  15. JamiiForums Tanzania Kazi na Utu; Watu wanatekwa, Watu wanauawa, Makanisa yanafungiwa, Tunasonga mbele

    Kuna Mgombea mmoja 'Motto' wa kampeni zake na chama chake ni 'Kazi na Utu', wakati huohuo katika nchi anayoiongoza watu wametekwa, wameteswa, wameuawa, wengine wametekwa mchana kweupe na miili kukutwa imetelekezwa Wakati huohuo baadhi ya wachache wenye ujasiri wa kuisemea hadharani na kukemea...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Maombolezo ya Jamii Iliyopotea: Wito wa Kurudisha Haki na Utu kwa watanzania

    Ni kweli kwamba tumepoteza wengi—marafiki, ndugu, na binadamu wenzetu—kwa mateso, mauaji, na kupotezwa bila haki. Ni picha ngumu sana kuona jamii ikizidi kuangalia mambo ya msingi kama burudani na mapenzi, huku haki, utu, na thamani ya maisha zikidharauliwa. ni kama tumelala usingizi wa pono...
  17. JamiiForums Tanzania Ni wachezaji gani wa soccer walikukosha katika kila kipindi cha utoto wako, teenage yako na utu uzima wako?

    Upande wangu: Utoto: David Beckham Teenage: Christiano Ronaldo Utu Uzima: Mbappe Karibuni.
  18. JamiiForums Tanzania Mmemtukana na kumtweza wee! Kaamua kuzunguka na chopa yake nchi nzima kujibu matusi yenu na kujisafisha utu wake. Sasa woga na wasiwasi wa nini?

    Akili za baadhi ya watu huwa hazieleweki zinavyofanya kazi. Yaani kweli mtu mliyemtukana wee na kutweza utu wake, mutawezaje kumuomba msaada kwa matatizo yanayowapata kutokana na laana ya matusi na matendo yenu? Kwa nini sasa mnakuwa na wasiwasi na uoga tele munaposikia kuwa mtu huyo kaamua...
  19. JamiiForums Tanzania CCM Tumethubutu, Tumeweza, Tunasonga mbele, Kazi na Utu 2025

  20. Q

    JamiiForums Tanzania Mkapa alisimamia uchumi, Kikwete demokrasia, Magufuli maliasili, Samia kama hivyo vimekushinda hata UTU?

    Watu wake wanatekwa mchana kweupe, she doesn't care. Wananchi wanauawa waziwazi, anasema, KIfo ni Kifo tu, hata vyenye utata? Katiba iliyomuwena madarakani anaita, KATIBA ni KIJITABU tu. Baada tu ya Magufuli kufariki March, Julai ukamshtaki Mbowe kwa Ugaidi, leo Lissu yupo ndani umemshtaki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…