Huu uzi unawahusu mafundi aina zote haswa mafundi ujenzi.
Usione watu wana miliki nyumba zaidi ya 10 ukadhani zote wamejenga kihalali kumbe nyuma ya pazia kuna uchafu umefanyika kukamilisha ujenzi huo.
Mchezo upo hivi, tajiri atakuita vizuri atakupa kazi na mtaanza vizuri tu mwanzoni , ila...
Wana jamii juzi jumapili tarehe 28-09-2025, kuna dogo aliniambia kapata kazi ya kuwa tingo(tanboy) wa magari makubwa ya masafa marefu. Hivyo basi kuna mahali amekwama kiasi kidogo cha pesa nimsaidie ili akanunue ovaroli la rangi ya karoti lenye mistari ya reflector na kiasi alichopelea ni...
Makampuni ya magari (sio Japan, Ulaya, Asia wala America) wameanza kuleta utapeli flani na unazidi kushika kasi sana, wa features subscription.
Yaani unanunua gari lina features kadhaa (moja wapo mfano iwe remote start), lakini hauwezi kuitumia hadi uwe unailipia kila mwezi au mwaka...
Vijana Kuweni kuna matapeli wamekuja na kampun Yao ya ku bet inaitwa FIC
Vijana weng wametapeliwa Kwa Sasa tena kuna Mtu katapeliwa million 500
Toka jana hao Vijana wanalia
Siku moja nipo kwenye mizunguko yangu ya hapa na pale maeneo ya Ubungo nikakutana na jamaa mmoja baada ya kuzungumza nae kwa muda akaniambia nimelogwa na kuanza kuniambia mambo ya nyumbani kwetu, akaniambia kama huamini tafuna hili karatasi nikatafuna nikatema nywele Daah si nikaanza kumuamini...
UTAPELI MPYA ULIOZUKA MITANDAONI
Habari wana Jamii Forums
Kumekuwa na njia mpya ya utapeli mitandaoni ambayo inawaumiza wa Tanzania wengi na pia kuwaondolea uaminifu baadhi yao kwa jamii inayowazunguka. Utapeli umekuwa ukihusisha mtandao wakijamii wa Facebook kama daraja la kufanikisha hao...
Kuna utapeli mpya bila shaka ni wanaigeria Kuna kitu linaitwa task mtu yupo tayari akutumia hata laki bure ila ukijaa lazima uliwe🤣🤣
Kuna jamaa yangu alikuwa anapitia kipindi kigumu maisha kupewa fursa ya task akahisi ni Mungu amemshushia neema kutumiwa pesa za bure kumbe wajuba wapo kazini nao...
Kumetokea Watu wanajifanya wanakopesha simu za Mkopo hapa Facebook na kukutaka uwatumie pesa kidogo ili wakutumie bidhaa yako huko mikoani ndugu yangu utapigwa vibaya. Nasema hivyo kutokana na Mimi yamenikuta nimelizwa elfu 50 alafu ni mdada akijifanya katokea Zanzibar kumbe ni matapeli
Habari wakuu,
Kumekua na hii tabia inayokuwa kwa kasi inayofanywa na wadada wanaofanya kazi za nyumbani. Tabia ambayo imegharimu na inaendelea kuwagharimu watu, hivyo wanajamvi muwe makini na watu hawa mnaowachukua kwa lengo la kusaidia kazi za nyumbani.
Iko hivi, utakuwa na uhitaji wa kupata...
Habari ya wakati huu wakuu.
Nimewiwa kushare hili suala ambalo kwa hapo awali nilipokutana nalo nilijua hutokea kwa bahati mbaya hadi hapo wiki iliyopita nilipojua vinginevyo.
Huu ni utapeli wa kuibiwa kwa kutumia sheria yaani unaibiwa wakati wewe ukiamini kuwa umenusurika kuibiwa😂😂😂 na...
Dar es Salaam/ Kilimanjaro.
Ni wimbi jipya la utapeli. Hutokea pale baadhi ya wanawake wanapolazimika kuwalipa fedha waliokuwa wapenzi wao, ili wasisambaze picha zao za utupu kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii.
Wimbi hili linaelezwa kuwakumba wajane, wanafunzi vyuoni na wake za watu, ambao...
Habari zenu wanajukwaa,
Maisha yamekuwa magumu sana kwa sasa hivyo kupelekea watu kubuni njia mbali mbali ili kujipatia kipato cha kuendelea kuishi.
Tupo kwenye kipindi ambacho ikifika asubuhi nyumba nzima kila mtu anaondoka kwenda kutafuta maisha tofauti na zamani ambapo ilikuwa nyumba nzima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.