uthubutu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Keynez

    Tanzania inakwama kwa sababu vijana wamepotezewa roho ya ujasiri, uthubutu na ubunifu

    Watawala wa Tanzania walidhani kwa kuua roho ya ujasiri, uthubutu na ubunifu kwa vijana wa Kitanzania kupitia mifumo mibovu ya kielimu, kisiasa na ya kijamii kwamba athari zake zingebaki tu katika mambo ya siasa ili kulinda maslahi ya hao watawala. Badala yake, athari za mambo haya tunaziona...
  2. Yoda

    Kodi nyeusi (Black Tax) ni kizingiti kikubwa sana cha utajiri kwa kijana Mwafrika mweusi

    Kitu kimojawapo kinachowafanya wazungu kuwa halisi sana(real) na wenye uthubutu ni kwa sababu ya mfumo wao wa maisha ambapo wazazi na ndugu hawategemei misaada au matunzo kutoka kwa watoto na ndugu wengine. Hali huwafanya waweze kutengeneza mitaji na uthubutu kufanya mambo mbalimbali hata ya...
  3. ELI COHEN

    Siwezi walaumu kopola na mkewe, maana tofaut na watu weng, wana uthubutu wa kupambania fursa, fursa iliopo mbele yao ya watu wa imani za kufikirika

    Kama mkewe angekuwa katika kongmano huko amsterdam, basi angewaambia wazungu kuwa mume wake alimuomba Mungu ili afike salama mahali pa kuchukulia gesi maana muda ulikuwa ni giza kali usiku na alifika salama. Ila kwa sababu amekaa na wenzake ambao amezoea kula pesa zao kwa mazigaombwe basi acha...
  4. Augustine Aloyce

    Uthubutu wako utakufanya uondokane na umasikini

  5. Last_Joker

    Wanawake na ‘Soft Girl Era’: Ni Starehe tu au Ni Uthubutu wa Kuishi Maisha Bora?

    Katika zama hizi, dhana ya “Soft Girl Era” imechukua kasi kubwa, hasa kwenye mitandao ya kijamii. Wanawake wanajitokeza wakipigia debe maisha ya utulivu, starehe, na kujitunza—mara nyingi wakitoa picha za maisha yenye mwonekano wa kifahari na uzuri wa kila aina. Lakini hii ina maana gani? Je, ni...
  6. Li ngunda ngali

    Hayupo tajiri aliyetajirika kwa halali, hayupo

    Wengi wao ni madhulumati makubwa na wanyonyaji kwa kiwango kisichomithilika na kuelezeka! Bila kuwa 'mafia' utajiri usahau abadani. NB: Asante boss Med ila umenifunza nisiwe bwege tena kwa mwingine. Takbir!
  7. C

    Hakuna wazee wenye uthubutu na hekima waliobakia CCM

    Mwalimu Nyerere aliwahi kusema CCM siyo mama yangu na kama ikikiuka misingi ya kuanzishwa kwake anaweza kuhama, hii kauli inaweza kutamkwa na mtu muadilifu, muungwana na anauechukizwa na maovu kweli kweli. Katika utawala wake nani anayeweza kumshutumu kwa ufisadi, rushwa, dhuluma, wizi na hata...
  8. GENTAMYCINE

    Semeni mtakavyosema, ila ukweli ni kwamba SGR bila Nguvu ya Hayati Magufuli na Uthubutu wake leo tusingeifurahia tusimbeze hata kama Kalala mazima

    Kwangu Mimi GENTAMYCINE ninachojua mazuri yote hasa ya Kimiundombinu yanayotokea sasa yametokana na Hayati Magufuli na bado sijaona hata moja ambalo aliyeko sasa anaweza kusema Yeye ndiyo kalifanikisha na kama labda kuna alilofanikisha kwa upande wake ni Kucheza Sinema Mbugani na kufanya...
  9. M

    SoC04 TANZANIA TUITAKAYO: Serikali ya Uthubutu, Uwajibikaji mzuri kwa maendeleo bora katika Sekta ya Elimu

    Tofauti na awamu nyingine za maraisi waliopita , serikali ya sasa chini ya awamu ya sita ikiongozwa na Raisi wa jamuhuri wa muungano wa Tanzania Mhe. Samia Hassan inaonesha kujenga shule nyingi Kwa ajili ya kutataua changamoto ya ukosefu wa madarasa. Zaidi kuwepo wa Elimu ya bure mashuleni bila...
  10. GENTAMYCINE

    Huyu Dereva wa Gari la Toyota Landcruiser Hardtop Nyeupe lenye Plate Number ya T216 DHH ya Tundu Lissu uthubutu wa Kuitumia kautoa wapi?

    Yaani mwenye Gari kapigwa risasi ambazo zilitaka Kumuua halafu bila hata huruma bado kuna Mtu sijui kwa Jeuri yake au Jeuri anayopewa kaona haitoshi akaamua kabisa kwenda na Kung'oa Plate Number ya Gari la Tundu Lissu ya T216 DHH na kuamua Kuitumia kama yake Dodoma hadi kuwa na Deni ya Kuegesha...
  11. Richard mtao

    Kwanini uthubutu?

    Habari wana JF. Leo katika tafakari zangu nimejiuliza kwanini vijana wengi au watu wengi wanakwama sana au wanaogopa kuthubutu, nikapata majibu kwamba:- 1. Wengi wetu hatujiamini katika kile tunachodhani tunahitaji 2. Wengi tunaogopa kuchekwa ama kukosolewa na watu wengine 3. Malezi tuliyopewa...
  12. B

    Shivji: Chimbuko la wasiokuwa na Hoja au uthubutu wa Kuhoji, linalo ligharimu Taifa (Part 2)

    Sanjari na alivyokuwa akisisitza Nyerere (RIP): "Tunataka kuona katika Taifa hili, vijana jeuri na wenye kujiamini, si vijana waoga, akina "ndiyo bwana mkubwa", vijana wanaohoji na kupiga vita mifumo ya jamii isiyoshabihiana na matakwa na matarajio ya jamii ya kitanzania. Tunataka vijana waasi...
  13. B

    Shivji: Chimbuko la wasiokuwa na Hoja au uthubutu wa Kuhoji, linalo ligharimu Taifa (Part 1)

    Yalisemwa na Prof Shivji (9 Apr 2024, SUA, Morogoro) kuhusiana na athari kwa taifa kutokana na kukosekana kwa vijana wenye kukosa hoja na hata uthubutu wa kuhoji: Kuepuka andiko hili kuwa refu mno na bila kuathiri ufasaha wake, ninalikata andiko hili kuwa katika sehemu mbili; zikiwa ni nyuzi...
  14. GENTAMYCINE

    Tamko la CCM nitaliamini 100% endapo tu Mwenyekiti wake Taifa na Rais Samia atakuja na uthubutu ufuatao

    Mimi Rais Samia na Mwenyekiti wa CCM Taifa natangaza rasmi hapa kuwa sitaki nyie akina Kitenge, Zembwela, Pindi Chana, UVCCM Wote, Rais Mstaafu Kikwete na Wengineo wote Mjipendekeze Kwangu kwani siwahitaji na hakuna ambacho huwa nawatuma mkiseme bali ni Kuwashwawashwa Kwenu tu mkidhani...
  15. Msanii

    Rais Samia apewe maua yake kwa uthubutu wa kutatatua mkwamo wa jirani zetu Kenya

    Nimesikiliza kupitia BBC na VOA taarifa kuwa Rais Samia alisafiri kwenda Nairobi kwa minajili ya kuwapatanisha mahasimu wa siasa za Kenya ambao ni Rais Ruto na Raila Odinga. Sijajua undani kama alikwenda au la lakini iwapo ni kweli alikwenda Nairobi basi hatuna budi kumpongeza Rais Samia...
  16. N

    SoC03 Uthubutu na kuiweka hofu kando, kila kitu kinawezekana

    Haujambo mwafrika, haujambo mtanzania? Katika jukwaa la stori za mabadiliko, ninayo furaha kubwa kuwasalimu kwa jina la mtanzania na muwe na amani hata milele Amina. Niko na wazo langu, ambalo kupitia jukwaa hili, huenda likaleta mabadiliko kwenye jamii yetu ijapo hata kidogo tu. Nina uliza...
  17. desmond3076

    SoC03 Uthubutu wako ndio Chachu ya mabadiliko

    Naitwa Desmond sio jina halisi,nilimaliza Elimu ya msingi miaka kadhaa iliopita ,japokuwa sikuweza kuchaguliwa,kujiunga na Elimu ya upili, ilinilazimu kurudia tena mwaka mwingine na hatimae kuweza kufanikiwa kujiunga na shule ya upili huko wilayani tarime mkoa wa Mara. Maisha ya Elimu ya upili...
  18. Jackline Malavanu

    SoC03 Kijana wa Kitanzania na soko la ajira duniani

    Tanzania ni moja kati ya nchi nyingi barani Afrika ambazo, zina wimbi kubwa la vijana wasiokuwa na ajira hasa , wahitimu wa vyuo vya kati na vyuo vikuu. Jambo hili likionekana kuchochea sana vitendo vya kihalifu hasa, katika miji mikubwa kama Dodoma, Dar es salaam na Mwanza. Sio kwamba...
  19. T

    Kama Taifa! Muda umefika wa kutambua uwezo na uthubutu wake aliyekuwa Rais wetu Hayati Magufuli

    Uwezo wa mtu upo katika kuamua kwa usahihi na kisha kutenda bila kusubiri Nchi yetu imekuwa na nyakati za kuongozwa na viongozi aina mbalimbali Viongozu wote duniani ili waingie kwenye record ya viongozi bora, hupimwa kupitia ufanisi woo wa kuongoza ikiwemo pamoja na uthubutu wao wa kuamua...
  20. sky soldier

    Hakuna kinachoshindikana zaidi ya Nia na Uthubutu. Walionenepa na wanataka kupungua inawezekana ndani ya Siku 50 tu

    Ulikuwa na mwili wako wa kawaida tu lakini ghafla imeshaanza kuwa kawaida kuambiwa "Umenenepa siku hizi?” Kama una nia ya kurudisha mwili uwe wa kawaida siwezi kusema ni rahisi ila inahitaji uwe na nia thabiti. Dawa ni hii hapa. Ni mwezi moja tu. Milo miwili tu kwa siku! Unavyoamka kula...
Back
Top Bottom