utaratibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania TCRA wekeni utaratibu hawa 'Majambazi wastaafu' wawe wanahojiwa na Watu wenye weledi

    Kama ilivyo kawaida yangu leo nilikuwa nafuatilia moja ya vipindi ninavyopenda kusikiliza kupitia Redio Free Africa...Kipindi kinaitwa "sintosahau". Si mara ya kwanza nimeona kuna mapungufu mahali na sijui kama Mamlaka huwa zinafuatilia, au labda kwao sio tatizo...mara kadhaa nimeshasikia...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Chadema huu utaratibu wa Mabosi wenu kupeleka barua ni ubunifu mzuri sana!

    Nimeupenda utaratibu wa Chadema wa sass ambapo barua zinasambazwa na mabosi wenyewe siyo matarishi. Benjamin Netanyahu kibarua kimeota nyasi Mungu ni mwema wakati wote
  3. K

    JamiiForums Tanzania Serikali yakamilisha utaratibu kurudisha umiliki wa mali/taasisi zilizokuwa za umma ikiwemo Hospital ya Dar Group

    Kupitia hotuba ya waziri wa fedha na mipango Mh. Mwaigulu Nchemba leo bungeni wakati akiwasilisha bajeti ya wizara ya fedha ya mwaka 2022/2023 amethibitisha kukamilika kwa hatua za ukaguzi wa mali na madeni ya taasisi mbali mbali ambazo zilikua ni mali ya serikali ,na miongoni mwa taasisi hizo...
  4. JamiiForums Tanzania Huu utaratibu wa 'Makahaba' wa Mkoani Njombe nimeupenda na nashauri 'Uenziwe' nchi nzima

    Yaani wanakaa ( wanatega ) maeneo ya Lodge / Guest kisha wanakuangalia kama Mwanaume umeingia na Mkeo au Mchumba au wanaenda kwa Mhudumu wa zamu kama umeingia peke yako kisha kwa Unyenyekevu Uliotukuka ule wa Kihehe, Kibena na Kiwanji wanakuja Kukugongea Chumbani Kwako na ukifungua tu Mlango...
  5. JamiiForums Tanzania Huu utaratibu wa kuhubiri injili kwenye magari ya abiria ni kero kubwa, LATRA muingilie kati

    Mtu unasafri zako unahitaji mapumzko anatokea mtu anajifanya analeta neno la Bwana bila kujua watu waliopo ndani wanatatizo gani wengine hawataki kelele anajifanya anahubiri dakika 3 anaomba sadaka. Hebu tufanye kazi tusijifiche kwa kivuli cha kuhubiri na kulazimisha sadaka.
  6. JamiiForums Tanzania Huu utaratibu wa Kiserikali haujakaa sawa, ni bomu la badaye linaloandaliwa kulipuka

    Habari wanaJF, Sote tunatambua kuwa serikali yetu ya JMT ni serikali inayojinasibu kupitia katiba kuwa ni serikali isiyo kuwa na Dini kumaanisha kwamba serikali yetu haifungamani na dini yoyote.Bali watu wake ama raia wana dini zao wanazoziamini. Kwakulitambua hilo mana masuala mengi ya...
  7. JamiiForums Tanzania Mbunge Shabiby ahoji utaratibu unaotumika kufungua nchi, atahadharisha Tanzania kugeuka shamba la bibi

    Mbunge aliyejawa na hoja zenye mashiko kwa taifa letu Mh Shabiby amehoji utaratibu unaotumiwa na serikali ya awamu ya 6 kufungua nchi kwani unaelekea kuigeuza Tanzania kuwa shamba la bibi kwa kila mgeni kufanya anavyotaka. Bwana Shabiby amesema sasa hivi wageni hasa wachina wameruhusiwa kuingia...
  8. JamiiForums Tanzania Je, utaratibu wa Serikali kuwapangia wahitimu sekondari vyuo binafsi umerudi?

    Kwenye awamu ya nne elimu ilivurundwa sana hadi wahitimu wa form four kupangiwa chuo kikuu tena na kupewa mkopo kwa kisingizio cha kuandaa waalimu huku vigogo wakiwapangia jamaa zao ambao hata sifa hawana. Tulifikia mahali ambapo wahitimu form six walikua wanapangiwa vyuo vikuu binafsi kwanza...
  9. JamiiForums Tanzania Mabango ya picha ya Rais kwenye shughuli mbalimbali haukuwepo kabla ya 2015. Uondolewe kupunguza gharama?

    Habari wakubwa, Kwa kumbukumbu zangu kama sijakosea kuanzia awamu ya 5 na hii ya sasa tuliyonayo shughuli za kitaifa anazohudhuria Rais zinambatana na mabago 'banners' makubwa yenye picha ya Rais pamoja jumbe au kaulimbiu kulingana na shughuli husika iwe maadhimisho, sikukuu za kitaifa na...
  10. JamiiForums Tanzania Huu ndio utaratibu wa kufanya vipimo vya DNA kutambua kama mtoto ni wako au la!

    Suala la kupima vinasaba kwa baadhi ya wazazi limekuwa la kawaida katika Dunia ya sasa, zamani ilikuwa ikitumika mara nyingi kama kuna majanga au watu waliopoteana muda mrefu lakini siku hivi mambo yamebadilika, uaminifu umekuwa mdogo ndio maana matumizi ya DNA yamekuwa mengi. Wakili Bashir...
  11. JamiiForums Tanzania Kigamboni darajani badilisheni utaratibu, foleni kubwa sana inakera mno

    Maoni kwa wasimamizi daraja la kigamboni jioni na asubuhi foleni kubwa sana inakera mnooooo yaaani ukaaa zaidi ya nusu saa kukata tiketi sasa sijui why msijaribu kuangalia namna nzuri asubuhi na jioni ata mnaweza kukata tiketi ziwe tayali gari ikija unapewa unaenda sio mpk aanze kuingia kwenye...
  12. JamiiForums Tanzania Napenda kujua taratibu za kuagiza simu China

    Habari za muda wakuu, Napenda kujua taratibu za kuagiza simu China na South Korea maana kuna chimbo nimepata ya kupata Refurbished phones kwa bei kitonga sana ila nmejaribu kuwasiliana na ARAMEX wameniambia wao hawaSHIP vitu vyenye battery kutoka china na korea labda USA (usa gharama). Maana...
  13. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuishi na ndugu baada ya ndoa unafaa uwe vipi?

    Habari za siku nyingi watu wa Mungu. Hivi ni utaratibu gani unafaa kufuatwa katika kuchagua ndugu wa kuishi nao baada ya ndoa. Nakumbuka mwanzo kabisa kipindi namuoa mke wangu nilimjulisha kuwa napenda sana ndugu ila kuishi na ndugu ni mtihani kama mtu ana uhitaji na tuna uwezo wa kumsaidia...
  14. JamiiForums Tanzania Muelekeo Mpya? Zuhura Yunus ameanza utaratibu wa kufanya 'Press Briefing' Ikulu..

    Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais IKULU, Zuhura Yunus, leo ameita waandishi wa habari kuwapatia taarifa mbalimbali kuhusiana na ziara za Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan za nje ya nchi za hivi karibuni na tija zake. Tukio linarushwa MUBASHARA na waandishi kutoka vyombo vikubwa na vya kati...
  15. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa askari wetu kuvaa au kutokuvaa uniform wanapotekeleza majukumu yao ukoje?

    Wasalaam, Kwanza kabisa niwapongeze na kuwashukuru askari wetu wa jeshi la polisi kwa KUTEKELEZA MAJUKUMU yao, watu mengi huwabeza askari wetu lakini ukweli ni kwamba bila wao hata kaugali tusingeweza kulala kwa amani huku mitaani. Jambo ninaloomba ufafanuzi ni kwamba ukoje utaratibu wa askari...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Kwa yanayojili Zanzibar kuna haja ya kuomba uraia wa visiwa hivyo. Naomba mnipe utaratibu wa kupata uraia

    Kwanza, mafuta bei yake iko chini huko Zanzibar. Pia maisha ya Wazanzibari ni nafuu mno kwasababu hakuna mfumuko wa bei. Pili, ukitupia jicho kwenye umeme bei iko chini na ni karibu na bure. Mwaka huu rais wa visiwa hivyo alitangaza kuwa nguzo za umeme itakuwa bure Tatu, mwaka wa mwisho wa...
  17. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa ulipaji ada shuleni

    Habari wana JamiiForums... Naomba maoni na ufafanuzi kwa wale wenye kufaham hili swala ada za shule. Namaanisha hivi mtoto anapokuwa shule mzazi analipa ada kwa awamu au installment sasa inapotokea mzazi amechelewa kulipa ada mara nyingi tunaona mtoto anarudishwa nyumban. Lakin kwa fikra zangu...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Kamati ya ulinzi na usalama DSM naomba ipitishe huu utaratibu kwa dharula kuondoa panya road

    Juzi nilihoji humu juu ya sintofahamu kuhusu Sera ya ulinzi shirikishi! Nilisema ulinzi shirikishi mijini kinadhalia inawezekana lakini kivitendo haiwezekani! (Niliainisha sababu ikiwemo upigaji wa michango ya ulinzi na ukubwa wa maeneo) Panya road ni vikundi vinavyoratibiwa na watu kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Msaada: Utaratibu wa kupokea bidhaa kutoka nje ya nchi

    Samahani naomba ufafanuzi kuhusu kupokea bidhaa kutoka nje ya nchi,hatua za kufuata Ni zipi
  20. JamiiForums Tanzania Msaada: Utaratibu kubadili noti chakavu upoje BOT?

    As/aleikum wapendwa, Jamani Kuna ndugu yangu mfanyabiashara,ana noti chakavu za Kama shilling laki sita, Utaratibu upoje akitaka kwenda kuzibadili pale bank kuu? Asante
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…