Utu, later worshipped by the East Semitic Akkadian-speaking Babylonians as Shamash, was the ancient Mesopotamian sun god, god of justice, morality, and truth, and the twin of the Mesopotamian goddess Inanna (Ishtar in the Assyrio-Babylonian language), the Queen of Heaven. His main temples were in the cities of Sippar and Larsa. He was believed to ride through the heavens in his sun chariot and see all things that happened in the day. He was the enforcer of divine justice and was thought to aid those in distress. According to Sumerian mythology, he helped protect Dumuzid when the galla demons tried to drag him to the Underworld and he appeared to the hero Ziusudra after the Great Flood. In the Epic of Gilgamesh, he helps Gilgamesh defeat the ogre Humbaba.
Watu wamekufa kwa maelfu yeye anasema imetutia doa kidogo.
Anajaribu ku minimize ukubwa wa skandali la mauaji. Hana utu hata kidogo.
Na hili la kusema itabidi atumie rasimali za ndani ni janja janja ya kutuandaa ki saikolojia ili auze, agawe, na kuhondomola ardhi na migodi na misitu na mali...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), amewataka watumishi wa wizara na taasisi zilizo chini ya wizara hiyo kuhakikisha wanazingatia maslahi na utu wa Mtanzania wanapotoa huduma kwa wananchi.
Dkt. Kijaji ameyasema hayo jijini Dodoma mara baada ya kuripoti kazini na kufanya...
Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) imeeleza huzuni na masikitiko makubwa kutokana na matukio ya uvunjifu wa amani, mauaji ya wananchi, na uharibifu wa mali yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.
Akizungumza na wanahabari leo jijini Dar es Salaam, Askofu Dkt. Stanley...
Hamjambo!
1. Ni wazi vita imekolea kwa kiwango cha juu kabisa
2. Propaganda za tafuta pesa zilishamiri huku watu wakifikiri pesa ndio utu wa mwanadamu.
3. Sisi watibeli Pesa ni karatasi tuu. Yaani kuwa kwako na pesa hakutufanyi tukuone wa maana kuliko watu wengine.
4. Propaganda ya tafuta...
serikali inayojali utu wa mtu tunaomba itoe tamko kuhusu Polepole huyu alikua katibu Mwenezi Mjumbe wa kamati kuu Usalama wa Taifa hawezi kupotea kama kuku
Ukiskiliza vizuri wakuu wa polisi nchini unapata kichefuchefu. Kila siku wanawahadaa Watanzania kuwa kuna amani na usalama na mshikamano na upuuzi mwingine.
Nini zaidi ya uhuni na upuuzi wa kutumiwa na CCM na mitandao yake ya majambazi?
Mambo mengine mtaelewa siku zijazo ila kama nilivyowaambia kwenye nyuzi zilizopita, familia ya Ali Kibao,Shedrack Chaula, Mdude Nyagali, Soka, vijana wa bodaboda waliopotezwa na kila mtu ambaye haki yake ilinyimwa itapatikana.
Hatutolinda amani ya wauaji, watekaji, mafisadi, wezi wa kura na...
Hongera sana NMB Bank kwa kuthamini utu, hakika ninyi ni bank bora kila Mtanzania ni shuhuda wa maneno haya, mnasifika kwa kuepuka dhuluma kwa wateja wenu
Mnaonesha uaminifu wa hali ya juu na taarifa zote za miamala kwa wateja wenu ni za wazi na zenye maelezo yanayojitosheleza
Tangu mtoe...
Kwa kinachotokea kwa Wamasai sasa sio UTU kabisa na nakumbuka mara kadhaa tulipokutana uliniambia kuhusu ndugu zako Wamasia unavyotaka kuona wakiheshimiwa kama watu wengine.
Leo hamna thamani yoyote, waandishi wa habari hawawataki kuwasikia na kureport taarifa zenu, wanasiasa wanafurahi...
Kwenye story mbili tatu na mke wangu hapa (Junior huwezi elewa, namuongelea BIBi hapa) akawa ananisumulia kuhusu utawala wa waengeleza (ni reza au leza, tuachane nayo pia, sio muhimu).
Watu walikuwa hawapotei hovyo, anasema yule bwana alikuwa hataki kuona watu wanapotea potea na alishawahi utoa...
Mbunge wa Viti maalumu mkoa wa Iringa amesema Rais Samia atakwenda kuwekwa kwenye historia kwa kutumia rasilimali za nchi kuhakikisha kila mwananchi anapata huduma bora za afya .
Ameyaeleza hayo katika muendelezo wa kampeni kuelekea uchaguzi wa mwaka 2025 ,ambapo amesema alama imewekwa kwa...
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu amesema Watanzania wanapaswa kukichagua chama hicho kwakuwa kinajali utu wa wananchi.
Soma pia: Kazi na utu, elewa maana ya “utu” tanzagiza!
Maskini. Wala hakuwa na silaha au kundi la kusema anatishia maisha kiongozi yeyote. Tunamuua kwa sababu za kipuuzi kabisa. Na kunywa damu yake ili kusafisha nyota zetu.
Mwangalie hapa anatabasamu.
Nimesikitika sana kuona unyama wanaofanyiwa wanyama na wachinjaji wa Ng'ombe.
Nimeona jamaa wakichinja huku Ng'ombe wengine wakiangalia ajabu kuna Ng'ombe walikuwa wanahalisha na kulia machozi kabisa wengine wakikojoa.
Hakika nimejifunza kitu siku zote nilijua wanyama hawana akili kumbe wanazo...
Habari Jamii Africa.
Mimi nipo Wilaya ya Rufiji,tarafa ya ikwiriri,sehemu ambapo ni headquarter ya mheshimiwa Mohamedi Omary Mchengerwa, Waziri wa Tawala za mikoa na serikali za mitaa (Tamisemi)
Sasa Jana nikiwa hapa Ikwiriri maeneo ya Kaunta,Ilipo Radio ya Rufiji FM limetokea jambo la...
Spika wa bunge, mbunge na mwanachama wa CCM Bado hajazikwa, CCM mshatangaza kukabidhi fomu ya mgombea wenu pekee na asiyepingwa hiyo kesho
Job Ndugai na bunge lake ndo alitoa budget ya kujenga bwawa la mwalimu Nyerere, SGR na kivuko cha Busisi
Bila shaka inasemekana uchukuaji fomu utaambatana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.