utapeli mtandaoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    Epuka kupost Taarifa zako binafsi kuepuka Utapeli Mtandaoni

    Ili kujilinda na ukatili na utapeli mtandaoni, ni muhimu kuwa makini na aina ya taarifa unazoshirikisha (share) mtandaoni. Epuka kutoa taarifa binafsi kama namba binafsi za simu, anwani za makazi au picha nyeti. Taarifa hizi zinaweza kutumiwa vibaya na kusababisha ukatili kama vitisho...
  2. M

    Uliwahi fanya biashara na mtu mliyekutana kupitia mitandao ikageuka Sinema? Eleza mkasa wako hapa!

    Mteja aliyenipeleka kwa wakili kwa ajili ya Radio Nilipomaliza chuo, nilikuwa natafuta mteja redio, nikapata mteja mmoja wa ajabu sana. Nilikuwa nauza redio kwa shilingi elfu 30 tu, lakini jamaa akaniambia, “Twende kwa wakili tusaini mkataba!” Nilidhani anatania, kumbe yuko siriazi kweli ...
  3. R

    Watu 9 mbaroni kwa tuhuma za Utapeli Mtandaoni, kampuni ya Q Net yatajwa

    Jeshi la Polisi mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa Tisa kwa tuhuma za kujiingizia fedha kwa njia zisizo halali kupitia mitandao ya kijamii pamoja na simu za mkononi, kawa kuwarubuni wananchi Akitoa taarifa kwa vyombo vya habari kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya kamishina msaidizi mwandamizi...
  4. Fabian Vitus

    Je, huu nao ni utapeli? Mniokoe kabla hakijanikuta kitu

    Katika pita pita zangu nimekutana na mdada mmoja yupo London kaniambia kanielewa na ana zawadi anataka anitumie hivo muhuni kutokana na matukio nimekutana nayo nikaona nimtajie jina lisilo langu ila nalitumia namba nikampa iliyo active. Sasa kaniambia mzigo umekamilika na risiti kanitumia ila...
  5. Mkalukungone Mwamba

    TCRA: Utapeli mtandaoni umepungua asilimia 79.3 mkoani Tabora

    Mkoa wa Tabora umeshuhudia upungufu mkubwa wa majaribio ya uhalifu na utapeli kupitia mtandao, kutoka majaribio 590 hadi 122 katika kipindi cha miezi mitatu ya Oktoba hadi Disemba, kwa mwaka wa fedha 2023/2024. Hii ni sawa na upungufu wa asilimia 79.3. Taarifa hiyo imetolewa na Meneja wa...
  6. ELI COHEN

    Kama wewe ni mfanyabiashara kuwa makini na wale jamaa wanaokuja na kujitambulisha kuwa ni mawakala wa kampuni fulani na wanasambaza bidhaa

    Utapeli mwingine na namna hii. Either anakuwa tapeli ahusiki na kampuni hio au ni winga wa kukusanyia bidhaa ila anajitambulisha kuwa ni wa kampuni husika. Unakuta hadi bizness cards wameandaa either ikiwa na jina ya kampuni maarufu au kampuni feki alioitunga. Then anakuambia tumepita...
  7. The redemeer

    DOKEZO Iinaonekana Tanzania kuna pesa nyingi sana za kudowload LBL wamerudi kivingine wanajiita DBA

    Tanzania njoo na akili yako tu pesa utazikuta nchini huu ni msemo wa wageni. Baada ya kampuni ya ponzi pyramid kuwapiga Watanzania wamekuja kivingine wanajiita DBA, imeanza tarehe 7/3/2025 kwa usajili feki wa AI ikiwa na number za simu za UK. Nadhani kosa lao kuu LBL na FIC hadi kustukiwa na...
  8. Davidmmarista

    Tujadili Kuhusu Utapeli Mtandaoni – Je, Tunajilindaje?

    Habari wadau, Katika ulimwengu wa kidijitali, utapeli mtandaoni umekuwa tishio kubwa kwa watu binafsi na taasisi. Kila siku, watu wanapoteza pesa na taarifa zao za siri kwa njia za ujanja zinazobuniwa na matapeli wa mtandao. Katika mjadala huu, tuzungumze kuhusu: ✅ Aina mbalimbali za utapeli...
  9. Cute Wife

    Umewahi kutapeliwa mtandaoni au kidogo uingie mkenge? Tuambie ilikuaje uokoe mtu asije kuingizwa mjini (mtandaoni)

    Wakuu, Kumekuwa na wimbi la watu kuweka nyuzi kuuliza kama fursa fulani ni kweli au lah, au kama zawadi anayotumiwa ni kweli anapendwa au anataka kuingizwa mjini. Tunasikia mara kadhaa watu wanalizwa lakini kenge hawakosi, na mara nyingi huwa inakuwa ni tamaa ya kupata hela ya haraka haraka...
  10. SubTopic

    Ni utapeli au napoteza bahati?

    Kisa Changu Kiko hivi, Kuna mzungu aliniomba urafiki Facebook baada ya kumkubalia akaniomba namba ya Whatsapp. Tukaanza kuwasiliana ndani ya siku mbili tatu akaahidi kunitumia mzigo ambao ni simu ya iPhone 16. Yeye anaishi London uingereza na siku aliyotuma mzigo alisema kuwa amekosa ndege...
  11. Binti wa zamani

    LBL: Pyramid Scheme Inayowatapeli Watu kwa Kisingizio cha Uwekezaji

    Kwanini watanzania wengi wanatapeliwa na Ponzi schemes kama LBL Tanzania? Nini chanzo cha watu kutokupenda kufanya tafiti na kutafuta taarifa kabla ya kuinvest pesa. Hakuna kampuni inayoitwa LBL Advertising Media LTD ambayo imesajiliwa Tanzania, ila kuna Kampuni yenye jina sawia imesajiliwa...
  12. JOSEPHAT_07

    Je, LBL sio Matapeli kama Matapeli wengine?

    Nikampuni ambayo ukiweka pesa kidogo kuna pesa unalipwa mwaka mzima kilasiku. Kuna video ukazaa unatakiwa uzi view. Ila sijaielewa vizuri. Naomba maelezo kwa mwenye kuijua
  13. Barakha John

    Viashiria /dalili 6 vya kujua kuwa unatapeliwa mtandaoni

    Unajisikiaje, unatafuta pesa mingi na Kujikusanya alafu mtu anakuja kukuibia Kirahisi tu. Inaumiza eeh! Hivi karibuni nimekuwa nikipata malalamiko mengi kutoka kila kona ya Tanzania. Hapa naamanisha unaweza kuipenda bidhaa fulani wewe upo mkoa A na unamtumia muuzaji mkoa B alafu baada ya...
  14. robbyr

    Utapeli mtandaoni unawaumiza wengi

    Naomba nieleze kwa ufupi. Kukua kwa teknolojia kunasaidia mambo mengi kukua ikiwemo biashara. Ila hivi karibu kumekuwa na utapeli dhahri mfano kwa hapa Tanzania. Kumekuwa na wafanya biashara kutoka upande wa Zanzibar hasa Pemba wakiuza vitu bei ya chini mbali na uhalisia mfano laptop. Ambapo...
  15. Herbalist Dr MziziMkavu

    Utapeli Mpya umeingia Mjini Matapeli Wanajifanya TCRA Muwe Waangalifu sana Kwenye Simu zenu wanakuibieni Pesa zenu

  16. Cute Wife

    Airtel huduma yenu ya mteja kuomba atumiwe pesa ni nzuri lakini inachochea utapeli, rekebisheni wateja wanalizwa

    Wakuu salaam, Airtel kama mitandao mengine ina huduma inayokuwezesha kuomba kutumiwa pesa na mteja mwingine (kwa TiGO sijaona huduma hii), lakini kwa Airtel iko tofauti kiasi. Kwa Airtel unaweza kutuma maombi hayo kwa mtu mwingine anayetumia Airtel pamoja na wateja wa mitandao mengine, yaani...
  17. FRANCIS DA DON

    Utapeli wa ‘hiyo pesa tuma kwenye namba hii’ umeshika kasi, nimegundua mbinu ya kuwazuia, napendekeza haya yafanyike kuwakomesha

    Baada ya kugundua kila ninapojadiliana na mtu kwa simu a u meseji kuhusu masuala ya kutumiana pesa, ghafla natumiwa meseji za “hiyo pesa tuma kwenye namba hii”, napendekeza hili TCRA watunge kanuni zifuatazo za kisheria 1.) Iwe ni sharti la kisheria kwa kila mteja anayetumiwa meseji za “hiyo...
  18. H

    Nini kinaendelea katika mitandao ya simu?

    Wana wa Jamiiforums, Nawasalimu. Sina uhakika kama hili linatokea kwangu tu au ni kwa kila mtu zaidi ya mara tatu au nne imetokea kwamba nikipiga tu simu kwa mtu tukajadili habari ya hela ambayo pengine natakiwa kuituma kwa njia ya simu pindi nikikata tu simu meseji inaingia kuwa tuma kwa namba...
  19. S

    SoC04 Jinsi Tanzania tuitakayo itakavyotumia teknolojia kuondoa changamoto ya utapeli kwa wateja/wafanyabiashara wanaotumia mitandao kufanya biashara

    Katika karne tuliopo, teknolojia inatumika kwa kiwango kikubwa katika sekta mbalimbali ikiwemo sekta ya biashara. Teknolojia imekuza sekta hii kwa kutoa huduma kwa haraka, ufanisi na kwa gharama nafuu. Pamoja na faida lukuki za teknolojia katika nchi yetu, katika upande wa kibiashara, sekta hii...
  20. J

    Utapeli wa Mtandaoni umekithiri, chukua tahadhari hizi ili kutambua Links na ujumbe wa maandishi wa kitapeli

    Kwa mujibu wa Ripoti inayowasilisha takwimu za mawasiliano za robo ya tatu ya mwaka wa fedha 2023/2024 ya Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA), Mikoa ya Rukwa yenye majaribio 6,861 na Morogoro yenye majaribio 6,126 ya ulaghai mtandaoni ndiyo inayoongoza, ikiwa na zaidi ya theluthi moja ya majaribio...
Back
Top Bottom