uthibitisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    Kwa nini pamoja na kutokuwa na uthibitisho bado ni vigumu sana waamini Mungu kuwa atheists wakiwa wakubwa?

    Kwa nini ni vigumu sana watu kuacha kuamini mungu wakati 99% wanaamini mungu kwa sababu tu walizaliwa na wazazi waamini mungu(wenye dini) ila sio kwamba walianza kuamini mungu kwa sababu walipata uthibitisho kuwa mungu yupo? Pia ukizingatia binadamu wote wanazaliwa atheists ni ajabu baada ya...
  2. mwehu ndama

    Maria sarungi Punguza mihemko na utoaji wa taarifa zisizo na uthibitisho. Mnapoteza kuaminika

    Binafsi naipinga serikali batili ya CCM na Kila jambo lake .Lakini nafikiri kama kuna kitu Hawa wanaojiita wanaharakati wanakosea sana basi ni utoaji wa taarifa hovyohovyo, Tena za upotoshaji .Hii inapunguza kuaminika kwenu mbele yetu sisi wananchi . Tena wew Maria sarungi na Hilda Newton...
  3. ELI COHEN

    Ile video kuwa wairan 1.2m waliandamana kuunga mkono serikali ni AI, uthibitisho huu hapa

    👇 Ritz you are a fraud Soma Tehran, Wairani milioni 1.2 waliandamana kuiunga mkono serikali yao
  4. F

    Kujazana familia ya Samia kwenye nafasi za uongozi wa nchi ni uthibitisho wa kukosa maadili ya kiongozi

    Samia amejaza wanafamilia yake angalau 7 kwenye nafasi za ubunge wa kuteuliwa na uwaziri. Wapo wengine wengi katika nafasi za chini kidogo, ni wengi. Jambo hili linadhihirisha kuwa Samia hana maadili ya kiuongozi na hajali anayoyafanya mbele ya macho ya Watanzania. Jambo hili ni hatari kwa...
  5. Cute Wife

    PostGE2025 Kwa maana nyingine serikali imekubali ripoti ya CNN, BBC na Al Jazeera ila hawajapenda namna walivyopata uthibitisho?

    wakuu, Kwenye press hii Msigwa amseme walichokifanya CNN na wengine ni kinyume na maadili ya uandishi kwa kutokwenda kupata upande wa pili. Wamesema kuweka picha za kutisha mtandani ni kinyume na maadili, kuonyesha picha za watu vimejaa damu, au wametobolewa ni kinyume na taratibu za uandishi...
  6. Cute Wife

    PostGE2025 Msigwa: Uhakiki wa video za CNN unaendelea, serikali inatoa wito wa CNN kufuata weledi na maadili ya uandishi

    Kuhusu serikali kufanya uhakiki wa ripoti ya CNN, Msigwa amesema: Uhakiki wa makala unaendelea, lakini hawajafuata weledi na uadilifu kwenye uandishi wa habari. Si kweli CNN ilishindwa kupata upande wa serikali, akisema inashangaza chombo kama CNN kufanya makosa ya kiweledi kama hayo...
  7. PureView zeiss

    Israel yashambulia makao makuu ya viongozi wa Hamas nchini Qatar

    Mpaka sasa hajajulikana ni viongozi wangapi walikuwemo ndani jengo Hilo la makao makuu mjini DOHA. Kwa habari Kile kipigo kilichoenda Kwa wahouthi na Kufa Kwa mawaziri wake nahisi inaenda kutokea Leo , Acha tusubiri tuone ni vifo vingapi vimetokea Who are the Hamas leaders in Qatar? Jeshi la...
  8. M

    Wanawake wengi wenu mkishapewa barua za uthibitisho mnabadilika kabisa

    Picha linaanza mnapokuwa kwenye mahusiano mnakuwa na adabu, utii na usikivu Mnafichaga rangi zenu halisi mna pretend sana Mwanamke atajishusha sana, kupokea cm Kwa wakati, mesej zinajibiwa Kwa wakati na akichelewa kujibu mesej au asipopokea cm ataandika essay kuelezea hali halisi mpka...
  9. Mr Beach Boy

    Napataje barua ya uthibitisho wa safari? Ili kupata passport?

    Hello Fellas Nataka kuchukua passport kwa ajili ya matumizi ya baadae Changamoto inakuja kwenye barua ya uthibitisho wa safari Sina invitation letter nataka kuwa na passport in case anything happen natembea ughaibuni Naombeni njia za kupata barua ya uthibitisho aiseee.
  10. Lord Denning

    Uthibitisho wa CCM kuiangamiza Tanzania: Kama sifa ya kuwa Waziri ni kuwa mbunge, Ilikuwaje Mawaziri wanaendelea wakati Bunge limevunjwa?

    Kwa sie tuliozaliwa zamani kidogo tulikuta mfumo mzuri sana uliokuwa unaliendesha hili Taifa. Mfumo huo ni kwamba, baada ya Bunge kuvunjwa, Wizara zote zilikuwa zinaongozwa na Makatibu Wakuu hadi baada ya Uchaguzi na baraza jipya la Mawaziri kutangazwa na kuapishwa. Pia Katibu Mkuu kiongozi...
  11. W

    Watu wanaongelea pesa za kichawi bila uthibitisho, Kama ni kweli zinapoingia kwenye account anaetuma ni nani ?

    Naweza kuamini pesa inaweza kupatikana kwa njia nyeusi na hatarishi kama ujambbazi lakini si nguvu za giza. Yani utoke tu huko kwa mganga uzikute zimedondoka chumbani kama furushi la magimbi, hizi bi hadithi za sungura na fisi. Kama ni muamala benki zinarekodi kila kitu, jina huwa ni la nani ...
  12. R

    Kwa Mkapa kulifungwa kwa matengenezo ya Bilioni 30, CAF imehamisha fainali Zanzibar. Tulipohoji tulionekana wachochezi, acha tujifunze kwa uchungu

    serikali ilidhani wakosoaji tunawapigia kelele, sasa kelele zinatoka CAF! Club ya Berkene imejulishwa na CAF uwanja utakuwa Zanzibar. Simba hawajui kinachoendelea, kwenye page yao wameandika taarifa kamili ni baada ya mechi ya ugenini. Uwanja wa Zanzibar huwa ni mgumu sana kwa mechi za Simba...
  13. Fbn

    Kama uthibitisho kuwa nyani wa kwanza alitokea oldivai gorge basi hawa nyani ndio tunaendelea nao kwenye huu utawala

    Mi kwa sasa siwezi lalamika mzungu,mwarabu na wachina wakituita nyani.Kama tunashindwa hata kuishi kama wao kwa nini tukatae. Mfano leo kuna viongozi wanaweza kuja kubisha kauli zao za nyuma kuwa hawa kusema ila wakionesha wakaulizwa wanakana. Kuna watu hapa JF damu za watu zina...
  14. Lord Denning

    Maamuzi ya Mahakama Kesi ya Lissu: Uthibitisho wa Umuhimu wa TLS kama " Shadow 4th Organ of the State"

    Baada ya Katiba kubakwa vibaya sana na Mhimili wa Serikali na Vyombo vyake ni TLS waliojitokeza kuikumbusha Mahakama na Vyombo vya Kikatiba kusimama kwenye nafasi zao bila kuogopa. Hatimaye Umuhimu wa TLS umeonekana Nchini. Hatimaye akili za Wazee wa zamani walioweka kifungu cha 4 cha Sheria ya...
  15. M

    KISAIKOLOJIA, VITA VYA UENYEKITI CHADEMA NI UTHIBITISHO KUWA HAWANA TUMAINI LA KUSHINDA NAFASI YA URAIS KTK UCHAGUZI MKUU 2025. KINYUME CHAKE WANGEACH

    Siasa ni mchezo mchafu. Vita vya kiti cha Uenyekiti chadema kati ya chawa wa pande mbili ni vita vilivyotengezwa na Tiss. Wakiwatumia vijana wao kuna yeriko. Ni vita vya kupigania pesa za rushwa kutoka kwa chama mtaala. Wakati mbowe akiwatumia vijana wake akina wenje, yericko kupoza nguvu ya...
  16. B

    LGE2024 Unaenda kupiga kura uchaguzi Serikali za mtaa bila hata kuonyesha uthibitisho kama kweli wewe ndiye mhusika wa jina hilo

    Nilifika asubuhi kituo nilichojiandikisha kupiga kura nikakuta orodha ya majina yamebandikwa nje kwenye kuta nikatafuta jina langu nikaliona Baada ya hapo nikaingia kupiga kura msimamizi wa uchaguzi akaangalia jina langu kwenye orodha ya daftari lake akalitiki bila hata kupata uthibitisho kama...
  17. fasiliteta

    Uchaguzi wa Marekani ni uthibitisho wa Ubaguzi hautoisha duniani

    Wamarekani ni wabaguzi sana hasa hawa weupe wanaojiona ndo binadamu, si ajabu ndo mana wamarekani weusi wanabaguliwa mpaka Dunia ya Leo ya mwangaza. Wamempiga chini Kamala kwa sababu ya uanamke wake na ngozi yake yenye weusi .Naamini wale manguli weupe kama Trump, Elon Musk bado wanaamini wao...
  18. C

    Wanafunzi wa Sekondari Mangamba day wamfanyia umafia mwalimu wao kwa kisa ambacho hakina uthibitisho

    Ni ijumaa nyingine tena tukiwa tuna uanza mwezi mpya wa November. ALLAH atujalie kila lililo la Lessons from the stories Walimu acheni tamaa za muda mfupi hawa wanafunzi ni kweli wanavutia kwa macho ila jela sio nzuri na mwisho wa siku unapata aibu ww na familia yako Wivu umehusika hapa huyu...
  19. ndege JOHN

    Uthibitisho mishangazi imeanza kupendwa kitambo; mikasi ya ngwea

    dereva funga brake tushafika kwenye party eeeh bwana eh kumbe bonge la party cheki mademu kibao utadhani kitchen party duh! cheki lile anti lililovaa skintight ee bwana eh! liko safi sio mchezo babake unaweza ukahonga laki aah wapi! mtu kama mi hanipati usawa wenyewe huu wa kulenga kwa manati...
  20. Waufukweni

    LGE2024 Waziri Mchengerwa: Hakuna Uthibitisho wa madai ya Uandikishaji Wanafunzi Kupiga Kura

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mohammed Mchengerwa ameeleza kuwa hajapata uthibitisho wa madai kuwa kuna vituo vya Uandikishaji Wapiga Kura nchini vimeandikisha baadhi ya watu (Wanafunzi) ambao hawajakidhi vigezo kikanuni kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa. Akizungumza na waandishi...
Back
Top Bottom