Utu, later worshipped by the East Semitic Akkadian-speaking Babylonians as Shamash, was the ancient Mesopotamian sun god, god of justice, morality, and truth, and the twin of the Mesopotamian goddess Inanna (Ishtar in the Assyrio-Babylonian language), the Queen of Heaven. His main temples were in the cities of Sippar and Larsa. He was believed to ride through the heavens in his sun chariot and see all things that happened in the day. He was the enforcer of divine justice and was thought to aid those in distress. According to Sumerian mythology, he helped protect Dumuzid when the galla demons tried to drag him to the Underworld and he appeared to the hero Ziusudra after the Great Flood. In the Epic of Gilgamesh, he helps Gilgamesh defeat the ogre Humbaba.
Uongozi wa Chuo Kikuu cha Jimbo la Nasarawa, Keffi (NSUK), umemtunuku shahada ya heshima ya udaktari Rais wa Tanzania, Samia Suluhu, kwa mchango wao mkubwa kwa ubinadamu na jamii kwa ujumla.
Akipokea Tuzo hiyo, Samia amesema
"Napokea utambuzi huu kwa unyenyekevu mkubwa na shukrani...
Mbunge wa Mtama (CCM), Nape Nnauye ametahadharisha kuwa bila kusimamia utu, Chama cha Mapinduzi (CCM) inaweza kuondoka madarakani hivyo akaonya wanachama ndani ya chama hicho wasione aibu kusimamia utu.
Nape aliyewahi kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa...
Ijumaa Kareem!
1. Mara nyingi watu waovu hutumia maandiko kupotosha Jambo Fulani au kuhalalisha uovu Fulani.
2. Sio Kila mamlaka inatoka kwa Mungu.
3. Zipo Mamlaka za kihalifu ambazo chimbuko lake ni Shetani(roho chafu)..
4. Mtu yeyote anayekuambia Mamlaka zote zinatoka kwa Mungu kaa ukijua...
ROADMAP 2026: SIASA ZA UTAKASO. UTU WA KALE.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
1. Leo ni January Moja 2026.
2. Namshukuru MUNGU kwa kutupa nafasi hii. Wote mnajua jinsi mwaka uliopita 2025 ulivyokuwa mwaka mgumu na mbaya katika maisha yetu. Ulikuwa mwaka wa Damu.
3. Sasa mwaka 2026 umeaanza...
Ukitaka kuelewa ni kwanini risasi 42 alizopigwa Tundu Lissu Septemba 7, 2017 na 16 zikaingia mwilini mwake hazikupata ruhusa za kuondoa uhai wake, basi jibu unaweza kulipata wakati huu kwa kuangalia mtiririko wa matukio kumhusu..
Simulizi ya Wakili Dr Rugemeleza Nshala (unaweza kufuatilia...
Mahakama ya ICC Inasema ilipokea mashtaka ya uhalifu dhidi ya ubinadamu. Kesi hiyo ilifunguliwa na taasisi za kimataifa zinazotetea haki za binadamu, ambapo mashtaka makubwa ni pamoja na:
1. Mauaji ya maelfu ya waandamanaji
1. Utekaji, mauaji na upotezaji wa wapinzani wa kisiasa, wanaharakati...
Utafiti wa Cambridge umebaini jinsi ubongo unavyokua kutoka utotoni hadi uzeeni, ukiorodhesha “hatua” tano tofauti za ukuaji na mabadiliko manne makubwa katika umri wa miaka ya 9, 32, 66 na 83.
Ukipinga wazo kwamba utu uzima huanza kabla ya miaka ishirini au ishirini na zaidi, wanasayansi...
Watu wamekufa kwa maelfu yeye anasema imetutia doa kidogo.
Anajaribu ku minimize ukubwa wa skandali la mauaji. Hana utu hata kidogo.
Na hili la kusema itabidi atumie rasimali za ndani ni janja janja ya kutuandaa ki saikolojia ili auze, agawe, na kuhondomola ardhi na migodi na misitu na mali...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), amewataka watumishi wa wizara na taasisi zilizo chini ya wizara hiyo kuhakikisha wanazingatia maslahi na utu wa Mtanzania wanapotoa huduma kwa wananchi.
Dkt. Kijaji ameyasema hayo jijini Dodoma mara baada ya kuripoti kazini na kufanya...
Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) imeeleza huzuni na masikitiko makubwa kutokana na matukio ya uvunjifu wa amani, mauaji ya wananchi, na uharibifu wa mali yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.
Akizungumza na wanahabari leo jijini Dar es Salaam, Askofu Dkt. Stanley...
Hamjambo!
1. Ni wazi vita imekolea kwa kiwango cha juu kabisa
2. Propaganda za tafuta pesa zilishamiri huku watu wakifikiri pesa ndio utu wa mwanadamu.
3. Sisi watibeli Pesa ni karatasi tuu. Yaani kuwa kwako na pesa hakutufanyi tukuone wa maana kuliko watu wengine.
4. Propaganda ya tafuta...
serikali inayojali utu wa mtu tunaomba itoe tamko kuhusu Polepole huyu alikua katibu Mwenezi Mjumbe wa kamati kuu Usalama wa Taifa hawezi kupotea kama kuku
Ukiskiliza vizuri wakuu wa polisi nchini unapata kichefuchefu. Kila siku wanawahadaa Watanzania kuwa kuna amani na usalama na mshikamano na upuuzi mwingine.
Nini zaidi ya uhuni na upuuzi wa kutumiwa na CCM na mitandao yake ya majambazi?
Mambo mengine mtaelewa siku zijazo ila kama nilivyowaambia kwenye nyuzi zilizopita, familia ya Ali Kibao,Shedrack Chaula, Mdude Nyagali, Soka, vijana wa bodaboda waliopotezwa na kila mtu ambaye haki yake ilinyimwa itapatikana.
Hatutolinda amani ya wauaji, watekaji, mafisadi, wezi wa kura na...
Hongera sana NMB Bank kwa kuthamini utu, hakika ninyi ni bank bora kila Mtanzania ni shuhuda wa maneno haya, mnasifika kwa kuepuka dhuluma kwa wateja wenu
Mnaonesha uaminifu wa hali ya juu na taarifa zote za miamala kwa wateja wenu ni za wazi na zenye maelezo yanayojitosheleza
Tangu mtoe...
Kwa kinachotokea kwa Wamasai sasa sio UTU kabisa na nakumbuka mara kadhaa tulipokutana uliniambia kuhusu ndugu zako Wamasia unavyotaka kuona wakiheshimiwa kama watu wengine.
Leo hamna thamani yoyote, waandishi wa habari hawawataki kuwasikia na kureport taarifa zenu, wanasiasa wanafurahi...
Kwenye story mbili tatu na mke wangu hapa (Junior huwezi elewa, namuongelea BIBi hapa) akawa ananisumulia kuhusu utawala wa waengeleza (ni reza au leza, tuachane nayo pia, sio muhimu).
Watu walikuwa hawapotei hovyo, anasema yule bwana alikuwa hataki kuona watu wanapotea potea na alishawahi utoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.