Kuna uzi flan ulianzishwa na mdau flan akiponda biashara ya kumkabidhi mtu bajaji ya abiria akuletee 20000/day kwamba ni biaashara kichaa na ya kijinga sababu kubwa ikiambatanishwa na bei ya bajaj kuwa ghari kulinganisha na kinachoingia,sasa hapa pia nilitaka kufahamu,vipi kuhusu GUTA (pikipiki...
Kujiendesha hatuwezi kiufupi kama taifa.
Ila wakoloni wa kizungu wangebaki nahisi tungekuwa mbali sana kimaendeleo kama kusingekuwa na vita vya kwanza na vya pili duniani.
Nchi kama south Africa walichelewa kupata uhuru ila kwa maendeleo yaliyokuwepo tu unaona.Ila kupewa watu weusi ndio kama...
Happy new year 2026 MMU.
Kuna binti wa ki-islamu nimefikiria nianze kufanya mchakato wa kufikisha taarifa kwa wazazi wake kuhusu nia ya kutaka kumuoa binti yao. Hii ni baada ya penzi la mtu wangu wa muda mrefu kufa kabisa.
kabla sijaamua kufikisha taarifa kwa wazazi wa huyu binti wa...
Baada ya Mapinduzi ya Kiislamu ya 1979, Utawala wa Kiayatollah umekumbwa na maandamano mwaka 1999, 2009-2010; 2017-2018; 2019 na 2022-2023. Katika maandamano hayo yote sababu kubwa zimekuwa madai ya Haki za Msingi kwa Wananchi na Mabadiliko ya Mfumo wa Kisiasa. Kwa sehemu kubwa maandamano hayo...
Ukifika muda wa jioni China Guangzhou ndio unakuwa muda wa wamachinga ili kuondoa msongamano na wenye maduka ila pale Kariakoo hakuna ilo.
Kizuri pale Guangzhou ndio muda ambao wajasiliamali wadogo hususani wauza vyakula unawakuta wengi wakiwa na mabanda yao.
Kinachonifurahisha kila mtu ana...
Kuna wanafunzi wawili wote wamesoma chekechea hadi form 6 Tz.
Moja kabaki Tanzania mwengine kaenda Uingereza, wote wanasomea degree ya usimamizi wa biashara
Kwao wana hali za kawaida, aliebaki anasoma kwa mkopo wa serikali, wa nje kapata mdhamini.
kutakuwa na utofauti wakishamaliza vyuo...
Habari wakuu,
Naomba niendelee kutoa baadhi ya elimu kuhusiana na utofauti uliopo kati ya website na app Watu wengi hawaelewi utofauti huu ni nini?
Website
ni ukurasa au mkusanyiko wa kurasa mtandaoni ambazo mtu anaweza kufikia kupitia kivinjari (browser) kama vile Chrome, Safari, au Firefox...
🍇Bila shaka katika maisha yako umewahi kusikia neno 'KOMBORA' hususan katika tasnia ya lugha za kichawi, 'kwamba ntakupiga kombora' huwa sio i ya kificho, hiyo ndio lugha halisi ya kwamba ukipigwa kombora basi ujue unakufa na kama umepigwa kombora dalili moja wapo nikuota ndoto zakutisha usiku...
Kwanza nchi za EA .au nchi za jangwa la Sahara ni Kama viongozi wao walizaliwa na Mama mmoja .
Ila zipo tofauti ndogo ,ndogo ambazo niliziona Tz
Wakenya wapo Mbele ya muda kwenye Upande wa teknolojia ,kuliko kenya.
Nidhamu ya muda , wakenya wanajali Sana muda , hata ukitokea msiba wanaweza...
Iko wazi, kwa kila mtumiaji wa map zinazopatikana ktk simu zetu amewah kupima speed pale anapokuw safarini. Sasa swali langu ni.
Ikiwa uko baharini(boti/meri) au angani(ndege/parachuti) hii map itaendelea kufunction km kawaida au kutakuwepo na mabadiliko?
Nauliza hivo maana sijawahi panda...
Je kuna utofauti gani kati ya adui na mpinzani ?.
Adui- huyu yeye hawezi Ku-expose mipango yake katika kadamnasi
Mpinzani - huyu anakupinga waziwazi kwa kukuonesha kuwa hiki sio au Ana-ku outshine .
Kosa alilofanya JPM naona limejirudia tena .
Jpm ali offend the wrong enemy , Alimshambulia...
Habari wana JF
Huu mkondo wa amali unatofauti gani na zile shule za ufundi?
mm nimeona shule za ufundi mapegunzuziwa masomo kama history na geography hivi wajikite zaidi kweny vitendo.
Sasa huu mkondo wa amali kama utakuwa unatofauti na ule wa shule za ufundi. ipo wap Tena sifa za kujiunga...
Hakuna haja ya kuomba radhi—swali lako ni la msingi kabisa!
Tofauti ya gharama kati ya “hidden roofing” (paa lililofichwa) na paa la kawaida (linaloonekana) inategemea mambo kadhaa, lakini hapa kuna muhtasari wa tofauti kuu:
* Hidden Roofing (Paa lililofichwa)*
Faida za gharama:
Hupunguza...
Utofauti wa siasa za Kenya na Tanzania unaweza kuangaliwa kwa misingi mbalimbali kama vile mfumo wa vyama vya siasa, uhuru wa vyombo vya habari, historia ya kisiasa, na utekelezaji wa demokrasia. Hapa chini ni baadhi ya tofauti kuu:
---
1. Mfumo wa Vyama vya Siasa
Kenya: Ina mfumo wa vyama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.