utekaji na mauaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Robert Heriel Mtibeli

    Je, kuasili Mtoto ndio Mwanzo wa ukurasa wa kitabu kipya. Kitabu cha utekaji na mauaji na kubambikiana kesi Zama zake zimepita?

    Hamjambo wote! 1. Kitabu chenye machozi ya damu, vivuli vya mizimu inayolia kuzimu kwa kukatishwa maisha. Sauti za watoto yatima na vilio vya kinamama wajane. Kurasa zilizobeba maumivu yasiyopimika. Je kitabu hicho kimewekwa pembeni? 2. Na sasa tunafungua upya kitabu kipya chenye faraja...
  2. Carlos The Jackal

    Nililionya Jeshi la Polisi kuhusu ukamataji bila kufuata taratibu kwakuwa unaacha 'Loophole' kwa Magenge kufanya Utekaji na Mauaji Unrecognizable

    Wakati tukiendelea Kushuhudia Matukio ya Utekaji na Mauaji yanayoendelea nchini, Mimi binafsi nilitumia Akili yangu na kipawa KIKUBWA nilichojaaliwa cha kutizama mambo kwa UPANDE wa pili, na nikushauri JESHI LA POLISI LIKAMATE WATU KWA UTARATIBU NA MAFWELE ADHIBITIWE kwakua anavuruga Security...
  3. M

    Team mbili ipi itashinda ? Team A " kataa utekaji na mauaji. Team B, utekaji na mauaji ni sawa

    Napenda kueleza hisia zangu kuhusu haya yanayoendelea nchini Tanzania, kiasi cha kuundwa rasmi team mbili kuu. Yalianza rasmi enzi za Magufuli, kutekwa risasi, kufungwa kufilisiwa nk. Huenda ni kweli hakuna serikali yoyote duniani isiyojitetea na kujilinda kutumia vyombo vya ulinzi(dola)...
  4. Fbn

    PostGE2025 Utekaji na mauaji yameongezaka tokea siku ya Oktoba 29

    Kwa sasa mtu anayejiona kuwa utawala huu ni sukari kwakwe ni wazi kukuchoma ili kuokoa uhai wake na familia yake. Polisi,wenyekiti wa CCM,wabunge wa cmm,madiwani wa ccm,usalama TISS,wanajeshi wa CCM na n.k ambao ni ccm sukari ya CCM kuweni nao makini. Naeleza ili naona magari ya vioo vyeusi...
  5. Afisa_Nkai

    Exaud Gaspery Mroso. Ni mhitimu wa Chuo Kikuu Mzumbe atekwa akiwa chuoni

    Pichani ni EXAUD GASPERY MROSO. Ni mhitimu wa LLB Chuo Kikuu Mzumbe. Ameripotiwa kuchukuliwa na watu wasiofahamika akiwa eneo la chuo hicho katika eneo la BOHARI (KINGALU). Alienda Chuoni hapo kwa ajili ya kuhudhuria mahafari ya kuhitimu elimu ya Chuo kikuu yanayofanyika chuoni happ siku ya...
  6. Mafyangula

    PostGE2025 Admin wa group la umoja wa Madaktari Tanzania atekwa

    Majina kamili: Furaha Kibaba Michael (MD) Ajira:Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Geita. Kwasasa alikuwa anafanya kazi ofisi ya Mganga Mkuu wa Mkoa Geita(RMO) kama Mratibu wa Malaria (Regional Malaria Coordinator) . Kutekwa kwake. Jana 17/11/2025 majira ya jioni (saa kumi) alikuwa Geita mjini katika...
  7. Genius Man

    Watanzania waishio Ireland waandamana kupinga mauwaji yanayoendelea nchini na utekaji

    Watanzania waishio Ireland waandamana kupinga mauwaji yanayoendelea nchini na utekaji.
  8. Robert Heriel Mtibeli

    Vita ya kupigania haki za kisiasa imezalisha maafa ya utekaji na mauaji ya kinyama. Serikali itoe haki sawa katika Siasa

    Anaandika Robert Heriel Mtibeli. 1. Kuna haki za aina nyingi 2. Haki za kijamii, haki za kiuchumi, haki za kiutamaduni, haki za kisiasa, n.k. 3. Haki za kijamii ni pamoja na watu kupata haki za kupata elimu, huduma za afya, haki ya kwenda popote, haki ya kushiriki kwenye shughuli za kijamii...
  9. McLaren

    PostGE2025 Sheikh Nurdin Kishk: Utekaji na mauaji hayakubaliki katika dini ya Uislam. Dunia imejaa dhulma na uonevu

    Wakuu, Japo wamepatikana wawili watatu ambao wanasimama na wananchi na kukemea ukatili uliofanywa. Nimefarijika sana kuona video hii --------------------- Mkurugenzi Mkuu wa Al- Hikma na Mwenyekiti wa Mashindano ya Qur’aan Tukufu Ulimwenguni, Sheikh Nurdin Kishk akiwa anazungumza hivi...
  10. Carlos The Jackal

    Hotuba lake lote kakumbatia Utekaji na Mauaji yalofanyika kabla ya Oktoba 29!! Watanzania wa sasa sio wajinga!!

    Yaan Matukio ya Utekaji na Mauaji yametokea mengi kabla ya Oktoba 29. Ujifanye kuja kutoa pole za walouliwa Oktoba 29?. Mh Polepole umemteka . Mzee Kibao alouliwa, ukajifanya Tume ya Uchunguzi... Unadhan unaongea na watoto wako???. Siku Zenu zimekwisha kufika, Huu Moto hauzimiki mpaka pale...
  11. M

    PostGE2025 Tulia Ackson, wahuni walikutumia kuuza bandari za Tanganyika na kufumbia macho UTEKAJI na MAUAJI ya wananchi. Sasa wamekuweka pembeni

    Huyu dada, very ambitious, alidhani kuwa kwa kukubali kutumiwa kwake basi pengine atapanda ranks na kuwa mtu mkubwa zaidi ya cheo alichozawadiwa. Matokeo yake akaligeuza bunge kuwa chawa wa rais, akashiriki kubariki azimio eti la kumpongeza rais utendaji wake wakati alitakiwa amsimamie huyo...
  12. Carlos The Jackal

    Watanzania wanataka haki zinazogusa maisha yao. Utekaji na mauaji havikubaliki kamwe

    Moja ya jambo aloingizwa Mkenge Hayati Magufuli akaja kushtuka Mwishooooni kabisa akiwa amechelewa ni Masuala ya Utekaji na Watu kuokotwa Ndani ya Viroba, kutowadhibiti walojaribu Kumuua TUNDU LISSU Binadamu ameumbwa kuumia linapokuja suala la UHAI WA MWENZAKE. Kujenga Mabarabara, Mwendokasi...
  13. Mkalukungone Mwamba

    Bibi wa Deo Soka: Nashindwa kula nabaki kulia tu, waniletee hata maiti ya mjukuu wangu nikazike

    Ukiyasikia maneno anayoyasema huyu bibi yake na Soka ambaye alimlea tangu mdogo hadi anakuwa inaumiza sana. Soka amepotea imepita mwaka na miezi 2 ambapo alitekwa Agosti 18, 2024 familia yake haifahamu wapi amepelekwa mtoto wao. Nyie watekaji mliomteka Soka kumbukeni dunia ni duara ipo siku...
  14. Cute Wife

    GE2025 Muliro na Mafwele walivyorekodiwa wakiongea na askari kuhusu maandamano. Wakiri kukamata watu, wawatishia kifo

    Wakuu, Haya nimewaletea kile chote alichosema Mafwele na Muliro kwenye kipande cha audio ya dk 9 walichorekodiwa na askari wakati wakiwaonya kuhusu kujihusisha na maandamano na kuripoti watu wanaojihusisha na maandamano au wanaoelekea huko ili washughulikiwe. Mbali na kuwakanya wamepewa na...
  15. baz kaiza

    Amiri jeshi Mkuu ambae hawezi kutoka na Kukemea utekaji na Mauaji napata wakati Mgumu kumpa kura Yangu

    Amirijeshi Mkuu ambae hawezi kutoka na Kukemea utekaji na Mauaji ya wananchi wake ananipa wakati mgumu sana kumpa kura yangu maana huai wa wananchi wake sio kipaumbele chake ndo maana hawezi kutoka na kukemea. Je, huyu nikimpa kura yangu hataweza kunilinda hata nikimkosoa?
  16. Carlos The Jackal

    Makamo Heche ametekwa na Genge dogo Ndani ya Jeshi la Polisi la Akina Mafwele Makonda linaloendesha Utekaji na Mauaji Nchini.

    Mimi nadhani Kwa Sasa hatuna kitu kinaitwa Watu wasojulikana. UTEKAJI na Mauaji yanayoendelea Nchini ,unsratibiwa na Genge la watu wachache lililo Ndani ya Jeshi la Polisi na likiongozwa na Mafwele na Makonda. Hili ndo Genge lilovamia Clouds , likampiga LISSU Risasi, ndio hili genge...
  17. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Jumuiya ya wanataaluma wa chuo kikuu cha Dar es salaam (UDASA) watoa tamko kali hali ya kiusalama nchini wagusia Utekaji

    Hii ndio inavyotakiwa sasa, licha mmekaa sana kimya inawezekana mmesukumwa kusema. Ila sio mbaya walau nanyi mmesema hali ilivyo nchi. ============ Ndugu, Watanzania Wote, Mabibi na Mabwana, UDASA ni Jumuiya ya Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Kama sehemu ya watanzania na...
  18. Its Tesha

    Sirari: Wananchi wampambania mwenzao asitekwe!

    Hali ilivyo Sirari usiku huu baada ya Watu wasiojulikana kumteka mtu wananchi wamekomaa wakafunga barabara dakika ya mwisho watekaji ikabidi wakimbilie kituo cha Polisi Tarime ili kujiokoa. Muda huu Sirari tarime baada ya tukio la kutekwa kwa mmoja wa wafanyabiashara, mapambano ya polisi na...
  19. figganigga

    Aunty Lulu: Bora tukutane na Mchawi kuliko Polisi Tanzania. Atakuteka, atakubaka, atakuua na kukutupa na hataulizwa. Polisi sio kimbilio tena!

    Kaandika hivi kwenye Page yake ya Instagram 👇 "Hii ndiio Tanzania ya samia na wanaompoteza na Hawa ndo polisi .😭😭😭tutoke jaman achana na kaul sa kusema wanaowashauli hawapo Tanzania Mbn mm nipo Tanzania ?sativa na wanaharakat wengine wapo Tanzania." MY TAKE: Namuunga mkono. Ukikutana na...
  20. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Twaha Mwaipaya: Kijana Jerison Keraliyo miaka 18 ametekwa Kishili center Mwanza, jana Oktoba 9, 2025

    Hali imezidi kuwa mbaya! Watekaji wamekuwa kama wafalume katika nchi, kufanya ukatili na kupoteza watu kila siku. Kijana mdogo kama huyu mnamteka kwa lipi hasa. Nyie watekaji acheni ushamba! ================ Anaitwa Jerison keraliyo. Umri miaka 18 Mkazi wa kata ya kishili Mtaa kishili B...
Back
Top Bottom