utekaji tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Black Opal

    JamiiForums Tanzania Watu tumekosa usingizi kutokana na uchungu wa kutekwa Polepole, Gen Z msipotoka kuandamana mtakuwa mmeliangusha taifa!

    Aloooo, Kama ulikuwa hujali wala huumizwi na matukio ya utekaji, na kuona hayajuhusu nadhani hilo limebadilika kuanzia jana. Nimepita mtandaoni maoni yanafanana, watu tumeshindwa kulala, usingizi unakuja wa mang'amung'amu, moyo unauma kama vile aliyetekwa ni mtu wako wa karibu. Unajikuta...
  2. TODAYS

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ombi: JWTZ tunaomba muingilie kati kinachoendelea nchini

    Sina maneno mengi. Jeshi la Wananchi wa Tanzania nyie ndiyo wenye last action juu ya ulinzi wa kila kitu kilichopo ndani ya nchi hii, chini majini au juu ya uso wa dunia ndani ya mipaka ya taifa letu. Inafahamika, nyie hamuegemei popote. Ila kwa wanayoendelea sasa hakika kwa heshima na...
  3. Superbug

    JamiiForums Tanzania Atakapoingia Rais mpya madarakani akapige magoti na kuziomba radhi familia hizi

    1. Mzee KIBAO. 2. Chaula. 3. Mdude. 4. Soka. Haya yafanyike regime ya waliotawala awamu hii wakiwa hai. Ili waone waliyowafanyia watanzania wenzetu. Baada ya hapo asiwasahau pia kina: 1. Alphonce Mawazo. 2. Sativa. 3. Lissu. Na wengine wengi tusiowajua na wasio na majina makubwa ila...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Bagonza: Wagombea wanazungumza vitu vya kawaida, sijasikia wakikemea rushwa, utekaji, haki "sera za Shopping list"

    Askofu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Bagonza, amesema sera za wagombea katika Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 bado zimejaa ahadi za kawaida kama ujenzi wa miundombinu na ununuzi wa Ndege, akiongeza kuwa "Sijasikia mtu akikemea rushwa, haki ya kukutana au hatma ya...
  5. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi: Padre aliyedai ametekwa, hakutekwa. Alisafiri mwenyewe kwa basi na kwenda Mbeya

    Jeshi la Polisi mkoani Iringa linamshikilia padre Jordan Kibiki wa Kanisa Katoliki Jimbo la Mafinga, kwatuhuma za kutoa taarifa za uongo kuwa ametekwa na watu wasiojulikana. Kamanda wa Polisi mkoa wa Iringa, SACP Allan Bukumbi, amethibitisha kukamatwa kwa padre huyo na kueleza kuwa uchunguzi wa...
  6. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Gombo Gombo: Mkichagua CUF tutakomesha utekaji

    Chama cha Wananchi CUF kimesema endapo kitaingia madarakani kitahakikisha kinapambana na utekaji wa watu nchini ikiwemo na kuhakikisha kinaimarisha vyombo vya ulinzi na usalama. Akizungumza na waandishi wa Habari jijini Mwanza mgombea urais kupitia CUF Gombo Samandito Gombo amewaomba watanzania...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Polisi Mara watoa wito kwa mwenye taarifa za kweli za kupotea Sinda Samson Mseti kuziwasilisha ili zifanyiwe kazi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Polisi Tarime Rorya limeona picha mjongoo yenye dakika 4:38 ikisambazwa kwenye mitandao ya kijamii ikionyesha kusambazwa na mtu mwenye akaunti ya Instagram yenye jina la martinmaranjamassese, ikionyesha kundi la watu wakiingia kwenye nyumba moja majira ya usiku. Maelezo...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Dkt. Kimondo: Tatizo mtu akiongelea tu utekaji anaanza kusumbuliwa na Vyombo vya dola vipo, kuna nini nyuma yake?

    Mchungaji Msataafu wa kanisa la KKKT Mchungaji Dkt. Steven Kimondo, amehoji ukimya wa vyombo vya usalama kuhusu matukio ya watu kutekwa, akisema kama kweli wametekwa, kungekuwa na juhudi za wazi za kuwatafuta, lakini yeye hajaona juhudi hizo. "Katiba ya Nchi inaheshimu uhai wa Mtu, sasa kama...
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaharakati kutoka Kenya anayeishi na kufanya kazi Tanzania adaiwa kutekwa

    A Kenyan activist working in Tanzania has allegedly been abducted. --- Kwa mujibu wa Mwandishi wa BBC Isabella Kituri, mwanaharakati Mwabili Mwagodi ametoweka akiwa nchini Tanzania. Kituri alieleza kuwa juhudi za mwajiri wake kutoa taarifa ya kutoweka kwa Mwabili zilikataliwa na polisi kwa...
  10. Inside10

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kundi la “Wachokonozi” wamekamatwa na watu waliodai kuwa ni Askari Polisi katika eneo la Maji ya Chai, Arumeru, Arusha

    Kundi la Wachokonozi linaloundwa na Joseph Mrindoko na Jackson Kabalo wamekamatwa leo na watu waliodai kuwa ni askari polisi katika eneo la Maji ya Chai, wilayani Arumeru, Arusha. Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa mashuhuda wa tukio hilo, watu hao waliovamia nyumba ya Joseph Mrindoko walikuwa...
  11. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kesi ya waliojaribu kumteka Tarimo kuendelea leo June 9 na kesho June 10 Mahakama ya Kinondoni

    Wakuu, Ile kesi ya watakaji waliofikishwa mahakamani kwa mara ya kwanza inaendelea leo na kesho yaani June 9 na 10, 2025 katika Mahakama ya Kinondoni. Ngoja tuone nini kitaendelea leo na kama waandishi wataruhusiwa kwenda kuripoti, maana ni kama kila anayejaribu kufuatilia anaambiwa atulize fuvu.
  12. mshale21

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Familia yathibitisha kutekwa kwa Sheikh Nkokoo, suala la kupaza sauti juu ya utekaji sio hoja ya udini ndugu Waislamu

    Yoyote yule kwa dini yake, iwe mkristo au muislamu atakumbwa na matatizo ya utekaji, na ndiyo maana hili suala ni la kitaifa , sio la wakristo pekee. Inashangaza sana, kuona watu wanatekwa, arafu wale wanaopaza sauti wanaambiwa wanahubiri udini kwa kuwa Rais wetu ni muislamu na hakwepi lawama...
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Seneta Nairobi amtaka Ruto aachane na msamaha wa kinafiki, achukue hatua kali dhidi ya Tanzania

    Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna ataka Kenya ichukue hatua kali dhidi ya Tanzania kufuatia madai ya utesaji wa wanaharakati Seneta wa Nairobi, Edwin Sifuna, ametaka serikali ya Kenya ichukue hatua za kisasi dhidi ya Tanzania kufuatia madai ya mateso na ukiukaji wa haki za binadamu dhidi ya...
  14. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kesi ya waliojaribu kumteka Tarimo kuendelea June 9 na 10, 2025. Kwanini imekuwa ngumu kupata taarifa za kesi hii?

    Kwa taarifa zilizopo kwa kumulika kwelikweli na tochi ni kuwa kesi ya wale jamaa waliojaribu kumteka Tarimo A.K.A Bonge itaendelea June 9 na 10, 2025. Kwanini itakuwa siku mbili, hata mimi mwenyewe sijui, labda wanasheria watueleze vizuri kuhusu hili. Tukija kwenye sehemu ya pili, toka wakati...
  15. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sheikh Jabir ameuawa Zanzibar BAKWATA kimya! Mnasubiri Maaskofu wakemee mje kuwazodoa?

    Masheikh wa BAKWATA wamekuwa hawajali kwa kina maslahi ya waislamu nchini. Wao wamekuwa kama rear guards wa kulinda mfumo, kutetea serikali, kuwalaza waislamu usingizi pindi joto la haki nchini likipanda. Hivi karibuni Maaskofu wamekuwa msitari wa mbele kulaani matendo ya kitekaji na uuaji...
  16. Even MOre

    JamiiForums Tanzania Semi Final | PONJORO VS KENGE June 1, 2025.

    Ni wakati mwingine tena tunakukaribisha katika mtanange wa mkubwa hatua ya Nusu final katika Kombe la wimbi la UTEKAJI TANZANIA. Timu zilizoko uwanjani leo ni kati ya KENGE FC vs PONJORO FC, huku Kocha mkuu wa Ponjoro Fc kutoka Kinondoni akiwahakikikishia ushindi na kutinga final wale mbonga...
  17. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Gwajima: Kwa press inayofuata nitaanika watekaji hewani

    Gwajima anasema sasa hivi ameanza kuongelewa nchi nzima, badala ya watu kujibu kama wamechukua ushauri au lah. Anasema kwa press inayofuata atakuja na list ya wanaonaofanya vitendo hivyo.
  18. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Gwajima: Mtoto wa Jakaya Kikwete, Mwinyi, Majaliwa au Magufuli wakitekwa na kukutwa wametobolewa macho au wamekufa watajisikiaje?

    Gwajima anasema wiki iliyopita alitoa mfano wa mtoto wa Samia kutolewa macho leo kaongeza wengine kwenye mfano huo. Kasema vipi kama akichukuliwa mtoto wa Jakaya Kikwete, Mwinyi, Majaliwa au Magufuli wakaokotwa keaho yake wakiwa hawana macho au amekufa watajiskiaje? Sasa kwanini yasithamiwe...
  19. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Spika Tulia na Bunge lako nani kawaagiza kumpa Tuzo Rais Samia? Mmetoa kwa niaba ya nani kama wananchi hatujawahi kuridhia?

    Hiki ni kituko cha mwaka aiseee😆😆 Hivi we ulisikia wapi (kwa sauti ya Bwege)? Spika Tulia amesema yeye na wabunge wamefikiria kitu cha kumpa Rais kwa niamba ya 'wananchi wanaowawakilisha' wakaona wampe tuzo kutokana na kazi yake iliyotukuka. Mimi mwananchi nauliza ni kenge gani walitoa ruhusa...
  20. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Utata kifo cha Sheikh Jabir, inasemekana alichukuliwa na watu waliojitambulisha kama polisi. Ukweli ni upi?

    Sheikh Jabiri aliripotiwa juzi akiwa amekutwa amekufa pembeni ya gari lake, ambapo polisi walisema hakuwa na majereha yoyote, huenda alikuwa na ugonjwa akaanguka ghafla. Lakini shuhuda ametoa maelezo tofauti, anasema kuna watu walifika nyumbani, wakajitambulisha kama polisi, wakamfunga pingu na...
Back
Top Bottom