utambulisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Troll JF

    JamiiForums Tanzania IKULU: Rais Magufuli anapokea Hati za Utambulisho kwa Mabalozi wapya wa Marekani na Vietnam 🇻🇳

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 02 Agosti, 2020 atapokea Hati za Utambulisho za Mabalozi Wateule wa Marekani na Vietnam hapa nchini. Tukio hili litarushwa mubashara na vyombo vya habari kuanzia saa 9:00 alasiri kutoka Ikulu, Dar es Salaam.
  2. Mnyalutanana2020

    JamiiForums Tanzania Mgeni naomba mnikaribishe

    Wadau napenda kusema hodi hapa jamvini, mimi ni mmgeni wenu, lakini si mgeni wa jamvi la jamii forum, nilikuwa napata yote ya jamvini kwa kupitia njia nyingine. Kwa maana kusoma kwa kubrowse bila kuwa na akaunti ya hapa jamvini. Sasa rasmi nimejiunga nanyi kuendeleza kugurudumu la kupashana...
  3. Allein mushi

    JamiiForums Tanzania Hodi hodi humu

    Ni member mpya hapa jf naamini tutashirikiana kujuzana mengi na kufundishana nitakuwa naleta makala mbalimbali za michezo na nmeshaandika moja kuhusu Ronaldinho Gaucho chukua muda wako kuisoma Ahsanteni sana
  4. Ms Fatma

    JamiiForums Tanzania Utambulisho

    Habari wana-Jamii Forums Naitwa Fatma. Nipo hapa kwa ajili ya kujifunza na kujadili mambo mbali mbali yanahusu fedha, uwekezaji na uchumi. Mbali na hilo napendelea pia mijadala inayohusu maswala ya kijinsia na pia ni mpenzi wa kusoma vitabu. Napendelea mijadala inayolenga kufunzana. Asanteni...
Back
Top Bottom