utalii

  1. JamiiForums Tanzania Lini tutaanza kukiendeleza Kisiwa cha Mafia kwa ajili ya utalii

    Hivi unajua beach za Mafia hazina tofauti na za Zanzibar Kwa nini serikali isiwekeze kuitangaza Mafia kwa utalii at least pafanane kimaendeleo na Nungwi, Zanzibar Nilienda Nungwi mwaka jana, actually ni pazuri sana. Nungwi hata sio mji mkubwa kama Stone Town ni kamji kadogo tu lakini kana...
  2. JamiiForums Tanzania Mchongo Kamili wa Kupata Wateja wa Utalii wa Nje Bila Madalali

    Wadau wa utalii na watafutaji wote, ukweli mchungu ni kwamba kuwa na gari zuri la safari au kampuni iliyosajiliwa haikuhakikishii wateja. Watu wanaopiga pesa ndefu kwenye sekta hii hawana ushirikina wowote, bali wanajua mchezo mzima wa masoko ya kidijitali wa kudaka watalii wa Marekani, Ulaya...
  3. JamiiForums Tanzania Wimbi la kesi za ugaidi litaathiri taswira ya nchi na sekta ya utalii kwa namna ambayo Serikali haikutarajia

    Watanzania, tukubali tusikubali, Serikali ya CCM haina viongozi wenye uwezo wa kuona mbali. Obviously, the mazafakas cannot see beyond their noses! Katika hali ya kawaida, hakuna kiongozi yeyote mwenye busara ambaye anaweza kuitangazia dunia kwamba nchi yake ina magaidi kila kona wakati ukweli...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kutoka Rio Ferdinand hadi DJ Khaled: Kwanini diplomasia yetu ya utalii inafeli na kutia Taifa aibu kimataifa?

    Wana-JF salam, Hali ya mambo mitandaoni imezidi kuchafuka baada ya picha na video zikisambaa zikimwonyesha msanii na prodyuza nguli wa Marekani, DJ Khaled, akiwa ameshika jezi ya timu yetu ya taifa (Taifa Stars) yenye nembo ya "Visit Tanzania". Kurasa nyingi za udaku, huku zikipewa nguvu na...
  5. JamiiForums Tanzania Machafuko (Xenophobic attacks) Afrika Kusini faida kwa Utalii Tanzania

    Tutumie faida ya machafuko huko South Africa kukuza utalii Tanzania. Ikibidi itumike mbinu mbinu kuwa-support viongozi wa maandamano March to March na Dudula ili pawake kila siku kuharibika huku tunajaza watalii
  6. JamiiForums Tanzania Tanzania walitumia Kombe la Dunia 2026 Kutangaza Utalii wake jiji la Toronto nchini Canada

    Kodi za wananchi zimefanya kazi, sasa tuone mabadiliko ya kweli kwenye hili. ================ Tanzania imekuwa taifa la kwanza barani Afrika kutumia Kombe la Dunia 2026 nchini Canada, katika jiji la Toronto, kama jukwaa kubwa la kutangaza sekta yake ya utalii. Malori yenye mabango ya kampeni ya...
  7. JamiiForums Tanzania Hatimaye thread yangu kuhusu Terence Crawford imemfikia waziri wa utalii na maliasili na amempa ubalozi wa utalii Tanzania

    Niliandika thread hapa kushangaa kwa nini mtu kama Terence Crawford kuonesha mapenzi yake ya dhati kwa Tanzania kuitangaza kimataifa na kupost kila hatua anayopita kuonesha ni kwa namna gani Tanzania imebarikiwa lakini viongozi wa nchi walimkalia kimya kana kwamba ni mtu wa kawaida tu. Kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Takukuru iingilie kati kufanya uchunguzi juu ya matumizi ya fedha yanayofanywa na Makonda na wizara ya maliasili na utalii kuleta wanamichezo nchini.

    Hizi ni pesa za walipa kodi na ni pesa ambazo zilipaswa kutumika kwa maendeleo ya Watanzania. Sasa wanaletwa akina Rio Ferdinand, wacheza mieleka wapiga masumbwi na wakata viuno kwa kigezo cha kukuza utalii. Huu ni upigaji na wizi wa pesa za umma ambao hayati Magufuli kama angekuwepo...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Tunampost kwenye mitandao ipi, kama kweli sisi ndio tumemleta Rio na Mkewe ili kukuza utalii na kujisafisha na damu za October 29 2025?

    Okey, Rio hapost chochote kwenye mitandao yake ya kijamii kuhusu uwepo wake Tanzania, nakubaliana nae kuwa hapangiwi katika hilo. Huenda yeye na mkewe ni wakubwa kuliko Tanzania kama Nchi hivyo hawezi kutupa 'air time'. Je Wizara iliyohusika kumleta chini ya Waziri Makonda wao wanapost kwenye...
  10. JamiiForums Tanzania Makonda anautaka sana Uwaziri wa Mali Asili na Utalii. Mabdailiko yajayo huenda ikawa hivyo

    Ma consultance wa Makonda hawalali yaani wana kesha usiku kucha kumpa Makonda mbinu. Makonda kaambiwa Mali asili na utalii ndiko hasa panamfaa ndiko kwenye mafuta, na ili aingie huko aanze kufanya harakati mbazo mnaziona kwa sasa hivi. Hao wastafu wa Soka anao waleta sio kwa lengo la michezo...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kwenu wabunge wa Kanda ya Ziwa: Airport ya Mwanza iboreshwe lakini hoja zenu za kikanda zisiwe sababu ya kupinga ujenzi wa uwanja wa Serengeti

    Serengeti ni moyo wa utalii wa Tanzania, halafu bado tunabishana kuhusu airport? https://youtu.be/9eOKGUVCjA4?si=UOzbKsu_RKP-Xeck Wakenya waliona tumelala, wana mipango ya kujenga airport karibu na Maasai Mara ili watalii watue moja kwa moja karibu na destination yao. Tumechelewa sana kuweka...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Utalii Waneemesha Sekta Nyingi

    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan aua ndege wawili kwa jiwe moja. ◇Kazi zake katika utalii zaanza kuneemesha sekta zingine ◇Ndege Ulaya kuleta watalii moja kwa moja kuja Tanzania ◇Matunda, mboga mboga, maua, samaki kupelekwa ulaya
  13. JamiiForums Tanzania Maboresho ya Uwanja wa Ndege Musoma kuchochea Utalii

    Kukamilika kwa maboresho ya Uwanja wa Ndege wa Musoma kunatajwa kuwa hatua muhimu itakayochochea ukuaji wa sekta ya utalii, biashara na uchumi kwa ujumla katika ukanda wa Ziwa Victoria na mikoa jirani. Maboresho hayo yanatarajiwa kurahisisha usafiri wa anga kwa watalii wanaotembelea vivutio...
  14. JamiiForums Tanzania Msigwa: Tangazeni vivutio vipya vya Utalii, Pori la Akiba Mpanga Kipengere ni moja ya kivutio kinachopaswa kutangazwa Duniani

    Katibu Mkuu Wizara ya Habari, utamaduni, sanaa na michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa,amewataka maafisa Habari na Mawasiliano Serikalini kutangaza vivutio vipya vya utalii vilivyoko hapa nchini ili kuonesha na kutoa fursa ya kujulikana nchini na duniani kwa ujumla. Msigwa...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mabadiliko ya ghafla ya kiingilio HIFADHINI bila notisi kwa wadau wa UTALII

    Habari za muda huu kiongozi wa Jamii Forums, Nikiwa kama Mtalii na mdau wa Utalii wa Nyanda za Juu kusini mwa Tanzania, nipende kuwasilisha kero yangu Kubwa na kwa watalii wengine. - Ikumbukwe tokea Bei za mafuta zipande April Mosi, kuna baadhi ya Hifadhi ya Taifa nayo imepandisha bei ya...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wahitimu wa Chuo cha Taifa cha Utalii tunapata changamoto ya upataji wa Ajira kupitia Ajira Portal, hautambui kozi zetu

    Nilikuwa napenda kuwasilisha changamoto yangu kubwa ni upande wa chuo ambacho nimesoma "Chuo cha Taifa cha Utalii/ National College of Tourism- NCT), tumekuwa na changamoto kubwa ya upataji wa Ajira Serikali kupitia Mfumo wa Ajira Portal ya Serikali, kutotambua Course ambazo tumezisoma katika...
  17. JamiiForums Tanzania Ninadhani RC Mtambi anatakiwa ajifunze zaidi kuhusu sekta ya utalii inavyofanya kazi

    Binafsi ninaona RC Mtambi kuna mambo hajui kuhusu utalii na jinsi gani hii sekta ina umuhimu kwa taifa hili. Hizi amri zake zinagusa mambo mengi sana kitaifa na kimataifa. Sio kauli za kidiplomasia.
  18. N

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa Sehemu nzuri ya utalii Morogoro na Arusha

    Habari wakuu! Kwa wale wazoefu wa maeneo ya Morogoro na Arusha, naomba kujua sehemu nzuri ya utalii, kufanya refreshment kama Taasisi, au family yenye ubora na huduma zote namaanisha kuanzia vyakula, michezo, wanyama, nk Naomba msaada wakuu
  19. JamiiForums Tanzania Kamisheni ya Utalii Zanzibar: Nguo fupi marufuku kipindi cha mwezi mtukufu wa Ramadhani

    Kamisheni ya Utalii Zanzibar imewataka Watalii, Wafanyabiashara na Wadau wa utalii Zanzibar kuheshimu maadili ya Dini na Utamaduni uliopo Zanzibar kipindi hiki cha kuelekea mwezi mtukufu wa ramadhani. Kamisheni imesema ni lazima Migahawa na sehemu za chakula zilizo nje ya Hoteli zifungwe hadi...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Mwigulu kukabidhi miundombinu ya utalii

    Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba leo Februari 11, 2026 ameelekea katika Hifadhi ya Taifa ya Nyerere ambapo anatarajiwa kuzindua na kukabidhi Miundombinu ya Utalii.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…