utawala wa sheria

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Kumbe Leo ni siku ya sheria : Dah! Inakosa mvuto kwa vile Tanzania hakuna utawala wa sheria

    Wangapi wanajua kuwa leo ni siku ya sheria? Wachache maana hakuna mvuto kwa vile hapa tunaishi bila sheria. Sheria ni Samia, Mafwele, Mulilo na watu wao!
  2. M

    Utawala wa sheria ufuate mkondo. Kwanini CCM waliongia mkataba na Mwekezaji Rashidi walimruhusu abomoe bila kulalamika?

    Kwamba muwekezaji Rashid ni mjinga aamke na kuanza kubomoa kama mwehu bila kuogopa mali za watu? Eneo ni mali ya CCM chama cha mafisadi nawezi. Kwanini alipokuwa anabomoa hao CCM wapo kimya? Serikali inaingilia vipi wakati hawana mkataba na Rashidi? Rashid kwanini hukumpiga ngumi nzito...
  3. McLaren

    Maelfu waingia mtaani kuandamana Bulgaria. Wananchi wanataka haki na Uchaguzi huru

    Maelfu ya raia wa Bulgaria wamefanya maandamano jumatano kupinga Serikali inayomaliza muda wake ambapo waandamanaji hao wanadai uchaguzi wa haki na mabadiliko katika mfumo wa mahakama ili kupambana na rushwa iliyokithiri nchini humo. Maandamano hayo yalifanyika katika mji mkuu sofia na miji...
  4. Emekha Ikhe

    Kesi ya Thadey Kweka: Utawala wa sheria, hauruhusu vyombo vya uchunguzi na mahakama, kuvunja haki za kikatiba na sheria, katika utoaji hukumu zake

    Nimesoma HUKUMU ya Kesi ya THADEY KWEKA ambayo imetolewa jana kinyemela hata bila yeye mwenyewe kujitetea au kutetewa na Mawakili wake tangu kukamatwa kwake, Ninasikitika Kuona kwamba hata Mahakama kupitia Hakimu imejielekeza Vibaya Kutoa HUKUMU husika Raia Wanategemea Mahakama itende Haki na...
  5. mcTobby

    Tungekuwa na utawala wa sheria , Kikwete angekuwa jela kama Nicolas Sarkozy wa Ufaransa

    Hivyo tu yaani. Maana kuna mambo yanatugharimu kama taifa kwa sasa. Hili lilikuwa ni chaguo lake kama running mate wa baba Jesy.. kumbe kete za draft zilikuwa zinapushiwa kuanzia 10 to 20 years kwa ajili ya kutengeneza mazingira... Anyway siwezi kuwaambia kila kitu. Nyie ni watu wazima...
  6. Yoda

    Trump alazimisha kushitakiwa kwa aliyekuwa mkuu wake wa zamani wa FBI, James Comey

    James Comey mkuu wa zamani wa FBI ambaye katika kipindi chake Trump alichaguliwa rais kwa mara ya kwanza sasa atafikishwa mahakamani baada ya muendesha mashitaka chawa wa Trump aliyepachikwa muda mfupi kukubali maelekezo kutoka juu kumfungulia kesi. Muendesha mashitaka mwingine mzoefu wa muda...
  7. The Burning Spear

    Kumbukizi: Mwansiasa Kenya ashauri EAC isijikite katika Biashara tu ifike hatua kuwatenga wale wasiofuata utawala wa sheria na demokrasia

    GT Naona kaamuamua kupiga dongo. Baadhi ya viongozi kiaina.. anasema hakuna maana yakuwa na ushirikiano na watu wakandamizaji wa demokrasia. === During the EALA games opening ceremony, Mombasa senator Omar Hassan took stage and urged East African leaders to fight for common standard and strive...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    Polepole, usisahau nchi au taifa lolote la Maana Msingi wake ni Mambo haya Makuu matatu; Chama chako kinavunja Msingi Mkuu wa taifa, hayo ni matokeo

    Mpo Salama! Taifa lolote la Maana, ndoto ya watu ni lile linalojengwa katika Misingi Mikuu miitatu; 1. Utawala Bora na Sheria (Good Governance and Rule of Law) Huu ni kama msingi wa nyumba. Bila utawala bora hakuna amani, hakuna haki, hakuna maendeleo. Sheria hutuliza, huongoza, na hutoa...
  9. Rorscharch

    Katiba Nzuri Sana Huvunja Taifa Polepole: Hadithi ya Afrika Kusini, Onyo kwa Watanzania

    Kuna maradhi ya kimyakimya yanayoshambulia mataifa ya Kiafrika, si kwa mapanga wala risasi, bali kwa nyaraka nzuri zilizopambwa kwa wino wa kimataifa. Maradhi haya si mengine bali ni imani butu kwamba katiba nzuri, yenye maneno matamu ya haki na uhuru, ni tiba ya kila ugonjwa wa taifa. Afrika...
  10. McLaren

    Marekani: Mkuu wa Polisi kaunti ya Brevard Florida atishia kuwaua waandamanaji "Ukirusha jiwe au bomu tutakuua"

    Wakuu, Kumbe hadi huko Marekani kuna kauli za kishujaa kama hizi? Nikadhani ni kina Muliro tu ndio wanaotoaga vitisho kama hivi kwa wananchi ===================== Mkuu wa Polisi wa Kaunti ya Brevard, Wayne Ivey, ametoa onyo kali kwa waandamanaji wanaoshiriki maandamano yajulikanayo kama “No...
  11. THE BIG SHOW

    Rais Samia ameruhusu utawala wa sheria ufanye kazi wengine mnalalama, tambueni urais ni taasisi

    Friends and our Enemies, Kama Kuna ambao walidhani kwa kuwa huyu Rais Jinsia yake ni KE,basi wanaweza kuleta ubabe kwake na kutaka kufanya utawala wake uyumbe,basi watambue wamedhania vibaya. Huyo ni Amiri Jeshi Mkuu,VYOMBO vyote vya ulinzi na usalama vinatii na kuripoti kwake,lazima Heshima...
  12. Mindyou

    Polisi waliovalia kiraia wavamia nyumba ya Gavana Natembeya kwenye oparesheni ya kupambana na ufisadi

    Wakuu, Polisi waliovaa kiraia wamevamia nyumba ya Gavana wa Trans Nzoia, George Natembeya, iliyoko Milimani, Kitale, mapema Jumatatu katika oparesheni inayodaiwa kuhusisha Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC). Chama cha Democratic Action Party-Kenya (DAP-K) kilithibitisha uvamizi huo...
  13. Carlos The Jackal

    Naibu Waziri Sangu, kielelezo Cha ma CCM na Dola, katika Utawala wa Sheria, alipaswa kua tayari Kaondoshwa kwenye Uwaziri

    Moja ya matatizo yalozaliwa na CCM na Dola ni Viongozi kua Miungu watu. Kwa Fikra za huyu Naibu Waziri , Anayejiita TISS, Kitengo Cha kumlinda Rais, Sijui nayeye anahusika kwenye kupitisha Wagombea, mara yeye ni Mafia, mara atawapoteza washindan wake , ni kielelezo tosha Cha namna gan tuna...
  14. Mkalukungone Mwamba

    Tanzania yasisitiza: Hatujavunja Sheria, tunatekeleza majukumu yetu kama Taifa Huru

    Serikali ya Tanzania imeweka wazi msimamo wake kuhusu hali ya kisiasa nchini, ikisisitiza kuwa hakuna sheria zilizovunjwa katika kutekeleza majukumu yake kama taifa huru na linalozingatia utawala wa sheria. Akizungumza na wahariri jijini Dar es Salaam, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa...
  15. E

    PreGE2025 Mwabukusi: Hili ni shambulio dhidi ya utawala wa sheria

    Nimeshtushwa mno na shambulio la kikatili linalokosa misingi ya utu na lisiloweza kuelezeka mbele ya jamii yeyote uenye watu timamu. Ni msingi wa Kisheria na Kikatiba kwamba: 1. Mahakama ni chombo huru kinachopaswa kufanya kazi bila mashinikizo, vitisho au uingiliaji wowote kutoka kwa vyombo...
  16. BLACK MOVEMENT

    PreGE2025 Rais wa Finland akitembelea Tanzania atumiwe email za kutosha kuhusu kutembelea nchi isiokuwa na utawala wa sheria

    Hii ndio njia ya kudili na hawa CCM kuliko kutwa nzima kujaza servers ya Jf na post za kulia lia tu. Tuachane na post za kulia lia. Sasa kwa upande wa Tanzania, huyu Mwamba wa Finland anapaswa kutumiwa email za kutosha kwamba anatembelea taifa lisiloheshimu misingi ya utawala Bora, akipata...
  17. Carlos The Jackal

    PreGE2025 TEC ni wakati wenu wa kuongoza Maandamano nchi nzima tupate Siasa Safi, Utawala wa Sheria, Maendeleo thabiti ya Mwananchi. NO REFORMS NO ELECTION!

    Kwa Mara nyingine tena, Dola imethibitisha kua ndio inayokitumia chama Cha Mapinduzi kuendesha Nchi. Adui wa Siasa Safi, Utawala wa Sheria na Maendeleo ya Watu ni DOLA inayokitumia CCM. Mwl Nyerere alihakikisha anaunganisha Dola na CCM kua kitu kimoja. CHADEMA inasema Bila Mabadiliko , Hamna...
  18. K

    PCCB mko wapi nilitegemea kuona mnalifanyia kazi maana hapa Tanzania kuna utawala wa sheria ( rule of law)

  19. J

    JamiiForums kwa kushirikiana na StarTV inafanya mjadala kuhusu hali ya siasa Nchini na utawala wa sheria

    Fuatilia moja kwa moja mjadala unaofanywa na JamiiForums kwa kushirikiana na StarTV kuhusu hali ya siasa Nchini, na utawala wa sheria kuanzia saa 3:30 Usiku mpaka saa 5:30 Usiku. Washiriki ni; 1: Wakili, Boniface Mwabukusi - Rais wa TLS. 2: Ado Shaibu - Katibu Mkuu ACT WAZALENDO. 3: Benson...
  20. Yoda

    Utawala wa sheria kimataifa (Rules-based order(RBO) umefika katika ukomo wake

    Muundo au Mfumo wa muingiliano wa dunia baada ya kuisha kwa vita vya pili vya dunia ulijulikana kama Rules-Based Order(RBO), katika mfumo huu viongozi wa dunia walikubaliana kuachana na ule unyang'au wa wakati uliotangulia wa kutumia mabavu ya vita kujiimarisha na ushindani wa kipumbavu wa...
Back
Top Bottom