utabiri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Wakili Msomi Boniface Mwabukusi ndiye yule ajaye

    Wapendwa wana JF, ni matumaini yangu mko vizuri. Nimeota mara kadhaa kwamba Wakili Msomi Mwabukusi atakuja kuwa kiongozi mkubwa kabisa katika nchi yetu. Atakuwa ni Rais mpole na mnyenyekevu kuliko wote waliomtangulia. Lakini wakati huo huo, atakuwa ni Rais mkali zaidi kuwahi kutokea...
  2. JamiiForums Tanzania Unabii wa mchungaji Moses Kulola wa mwaka 1997 kuhusu vita ya Urusi watimia mwaka 2023

    Katika mahubiri yaliyofanyika huko Mwanza, mchungaji Moses Kulola alitoa unabii juu ya vita ya Urusi ambao chanzo chake ni Nato na akasema kutakuwa na Vita kubwa chini ya Urusi. Na pia akasema Urusi imeandikwa ndani ya Biblia, na kiuhalisia biblia ni kitabu kilichojaa matukio mengi yanayotokea...
  3. JamiiForums Tanzania Tupia utabiri wako Bayern Munich Vs Man Utd, Allianz Arena leo

    leo kuna mtanange kabambe wa UCL pale Allianz Arena ni Bayern Munich Vs Man Utd. Utabiri wako upoje?
  4. JamiiForums Tanzania Tupia utabiri wako kuelekea weekend ya Kimataifa kwa Simba & Yanga zilizopo ugenini

    Simba na Yanga zote ziko nje ya nchi katika majukumu ya michuano ya vilabu Afrika. Simba watashuka dimbani pale Levy Mwanawasa Stadium kuwakabili Power Dynamos huku watani zao wakishuka dimbani pale Pele Stadium kuwavaa El Merreikh ya Sudan. Weka utabiri wako timu ipi itapata matokeo yapi?
  5. JamiiForums Tanzania Kila kitu kuhusu Kesi ya mkataba wa Bandari (DP World na Tanzania) kati ya Mawakili wanne dhidi ya Serikali

    Ni siku kadhaa sasa tangu Kesi ya kubatilisha mkataba wa Bandari ipelekwa mahakamani ,na Tarehe 7/8 tulitegemea kusikia maamuzi ya mahakama juu ya .mkataba huo(Judgment) kwa bahati mbaya Judgment imesogezwa mbele. Siko hapa kutabiri judgment jamani bali natamani ni wajuze vitu vichache kuhusu...
  6. JamiiForums Tanzania Tetesi: Utabiri 1977: Waalimu wa UPE wanaenda kutengeneza Taifa la wajinga na sasa miaka 50 imepita. Je sisi tuna akili au sisi ni wajinga?

    Je hili ndio Taifa la wajinga lililotabiriwa mwaka 1977 wakati walipoanzisha sera ya Elimu ya Universal Primary Education UPE? Katika sera ya nchi ya kutoa elimu kwa wote. Serikali ilipanga kutoa elimu kwa watanzania wote bila ubaguzi wowote. Serikali ilikuja na mpango elimu ya msingi iwe ni...
  7. JamiiForums Tanzania Utabiri: Yanga itafungwa na Azam katika mechi ya ngao ya jamii

    Ikiwa imebaki wiki moja kabla ya mechi ya Yanga Vs Azam katika mchezo wa ngao ya jamii, ubashiri wangu unaonesha Yanga atatolewa na Azam katika mtanange huo. Azam Fc iliyosajili vizuri itacheza na Yanga iliyoondokewa na mastaa wake tegemezi. Baada ya dakika 90’ ubao utakuwa unasoma hivi Yanga...
  8. JamiiForums Tanzania Kule TMA huwa wanatazamanaje siku utabiri ukienda kinyume?

    Kazi ya utabiri wa hali ya hewa ni muhimu kwa maendeleo ya taifa ndio maana serikali ikaanzisha idara maalum ya utabiri wa hali ya hewa. Ni wazi kuwa kazi ya idara hii ni kutabiri tu na wala si kutoa amri hali ya hewa iweje kwenye maeneo tofauti ya taifa letu.Mimi tu kama mwanadamu huwa napenda...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Unabii kuhusu Rais mwanamke aliyepo Afrika Mashariki (ulitolewa 2021)

    Mwaka 2021, Mchungaji Ian Ndlovu kutoka Zimbabwe alisema kuwa Roho wa Mungu amemwambia kuwa awaambie kuhusu Raisi mwanamke kutoka Afrika Mashariki. Aliambiwa kuwa, wote wanaompenda Raisi huyu mwanamke wanapaswa wamwombee sana maana aliona atapitia matukio mawili huko miaka ya mbele ambapo...
  10. JamiiForums Tanzania Utabiri wangu kuhusu Rais Samia kabla ya 2030

    Salamu, huu ndio utabiri wangu kumhusu mama kabla ya 2030. Haya yote anayoyafanya ni calculated issues. Haya Mambo yanaenda kwa mpangilio ufuatao 1) 2025 Rais Samia atashinda Mama atashinda uchaguzi wa 2025. Atashinda uchaguzi kwa sababu hakutakua na katiba mpya wala tume huru ya uchaguzi...
  11. JamiiForums Tanzania Job Ndugai: Ipo siku Tanzania itapigwa mnada, Watu tukishakopa tunapiga makofi kujipongeza. Deni la Taifa ni 70 Trilioni

    Spika wa bunge la jamhuri ya muungano JOB NDUGAI amedai kuwa kulingana na mwenendo wa deni la taifa kufikia trilion 70 ipo siku nchi ya Tanzania itapigwa mnada amenena maneno hayo baada ya kusema kwamba tozo zote zamiamala ya simu zilizopitishwa na bunge zilipitishwa kwa lazima kwani wananchi...
  12. JamiiForums Tanzania Ningekuwa Rais Samia nisingewachukulia poa tena Watanzania

    Ningekuwa Samia hilo la BANDARI kuhojiwa kwa zaidi ya wiki 2 na Watanzania isivyotarajiwa hakika ningeshtuka na kuwa upande wao kwa kuwasikiliza, kujibu hoja zao mimi mwenyewe na ningetafuta namna bora ya kuliweka ili kuondoa SINTOFAHAMU kubwa nchini! Ukweli ni kwamba Watanzania wamebadirika si...
  13. JamiiForums Tanzania Mbona kama utabiri huu unataka kutimia!

    Nimekumbuka video hii ya nabii mmoja huko Afrika kusini aliyasema haya mwaka jana, cheki hii iko you tube. hii issue ya kuuzwa bandari inaweza kuwa kosa la kwanza
  14. JamiiForums Tanzania Utabiri: USM Alger 3-0 Yanga, Fainali ya CAFCC Juni 3, 2023

    Kila nikitizama darubini yangu inanionyesha jezi yenye rangi nyeusi yenye ufito mwekundu itashamiri sana hapo kesho. Kuna goli tatu kwa mwenyeji.
  15. JamiiForums Tanzania Utabiri: Yanga 1- 0 USM Alger

    Hayo ndiyo matokeo ya mechi ya leo. Ngoja nakuja kuwatajia jina la mchezaji atakayefunga.
  16. JamiiForums Tanzania Utabiri wangu CAF

    Timu zitakazochukua ubingwa mashindano ya CAF 2023 1. CAF confederation cup USM ALGER Bingwa atamfunga YANGA fainali. 2. CAF champions league AL AHLY Bingwa atamfunga MAMELODI fainali.
  17. JamiiForums Tanzania Utabiri: Bingwa wa Uefa Champions League msimu huu atakuwa Man City

    Pep Guardiola na Man City yake wanaenda kutwaa ndoo ya UCL hapo juni mwaka huu. Man City kabla ya fainal atakutana na wachovu Real Madrid, ambapo mechi ya kwanza Bernabeu itaisha droo ya 1-1 Kisha mechi ya marudiano Etihad, Man City ataibuka na ushindi wa goli 2-0. Na kujikatia tiketi ya...
  18. JamiiForums Tanzania UTABIRI: Msimu huu wa 2022/23 Yanga na Man City, wote watabeba makombe matatu

    Kuna kila dalili za ubashiri kuwa, msimu huu wa 2022/23 timu ya Yanga ya Tanzania itafanikiwa kunyanyua makombe matatu (ligi kuu, Kombe la FA (Azam confederation) na Shirikisho CAF), na hali hiyo hiyo itatokea kwa timu ya Man City ya Uingereza ambayo nayo itabeba makombe matatu (Ligi kuu, Kombe...
  19. JamiiForums Tanzania Utabiri Yanga kuchukua kombe la shirikisho mwaka huu

    Yanga itachukua kombe la shirikisho mwaka huu natabiri na itakutana fainal na Rabat. Yanga ndiye bingwa wa confederation cup. Simba atatoka morocco na fainal. Nusu ni Waydad vs mamelodi na kule ni Esperance de tunis vs Al Ahly. Watakutana wababe wa africa mamelodi na Al Ahly Mamelodi ndiye...
  20. JamiiForums Tanzania Utabiri: Simba kutoa sare ya 1-1 mchezo wa leo dhidi ya Wydad

    Leo April 22 kutapigwa mchezo mkali wa ligi ya mabingwa Africa ambapo Wenyeji Simba ya Dar es salaam watawakaribisha Wydad Casablanca ya pale Morocco. Mchezo wa Simba dhidi ya Wydad haijawahi kuwa rahisi huku Whdad wakionesha ubabe dhidi ya Simba. Mchezo wa mwisho Simba dhidi ya Wydad Simba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…