utaratibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Watanzania tuanzishe utaratibu wa kuchangia vijana kama mtaji au fursa

    Heri ya mwaka mpya 2023. Moja kwa moja kwenye mada Mwaka jana 2022, kama majobless wengine niliendelea kuhudhuria interview mbalimbali za utumishi na sehemu nyingine nyingi sana. Kitu nilichoona naona majobless wanaongezeka sana sio kama zamani nilivyokuwa nikiwaona. Yaani naona makutano na...
  2. JamiiForums Tanzania NCAA - Utaratibu wa malipo Ngorongoro unahitaji maboresho!

    Hapa naongelea kivutio cha NGorongoro Naona kuna usumbufu usio wa lazima ambao unaweza kupatiwa ufumbuzi kama mamlaka wataamua kufuata ushauri wa wadau wanao waletea wageni 1. Mgeni akibadilisha tarehe ya kuingia Ngorongoro hata kwa siku moja, kwa sababu zozote zile Haruhusiwi kuingia hadi...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini Copa America ilifanyika mara nne ndani ya miaka sita kinyume na utaratibu?

    Kuna hoja kuwa shirikisho la soka la Amerika ya Kusini (CONMEBOL) waliandaa michuano ya Copa America mara nne katika kipindi cha miaka sita kinyume na utaratibu ili tu mchezaji fulani aweze kushinda kombe akiwa na timu yake ya taifa. Kwakawaida, Copa America huwa inafanyika kila baada ya miaka...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Mwitikio wa China wa miaka mitatu wa COVID-19 ni endelevu, wa utaratibu na unaendana na nyakati

    Ripoti iliyotolewa wiki hii na kituo cha Yuyuantantian, kinachomilikiwa na shirika kuu la Habari la China (CMG) inaonyesha kuwa Mwitikio wa China wa miaka mitatu wa COVID-19 ni endelevu, wa kimfumo na unaendana na nyakati na pia umeokoa maisha ya watu. Pamoja na hatua za kuzuia na kudhibiti...
  5. JamiiForums Tanzania Nataka kufahamu utaratibu wa kupata Temporary Permit ya kuingia Kenya

    Ndugu zangu Nipo Dar es Salaam, Nataka kufahamu utaratibu wa upatikanaji wa Kibali cha Muda cha kuingia Kenya najua njia za shortcut zipo ila mimI sitaki hizo nataka kufahamu utaratibu wakupata official temporally Permit ya kuingia Kenya. Ofisi ziko wapi na kuna malipo au la, na nahitqjika...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuhama Taasisi Serikalini

    Habari, Mimi ni Auditor katika ofisi ya CAG, naomba kufahamu utaratibu mzuri wa kuhamia BOT. Asanteni
  7. JamiiForums Tanzania Utaratibu mzima wa kufungia ndoa kanisani ni uhuni tu, kanisa limepora mamlaka yasiyowausu ili kuzitawala ndoa

    Na ndio maana nikaona mapema nioe tu ndoa ya kimila kama kwenye biblia, ukilipia mahari unaondoka na mwenzako, imeisha hivyo !! ni ndpa inayotambulika na serikali kama ndoa za dini na cheti cha ndoa ya kimila mtakipata ofisi ya wilaya bila kero yoyote. Utaratibu mzima wa kufungia ndoa kanisani...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Kero za meseji taka (spams) kampuni za simu muwe na utaratibu kupata ridhaa kutoka kwa mtumiwaji

    Kumekuwa na tabia ya kampuni nyingi za simu kuingia ubia na baadhi kampuni ambazo wamekuwa wanatuma meseji taka mbalimbali mara kubeti, bahati nasibu, n.k. kwenda kwenye namba za wateje bila ridhaa ya wateja wenyewe. Nasema ni kero kwakuwa, unaweza ukakuta kwenye simu yako msg kama 10...
  9. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kusafirishia dagaa nje ya Tanzania

    Darasa la buree wafanya biashara wenzangu. Utaratibu na vitu vinavyo hitajika. 1. Inatakiwa kuwa na tin namba na leseni ya biashara kutoka tra. 2.Inatakiwa uwe na leseni ndogo ya kusafirisha dagaa ndani ya tanzania. 3. Inataki kuwa na kibari ya kusafisha mzigo wa dagaa kutoka wizara ya mali...
  10. JamiiForums Tanzania DOKEZO Utaratibu wa kutoa takrima TANESCO

    TANESCO Hivi kama nimelipa laki 5 au 7 na ushee bado afisa anahitaji nimpe pesa ili aje kuniunganisha na huduma ninaweza tumia mbinu gani kuipata haki hii ya msingi? Kiukweli hili linachosha sana. Kuna muda unawaza umtege mtu kwa kumpa hela ya moto lakini unamuonea huruma atapoteza kibarua...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Usajili dirisha dogo kuelekea michuano ya kimataifa mashariti na utaratibu wake ukoje?

    Habari wadau, Nina maswali haya kuhusu usajili huu: 1. Ni idadi gani ya wachezaji inaruhusiwa kusajili kupitia dirisha dogo? 2. Wachezaji wa kimataifa watakaosajiliwa kupitia usajili huu, wataruhusiwa kucheza katika ligi za ndani? 3. Inawezekana kununua mchezaji ambaye bado ana mkataba na...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kujulishwa utaratibu wa kutoa hisa zangu Mwalimu Commercial Bank maana tangu ianzishwe hisa zinashuka tu

    Hello wana JF, Iatia hasira sana, tangu ni nunue his hiyo bank mwaka 2015 kwa tshs 500 mpaka leo haijawahi panda na zaidi inashuka leo hii ths 380 kwa hisa. Naona hii bank itakuja ishia na pesa za watu. Kama wameshindwa kuiendesha basi bora ifungwe. Ninachoona kuna wajanja wanakula pesa...
  13. JamiiForums Tanzania Napendekeza utaratibu wa points kwenye soka urekebishwe

    Ili kuvutia ufungaji wa magoli mengi kwenye soka na kuongeza burudani, basi FIFA waanzishe utaratibu pale ambapo timu moja itafanikiwa kufunga zaidi ya magoli matatu bila basi waongezewe pointi moja zaidi. Kwamba iwapo timu itafunga bao tatu bila Mpinzani kufunga goli basi badala ya point tatu...
  14. JamiiForums Tanzania Je, utaratibu wa Pre-Form one kuwa lazima kwa baadhi ya Shule Binafsi ni sahihi?

    Baadhi ya Wadau wa Elimu wameomba Mamlaka kudhibiti utaratibu huu, huku Wengine wakiona ni Sahihi. Kwa hoja hizi na nyingine nyingi jiunge nasi Twitter Spaces ya JamiiForums muda huu uweze kuwa sehemu ya mjadala huu. Bonyeza hapa kujiunga > JF SPACES Mkaka Smart Mimi nachukulia positive...
  15. JamiiForums Tanzania Kuwepo utaratibu kuwalinda watoto viwanjani wakati wa mechi

    Mara kadhaa nimeshuhudia watoto wadogo walioambatana na wazazi au walezi wao uwanjani wakiwa katikati ya watu huku akiwa amezungukwa na ile midude wanayopuliza almaarufu kama vuvuzela. Nilikuwa sijui kero ya haya madude mpaka wakati fulani Bwana mmoja alikuja nalo mahali nilipokuwa nafuatilia...
  16. JamiiForums Tanzania Sijasafiri Nje ya Nchi kwa muda sasa, naombeni Utaratibu wa kupata Pasi Mpya ya Kielektroniki Nisafiri

    Na je, ukiwa bado unayo ile Pasi ya zamani ukienda kuhitaji hii mpya ya Kielektroniki mchakato ni mkubwa au details zilizoko katika Pasi ya zamani ndiyo hizo hizo zitatumika kwa hii ya Kielektroniki na kuipata Kiuharaka? Na je, muda wa kupata Pasi Mpya ya Kielektroniki ni upi? Je, huko kwa...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo Utaratibu wa vituo vya Mabasi kutoka Dar

    Kutokana na Kukua kwa Jiji la Dar. Ni muhimu kwa Serikali kufikiria namna ya kuwa na Stendi za kisasa za kwenda Mikoani katika Kila Manispaa ya Mkoa wa DSM. Kama tulivyo na Ofisi za Ki-Mkoa za DAWASA, JESHI LA POLISI, TANESCO, TRA nk. Ni wakati sasa kuwa na stendi ya Mikoani katika...
  18. JamiiForums Tanzania Mwenye kujua taratibu za kuomba mkopo benki kwa dhamana ya nyumba

    Habari, Naomba maelekezo kutoka kwa members ambao walishawahi kukopa bank kwa dhamana ya nyumba,maana mambo yashakuwa magumu, nyumba iko DSM, ilala kata ya kitunda. Mwenye uzoefu tafadhali naomba maelekezo.
  19. JamiiForums Tanzania Huu utaratibu usio rasmi kwenye harusi Nyingi Bunge lilipitisha lini hii Sheria bila kutuambia?

    Nimeona ni kama utaratibu ambao hauja ainishwa rasmi ila ukienda katika harusi nyingi lazima utakuta kuna Lijishangazi, Lijidada, Lijimama mdogo moja Balaa sana. Lenye ku present utajiri wa mwanamke wa Kibantu. Hili huwa linakuwa mbele ya msafara na nyuma pia wakati ndugu au maharusi wanaingia...
  20. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO CDF Mkunda, angalia watu wanaokuja na majina mfukoni ili kwenda JWTZ badala ya kufuata utaratibu

    CDF Mkunda kwanza kabisa hongera kwa kuteuliwa kuwa mkuu wa majeshi.Najua unachangamoto kubwa Sana ya kubadili mfumo mbovu wa ajira au uandikishaji wa vijana JWTZ mfumo ambao uliopita ulikua ni mfumo mbovu ambao haujawahi tokea takribani muongo mmoja uliopita. Kwanza vijana hawakupata ajira...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…