Yani ukitaka kujua mwanzo wa historia ya kweli ya jungle, siyo ile ya kwenye vitabu vya shule wala documentary za wazungu zenye voice ya baridi, tunaanza hapa – kwenye ardhi ya moto, nyasi ndefu na upepo mkali unaopiga hifadhi ya Serengeti, Tanzania. Hii ni block ya nguvu, na kuna OG mmoja tu...