Tanzania imekuwa mfano wa kuigwa barani Afrika kwa kuwa na umoja wa kitaifa unaovuka mipaka ya makabila zaidi ya 120. Hata hivyo, hivi karibuni kumeanza kujitokeza viashiria vya hatari ambapo baadhi ya wanasiasa wenye madaraka wanatumia nafasi zao kujenga mtandao wa upendeleo unaozingatia asili...
Nimetoka kuangalia video fupi ya ugomvi baina ya Mbunge Msukuma na Mtu aliyeelezewa kama Muwekezaji.
Katika video ile ukimsikiliza kwa makini msukuma na yale mazungumzo yake na yule anayeitwa muwekezaji utaelewa mambo yafuatayo;
1. Msukuma anaamini yeye ni sehemu ya Serikali na Serikali ndo...
Demokrasia na haki ni kinyume na mafundisho ya dini ya Uislamu?
Kwa nini masheikh wa BAKWATA na taasisi zao marafiki kama umoja wa wahadhiri hawajihusishi kudai uwepo wa Demokrasia, utawala bora kudumishwa kwa haki sambamba na kupinga matendo maovu ya utekaji, ukandamizaji na uporaji wa haki...
Hamjambo!
1. Mwezi huu uwe mwezi wenye Baraka na Neema ya Mungu naam yule MUNGU Mwenye Nguvu nyingi aliyetuumba wote.
2. Mwezi huu Mungu atuepushe na Mabaya na kushindwa na adui zetu.
3. Wokovu wa Mungu uwe upande wetu. Naye atatupa Wokovu mkuu na ushindi kwa namna isiyoelezeka.
4. Adui zetu...
Hoja kubwa ni kwa nini baadhi ya watu kadhaa wajione wao ndio watu wenye kunufaika na hili taifa?
Kwamba wao wanawez kujipa madaraka, kuiba mali za umma na kuona raia wengine ni takataka.
Suala la kupambana na watu kama hawa sio la kuwaachia Gen z peke yao. Ni suala la kila Mtanzania.
Kesi hii imefunguliwa na TLs kwenye Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Dar (Dar es Salaam Sub-registry) kupinga uhalali wa amri ya kutotoka nje (curfew) IGP Wambura tarehe 29 Oktoba 2025, ambayo baadaye ilifutwa na Rais tarehe 3 Novemba 2025.
TLS wanaiomba Mahakama itamke kwamba amri hiyo...
Hili ninalisema Kila siku, Ujinga huenda Sambamba na Roho mbaya!.
Hata Makazini mwenu majionea, Wafanyakazi wajinga Huwa wanakawaida ya Kujipendekeza, Uchawi , Kufitinisha ,Majungu n.k.
Na Kwa MaBoss au Kiongozi Mjinga, katika kuhakikisha anailinda Nafasi yake, Hawa watu huwa hawapendi kabisa...
Hawa ni viongozi wa kijeshi Africa waliotwaa madaraka kutoka tawala za kiraia zilizoharibika na kujaa udhalimu kisha kuyaweka mataifa yao katika mkondo sahihi wa mageuzi, haki na utawala bora.
1. Jerry Rawlings- Ghana
2. Olusegun Obasanjo- Nigeria
3. Thomas Sankara- Burkinafaso
4. Meles...
Tanzania tuna safari ndefu ya kwenda mpaka kufikia ukombozi kamili. Sasa hivi nimeanza kuelewa kwanini Mwalimu Julius Nyerere alikuwa anapambana sana Watanzania tuondokane na ujinga.
Ona leo hii kinachoendelea, kijana wa Kitanzania mwenye akili timamu ananunuliwa kwa boflo tano na maji na...
1. Naam... Sababu kubwa ni Siasa kwa maana ya siasa kuelekea uchaguzi, huku ikikolezwa na mafahari wawili wakimataifa wasioweza kukaa katika zizi moja.
Hao mafahari wananguvu na wanaingilia hadi mambo nyeti ni wakongwe katika gemu ya siasa mithili ya kungwi/somo ambaye ana mingle katika ndoa ya...
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imeendesha mafunzo kwa Askari wa Jeshi la Polisi mkoani Arusha kuhusiana na uzingatiwaji wa haki za binadamu na misingi ya Utawala Bora katika mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Akizungumza na Askari hao leo Septemba 17, 2025, Makamu Mwenyekiti wa...
Chandler Good Government Index (CGGI) ambayo ni kigizo cha kimataifa cha kuchambua utendaji na uwezo wa serikali inayochapishwa kila mwaka na Chandler Institute of Governance yenye makao yake Singapore imeitaja Tanzania kupanda kwa nafasi nne katika masuala ya utawala bora, kutoka nafasi ya 82...
Tukisema matumizi mabaya ya mali za umma ndiyo haya.
Kama ofisini kwa tume huru ya uchaguzi taifa tayari kuna picha ya mgombea urais maana yake rais ajae anafahamika tayari, kama mshamjua kwanini mharibu pesa za kampeni? Si bora mumpitishe yaishe hizo pesa zikafanye kazi nyingine?
Mnalikosea...
Siasa za Tanzania zimeharibika sana, Jamaa mmoja kutoka Burkinafaso jina lake Captain Thomas Sankara mwaka 1979 aliwahi kusema ''who feeds you controls you'' sasa leo naanza kuelewa alikuwa anamaanisha nini.
Ona wanaojiita wadudu wa Arusha, wanaojiona ndio wajanja wenye akili timamu...
Kumeshaanza kuchangamka, mgombea kutoka CCM awasili eneo la tukio bila ya mapokezi kutoka kwa wananchi.
Gari linapita barabarani na hakuna hata mmoja anaetoka nje kumpokea, watu wako bize na kazi zao kama hawamuoni anavyopita barabarani.
Hii hali ikiendelea hivihivi tutaelewana tu...
Ni nani wajumbe hao?
Ni walioko kwenye Kamati Kuu ya CCM Taifa (National Executive Council – NEC), pamoja na wajumbe maalum wa kutoka mikoa (Wilaya/Mkoa) na vyama vya UWT, UVCCM, Wazazi nk, ambao wako kwenye ngazi za uchaguzi wa ndani.
CCM imeongeza idadi na nafasi kwa wajumbe kutoka vikao vya...
Waraka huu ni maalum kwa Lucas Mwashambwa, ambaye amekuwa na tabia ya kusifia sifia pamoja na mambo yenye kuzua taharuki yanayotokea Kila mara na yanawaumiza wale ambao wamekuwa wakipinga na kupaza sauti zao iwe kwa maandishi au kwa midomo yao
Kwa ujumla kuna ukweli ambao hauwezi kufunikwa kwa...
Uwa nawaambia daily hapa mi ni CCM Ila CCM ambaye sipendwi n wenzangu hasa machawa !
Kadi yangu nilianza nayo Mwaka 1982 nikiwa PUGU HIGH SCHOOL (PCM )
Nataka sasa wenyewe
1. Kwanza Mimi Britanicca
2. Butiku
3. Jaji warioba
4. Makongoro Nyerere
5. Humphrey Polepole
6. Luhaga Mpina
7. Anna...
Hivi karibuni ndugu Polepole baada ya kujiuzuru ubalozi ame-trend sana na kujipatia maujiko (umaarufu) kuwa ni mpigania haki, demokrasia na utawala Bora.
Swali la kujiuliza ni kweli Polepole ana uchungu na mpigania haki, demokrasia na utawala Bora???.
Hebu tujiulize maswali mengine haya tena...
Huyu mtu ndio alikua akitamba kwa "vieite", alikua yupo madarakani ulipofanyika uchaguzi wa serikali wa mitaa uliokua wa hovyo sana na wapinzani kukatwa, alikua yupo kwenye uongozi uchaguzi wa 2020.
Kifupi CHADEMA wanasahau sana na ni wepesi kuwa deceived.
Polepole anaondoka kwa maslahi yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.