Watu wengi hawajui kwamba ajira ni kitu kidogo sana ukilinganisha na utengenezaji wa utaifa. Taifa halijengwi na mishahara, halisimami kwa posho, halihifadhiwi na mabango; taifa linajengwa na umoja wa fikra, nidhamu ya kufanya kazi, na maono ya pamoja.
Na JKT - ile ya mwalimu, si hii kambi ya...