uteuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MK254

    Israel waonya yeyote atakayekubali uteuzi wa kumrithi Ayatollah, ajiandae kufa

    Yaani kinaitwa kiti moto, kalia hicho kiti ukijua muda wowote utashushiwa kitu kizito, hata ukijificha ndani ya mahandaki kama alivyofanya Ayatollah, kuna aina ya mabomu hufumua handaki. Israel imeteka anga, hivyo ndege zinaruka zikitafuta pakupiga. Iran kwa sasa ipo pabaya sana maana humo...
  2. Waufukweni

    Mchungaji Msigwa: Ukisema ninasubiri uteuzi unanitukana

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mchungaji Peter Msigwa, amesema kuwa thamani yake kama binadamu haijawahi na haitawahi kutegemea vyeo vya kuteuliwa au kuchaguliwa. Akizungumza katika mahojiano na mtangazaji Neema Msafiri wa Msafiri Online, Msigwa amejibu mapigo kwa wale wanaodai kuwa...
  3. Roving Journalist

    Mabadiliko ya Wizara Mbili na UTEUZI, Februari 6, 2026

    YAH: MABADILIKO YA MUUNDO WA WIZARA MBILI NA UTEUZI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko ya muundo wa Ofisi ya Rais - Mipango na Uwekezaji na Wizara ya Nishati kwa Wizara hizo kuwa na Makatibu Wakuu wawili kwa kila Wizara, kuteua na kufanya...
  4. Mkalukungone Mwamba

    RC Kagera atumbuliwa, Kanali Yahya Ramadhani Kido apewa nafasi hiyo

    Aliyekuwa RC wa Kagera ameondolewa; kuna issue gani alifanya huyu?
  5. L

    Makonda aendelea kupaa. Alamba Uteuzi Mzito Ndani Ya CCM

    Ndugu zangu Watanzania, Huyu Mwamba Ni Balaa Kwelikweli. Hakamatiki Wala Hashikiki. Mungu Wake nI mkubwa sana na anatembea naye muda wote Kuna jambo kubwa sana limepangwa na Mungu Wake Kwa Taifa letu ambalo litatimia. Mengi nilishaeleza Juu ya huyu Mwamba na namna gani ni hazina ya Taifa...
  6. DuaZaMama

    Mahakama yabatilisha uteuzi wa washauri 21 wa Rais Ruto

    Januari 22, 2026 Mahakama Kuu ilibatilisha uamuzi wa kuanzishwa kwa Ofisi na uteuzi wa washauri 21 wa Rais William Ruto, ikisema kuwa mchakato ulikuwa wa siri, bila kufuata Katiba. Uamuzi huo ni kufuatia shauri lililofunguliwa na Taasisi ya Katiba (Katiba Institute) kwa kushirikiana na Wakili...
  7. McLaren

    President Samia appoints Makonda as Minister for Information as she dismisses Simbachawene as Home Affairs Minister

    The President of the United Republic of Tanzania, Dr Samia Suluhu Hassan, has made several appointments and dismissals of government leaders. According to a statement released by the Chief Secretary, Ambassador Dr Moses Kusiluka, the changes are as follows (i) Hon Patrobas Paschal Katambi MP...
  8. Area 56

    CGI Anna Makakala ndio Mkuu pekee wa Chombo cha Ulinzi na Usalama aliyebaki mwenye uteuzi wa hayati Magufuli

    Rais Samia alipoingia tu madarakani 19 March 2021 alianza taratibu kuwaondoa Wakuu waVyombo vya Ulinzi na Usalama na kuweka wakwake. Ndio, wengine walikuwa washakaribia kustaafu kama Jenerali Mabeyo, ila wengine waliondolewa kabla ya kustaafu kwao kama vile DGIS Diwani Athumani pamoja na IGP...
  9. SSH2025_2030

    Askofu Mkuu wa KKKT Dr Malasusa (PhD) anastahili pongezi kwa uzalendo

    Mhashamu Dr Askofu Mkuu KKKT Alex Malasusa (PhD) . Pongezi kwa kupambania Tanzania na Kanisa lako
  10. Mafyangula

    PostGE2025 Diwani wa Kata ya Mwendakulima afanya uteuzi wa wasaidizi katika ofisi yake

    Mhe. Diwani wa Kata ya Mwendakulima ambaye pia naibu Meya wa Manispaa ya Kahama, Ndugu SHABAN MIKONGOTI amefanya uteuzi wa wasaidizi (2) watakao hudumu katika ofisi yake kama ifuatavyo: i. Ndugu DEUS JOSEPH ametewuliwa kuwa Katibu wa ofisi ya Diwani anayeshughulikia Jamii na Mahusiano. Ndugu...
  11. Foffana

    PostGE2025 Uteuzi wa wagombea wa CCM wa nafasi za Mameya wa jiji

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan jana Novemba 29,2025 ameongoza Kikao cha Kamati Kuu Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa cha uteuzi wa wagombea wa CCM wa nafasi za Mameya wa Majiji na Manispaa pamoja na...
  12. Carlos The Jackal

    PostGE2025 Kuteua ndio Huwa kazi yake kuu ya Urais, Sasa Uteuzi wa BALOZI muda huu wa kazi gan?

    Mnakumbuka baada ya Hayati Magufuli Kufa alikua Kila siku anateua, yaan Kila siku kuteua ,ndio njia pekee ya Media kumtangaza. Dec 9 tunaenda kuzuia Uhuni wote huo!!
  13. Lord Denning

    Ukweli Mchungu: Samia haumizwi na vifo vya Watanganyika, hajali chochote kuhusu Watanganyika. Uteuzi wa Baraza la Mawaziri ni kielelezo tosha

    Kila siku tunasema humu. Kwa tulipofikia ni sisi Watanganyika kuamua kujikomboa tu. Na hiki ndicho kilichobaki na suluhisho pekee mbele yetu. Kama kuna mtu aliyekuwa anadhani kuwa Samia anaumizwa na vifo vya Watanganyika basi ajue anakosea sana. Kama kuna mtu alikuwa anadhani kuwa Samia...
  14. ngara23

    Tathmini na tafsiri ya uteuzi wa Baraza la mawaziri

    1. Waziri mkuu Mwigulu Nchemba Huyu amewekwa kufanya propaganda za utamaduni wa Magufuli ili wananchi wawe na Imani na Serikali Hapa tutarajie ziara za kushitukiza na tumbua tumbua nyingi 2 Wizara ya Afya Mchengerwa Huyo kifua kipana ameweka hapo ili kuthibiti habari za vifo na maiti za...
  15. Q

    PostGE2025 Nawashauri Wajumbe wa Tume ya Maridhiano walioteuliwa na Serikali wakatae uteuzi au wajiuzulu.

    Gen Z wamesema mjumbe yeyote atakayekubali uteuzi ni msaliti sawa na kushirikiana na wauaji, wawe wanambea na familia zao maana watawatembelea kwenye nyumba zao au biashara zao kama walivyowatembelea wasanii wasaliti. Askofu Mbilu kutoka Lushoto Tanga wa Kanisa la KKKT ni miongoni mwa wajumbe...
  16. GENTAMYCINE

    PostGE2025 Paul Makonda na Dotto Biteko msizuge, ukweli ni kwamba mmeumia vilivyo kusikia Rais kapeleka jina la Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu ajaye

    Tokea Wiki hii ianze mlikuwa mnatamba tu huko Dodoma huku mkijiaminisha kuwa mmoja wenu atakuwa PM ajaye wa Tanzania hatimaye wote Wawili Mama kawala Vichwa na ha hamjaamini kabisa. Na kuna mmoja wenu hapo kila Siku alikuwa anaoga Maji ya Mganga wake wa Kienyeji kutoka Mkuranga ambaye...
  17. President of China

    LIVE BUNGENI: UTEUZI WA WAZIRI MKUU MPYA, RAIS SAMIA KUHUTUBIA LEO

    https://www.youtube.com/live/HC9UL5gBJzE?si=xsGjR6En5h3eFIvJ
  18. HesabuKali

    PostGE2025 Uteuzi wa Mawaziri na Viongozi wengine utakavyopunguza hasira za Watanzania na kurudisha imani hata robo kwa Rais Samia

    Inafahamika wazi kabisa watu wengi hawaitaki hata kuisikia Serikali iliyopatikana baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29 na kumsimika Rais Samia hali iliyopelekea maandamano yaliyosababisha maumivu makubwa. Kama Rais Samia anataka utulivu hata wa asilimia 10 tu basi wafuatao asijaribu hata kwa...
  19. Nukta5

    GE2025 Wanaosubiri uteuzi hawaruhusiwi kuonyesha simanzi ya yaliyotokea

    Baada ya kutokea machafuko wanasiasa wanaosubiri kuteuliwa hawana haja ya kutoa pole kwa wafiwa au kuonyesha kuguswa kwa yaliyotokea hadi pale Rais atakapoonyesha amechukizwa na hilo
  20. SSH2025_2030

    Bona Kaluwa akumbukwe uteuzi kufidia hasara aliyopata

    Wana Segerea mpewe nini? Yaani pesa mmekula ila Kura hapana? Why? Inafaa basi angalau Mheshimiwa akumbukwe kwenye uteuzi ili angalau Ile 1.8bn irudi. Inauma haswa
Back
Top Bottom