utekaji tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cute Wife

    Jeshi la Polisi fungueni "comment section" tumsifie Mafwele

    Wakuu, Nimekuwa nikifuatilia mwenendo wa Jeshi la Polisi kwenye mitandao yao ya kijamii. Naomba kujikita katika post yao ya jana tarehe 2 Machi 2026 ikimhusu Faustine Mafwele kama kiongozi (Mkuu wa Upelelezi wa makosa ya Jinai Polisi Kanda maalum Dar es Salaam)🌚🌚 Sote tunajua kuwa mtu huyu...
  2. McLaren

    Nini kimemkuta yule Mtendaji aliyesema kuwa anahofia maisha yake mbele ya Waziri Mkuu? Mwigulu anajali? Serikali imempatia ulinzi?

    Wakuu, Kama mnakumbuka siku kadhaa nyuma kulikuwa na stori ya Mwenyekiti wa Kitongoji (CCM), aliposema mbele ya Waziri Mkuu kuwa anahofia kutekwa na Kuuwawa baada ya kuzuia miti kukatwa kinyemela huko Machemba, Muheza. Sasa ni kama siku 3 zimepita tangu hiyo ishu kutokea. Nyie wenzangu mna...
  3. Waufukweni

    PostGE2025 Askofu Gwajima: Magumu yaliyokupata wewe ni kwasababu mimi nilikataa 'Utekaji', mpaka leo nakataa vilevile

    Wakuu, Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Dkt. Josephat Gwajima, ameonekana mara ya kwanza kwenye madhabahu ya kanisa hilo lililopo Ubungo Kibo, Dar es Salaam, katika ibada ya mkesha wa mwaka mpya tangu lilipofungwa Juni 2, 2025. Katika mahubiri yake, amegusia changamoto walizokabiliana...
  4. Cute Wife

    Thadei Kweka achukuliwa na watu wanaodaiwa kuwa Polisi baada ya kuvamiwa nyumbani kwake Moshi

    Wakuu, Kutoka Kisiwa cha Amani mpaka Kisiwa cha Utekaji! Mpaka lini Watanzania tutaacha kuishi wa hofu?! ==== Ameandika Liberatus mtandaoni; "Diaspora mwenzetu mkazi wa USA— Thadei Kweka ametekwa na vikosi vya Samia usiku huu. Polis na watu wasiojulikana wamevamia nyumbani kwake Moshi...
  5. B

    Nini kimempata Nicodemus Julius Loyore baada ya kukamatwa na watu waliojitambulisha kuwa Polisi? Yupo wapi?

    Salam Wakuu, Taarifa zilizombaa ni kuwa toka Nicodemus Julius Loyore akamatwe Disemba 19 akiwa ofisini na watu waliojitambulisha kuwa Polisi, mpaka leo hajulikani yupo kituo gani! Toka siku hiyo ndugu zake wanamtafuta katika vituo vya polisi bila mafanikio yoyote! Kama alikuwa na kosa...
  6. Mshana Jr

    Askofu Rweyongeza: Kuna watu na makundi yanayotumia nguvu, risasi na mabomu ya machozi kwa sababu ya kushindwa hoja

    Askofu wa Jimbo Katoliki la Kayanga mkoani Kagera, Mhashamu Almachius Vincent Rweyongeza, amesema kuna watu na makundi katika jamii ya leo yanayotumia nguvu, risasi na mabomu ya machozi kwa sababu ya kushindwa hoja, akifananisha tabia hiyo na akina Herode waliokataa kumpokea Yesu Kristo, Mfalme...
  7. Cute Wife

    Polisi kuendelea na ukamataji usiozingatia taratibu: Hawajasikia maagizo ya Simbachawene? Wanafuata maagizo ya nani?

    Majuzi Waziri Simbachawene alitoa maagizo akiwataka Jeshi la Polisi kukamata raia kwa kufuata taratibu na sheria, kwa kutokamata raia kihuni. Wawe wanavaa sare, na waache kuvaa kininja. Itakuwa Simbachawene si lolote si chochote, maana toka atoe maagizo hayo bado watu wanakamatwa kihuni, mara...
  8. Malisa Godlisten

    PostGE2025 Malisa: Wazazi wangu na majirani wamewekwa chini ya ulinzi na Polisi

    Ndugu zangu, Muda huu (mchana wa leo Disemba 20, 2025) askari wenye silaha wapo nyumbani kwa wazee wangu, kijiji cha Old Moshi Kidia. Leo wameenda na magari mawili, yenye namba za usajili. Wamemuweka mama yangu mzazi(70) chini ya ulinzi na wamemnyang'anya simu. Majirani walioenda kushuhudia...
  9. Mafyangula

    PostGE2025 Malisa: Jana usiku wa saa nane watu wenye silaha walivamia nyumbani kwa wazazi wangu, kijijini Old Moshi Kidia. Tumeripoti polisi

    Ameandika Malisa kupitia ukarasa wake mtandaoni; "Nasikitika kuwajulisha kuwa jana majira ya saa 8 usiku (kwa saa za huko nyumbani) watu wenye silaha walivamia nyumbani kwa wazazi wangu, kijijini Old Moshi Kidia. Kabla ya uvamizi huo watu hao walionekana wakiwa na gari mbili (Landcruizer)...
  10. R

    Tetesi: Mtekaji wa Sativa inadaiwa yuko chini ya ulinzi

    Mtu fulani ambaye Sativa ànamuhusisha na utekaji wake, bado anashikiliwa na Jeshi ndio maana wanaotekwa/kukamatwa siku hizi wanapatikana vituo vya Police. Who are you anaforce aachiwe Jeshi limegoma. Wanataka kujua nani alikuwa anamtuma kuteka watu jambo Jeshi linaamini utekaji ndio...
  11. baz kaiza

    Ni lini CDF Mkunda aliwahi kukemea Utekaji? Mwenye clip aiweka hapa Tuone

    Mkunda alisema vijana wetu ni wahalifu. Vijana wanaopamba kuasi mfumo kandamizi dhidi ya ufisadi na utekaji. Tangia utekaji umeshamili nchini, ni lini Mkuu wa Jeshi tena la Wananchi JWTZ aliwahi kukemea utekaji na kuonyesha kuchukizwa na vitendo vya utekaji dhidi ya wananchi. Kama kuna mwenye...
  12. Cute Wife

    GE2025 Muliro na Mafwele walivyorekodiwa wakiongea na askari kuhusu maandamano. Wakiri kukamata watu, wawatishia kifo

    Wakuu, Haya nimewaletea kile chote alichosema Mafwele na Muliro kwenye kipande cha audio ya dk 9 walichorekodiwa na askari wakati wakiwaonya kuhusu kujihusisha na maandamano na kuripoti watu wanaojihusisha na maandamano au wanaoelekea huko ili washughulikiwe. Mbali na kuwakanya wamepewa na...
  13. Cute Wife

    GE2025 Ukivaa nguo za CHADEMA, au kuongelea maandamano unawekwa gerezani hadi uchaguzi upite, jishikilie huo mdomo mpaka MO29!

    Wakuu, Hiki ndicho kinaendelea wakati huu, ukionekana umevaa gwanda za CHADEMA au unajisogoze sogeza na kuwa na viashiria vya kuwa mwana CHADEMA unadakwa chap, wanakutia selo, ndugu zako wanaambiwa hutoki mpaka uchaguzi uishe, hivyo wajipange tu kukuletea chakula na mahitaji muhimu...
  14. kagoshima

    GE2025 Nadhani hakukua na haja Mafwele kusema amekamata wanajeshi wanne kwa kuchana bango la Samia

    Tusiwachanganye wajeda na mambo ya siasa. Hatuna jeshi lingine. Tunadhofisha psychology ya jeshi letu. Ujue wanajeshi wameapa kutojihusisha na siasa. Waache walinde nchi Mafwele hakupaswa kutangaza kukamatwa kwa wanajeshi kwa kosa la kisiasa angeongelea kiujumla tu na kuficha identity. Kuna...
  15. Cute Wife

    GE2025 Shabiki wa Simba aliyevaa jezi iliyoandikwa "I Love Lissu" hajulikani alipo

    Wakuu, Shabiki hiyo anayefahamika kwa jina la Abaissa Georgina (KE) alikuwa amevaa jezi yenye maneno "I LOVE LISSU" mgongoni, alipokuwa anaingia uwanjani akiwa ameongozana na ndugu zake kuangalia mechi ya Simba dhidi ya Nsingizini leo Oktoba 26, 2025. Wakati anaingia uwanjani alikamatwa na...
  16. M

    GE2025 CHADEMA: Tangu Oktoba 1 hadi 25, wametekwa watu 52

    TAARIFA YA UTEKAJI Chadema tumeendelea kufuatilia kwa karibu matukio mbalimbali ya utekaji wa watu yaliyotokea nchini ndani ya siku ishirini na tano kuanzia tarehe 01 hadi 25 Oktoba 2025. Katika kipindi hiki, jumla ya watu 52 wametekwa, wengi wao ni viongozi na wanachama wa Chadema, pamoja na...
  17. W

    GE2025 Mama Ramso: Yapata wiki mbili sasa wananizungusha tu lakini mwanangu sijamuona. Naomba mnisaidie apatikane

    Ramso ni msanii wa vichekesho na mtoto wa pekee kwa mama yake, ambaye inasemekana ametekwa na watu wasiojulikana baada ya kuposti video akimtaka Rais Samia ajiuzulu kwani hakuna anayemtaka. Mama yake ametoka hadharani kuomba msaada wa mwanaye kupatikana ikiwa ni wiki mbili toka mwanaye...
  18. Cute Wife

    GE2025 Kwanini tunasema kuna mtu mwingine anaendesha nchi? Hatuamini Samia anaweza kuwa ndio msimamia shoo mwanzo mwisho?

    Wakuu, Kumekuwa na hizi assumption kutoka pande mbalimbali kwamba Samia yupo tu kama geresha na nyuma yake ndio kuna mtu ambaye hasaaa ameshika usukani na kuamrisha kete zipelekwe kule ambako anataka yeye zifike! Hivi ni kwanini tunafikiria haya, kwanini tunaona kama Samia hawezi kuwa...
  19. N

    Utekaji na Uhalifu: Kikwazo kwa Imani ya Ukuaji wa Kiwanda cha Teknolojia na Kidigitali Nchini

    Habari wakuu, Nimekuwa nikifuatilia na kushiriki mijadala mbalimbali hapa JamiiForums, nikijaribu kutoa ushauri na mawazo ya kuboresha sekta ya teknolojia na maendeleo ya kidigitali. Katika muda huu, nimegundua jambo moja ambalo linaweza kuuwa kiwanda cha teknolojia nchini. Kwa bahati mbaya...
  20. M

    GE2025 Askofu Ruwa'ichi: Hatusikii walioapa kulinda Uhai wa Watanzania Kulaani au Kukomesha Utekaji na Kutoweka kwa watu

    Askofu Ruwa'ichi akizungumza katika Misa ya Takatifu ya Hija ya UWAKA kuwategemeza Masista wa Shirika la Dada Wadogo Visiga Pwani, jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam amesema kuwa utekaji mbalimbali unaotokea nchini unaendeshwa na kikundi Maalum mpaka wananchi kufikia kujiuliza iweje kikundi hiki...
Back
Top Bottom