uso

The United Service Organizations Inc. (USO) is an American nonprofit-charitable corporation that provides live entertainment, such as comedians, actors and musicians, social facilities, and other programs to members of the United States Armed Forces and their families. Since 1941, it has worked in partnership with the Department of War, and later with the Department of Defense (DoD), relying heavily on private contributions and on funds, goods, and services from various corporate and individual donors. Although it is congressionally-chartered, it is not a government agency.
Founded during World War II, the USO sought to be the GI's "home away from home" and began a tradition of entertaining the troops and providing social facilities. Involvement in the USO was one of the many ways in which the nation had come together to support the war effort, with nearly 1.5 million people having volunteered their services in some way. The USO initially disbanded in 1947, but was revived in 1950 for the Korean War, after which it continued, also providing peacetime services. During the Vietnam War, USO social facilities ("USOs") were sometimes located in combat zones.
The organization became particularly known for its live performances, called camp shows, through which the entertainment industry helps boost the morale of servicemen and women. From the start, Hollywood was eager to show its patriotism, and many celebrities joined the ranks of USO entertainers. They went as volunteers to entertain, and celebrities continue to provide volunteer entertainment, in military bases in the U.S. and overseas, sometimes placing their own lives in danger, by traveling or performing under hazardous conditions. In 2011, the USO was awarded the National Medal of Arts.
The USO has over 200 locations around the world in 14 countries (including the U.S.) and 27 states. During a gala marking the USO's 75th anniversary in 2016, retired Army Gen. George W. Casey Jr., the current chairman of the USO Board of Governors, estimated that the USO has served more than 35 million Americans over its history.

View More On Wikipedia.org
  1. Balozi Sefue: Maafisa wa kodi wasionane uso kwa uso na mlipa kodi, ikiwa kuna umihimu yatengwe maeneo yenye uwazi na CCTV camera

    Mwenyekiti wa Tume ya Rais ya Kutathmini Maboresho ya Mfumo wa Kodi Nchini, Balozi Ombeni Sefue ametoa pendekezo hilo la tume hiyo leo Tarehe 18 Machi, 2026 Ikulu Dar es Salaam wakati wa kukabidhi ripoti hiyo
  2. M

    Mahakama yapiga marufuku mashahidi fiche. Sasa Lissu kupambana nao uso kwa uso. Habari ya kujificha kwenye maboksi kama kuku kwisha

    Ni kinyume na katiba ya JMT shahidi fiche kufichwa kwenye boksi kama kuku.
  3. M

    Jana uso kwa uso na wanaomchukia! Kiongozi anatakiwa achunge sana ulimi wake

    Ni kweli kabisa hakuna kiongozi ambae atakubalika na jamii yote. Ndio maana hata huko USA - Trump kila siku anatukanwa hovyo kama mtoto. Jambo la msingi ni Kiongozi kuwa makini na matamshi ambayo yatachochea chuki zaidi. Mpaka sasa najua wakatoliki wengi wanayo ya kwao moyoni. Lakini ile...
  4. Uso wenye nuru ni ishara ya ukaribu kwa Mungu; uso uliopoteza nuru ni ya kuwa mbali na Mungu!

    Mawazo haya nimeyatoa kwenye Biblia: Kutoka 34: 29-35. Musa alivyoshuka mlima wa Sinai, alipokuwa anafanya agano na Mungu, Haruni na wana wa Israel waliona ngozi ya uso wa Musa ikiwa inang'aa sana (japo Musa alikuwa hajui kama uso wake unang'aa na una nuru kali). Na walipoona hivo, waliogopa...
  5. October 30: Uso kwa uso na bunduki

    OCTOBER 30: USO KWA USO NA BUNDUKI. Anaandika: Robert Heriel Mtibeli. 1. Nitafupisha Sana kadiri iwezekanavyo maana wasomaji wangu wengi wenu hampendi vitu virefu. 2. Usiku wa tarehe 29 nyumbani kwetu ambapo nilisema ni karibu na barabara ya Morogoro yaani mita hamsini tuu; 3. Kulikuwa na...
  6. B

    Picha: Bashasha na tabasamu za JK zageuka uso wa ndita na hatia

    Bashasha na tabasamu siku alipoihondomola CCM kwa kulazimisha jina la ampendae yeye lipite bila mchakato... Kikaja kikaharibika.... Wananchi wamelikataa jina, watu wameimba mitaani HATUMTAKI HATUMTAKI HATUMTAKI... kisha wakamwagwa damu zao...
  7. Biashara gani uliambiwa inalipa afu ukala za uso

    Kuuza supu ya kongoro dadeki nilikunywa diaba zima mwenyewe wateja walinikimbia🤣🤣
  8. GE2025 Makonda uso kwa uso na Zitto, Mwanza

    Soma pia: Makonda uso kwa uso na Gambo kwenye mabanda Arusha, ona kilichotokea mbele ya Waziri Ndejembi
  9. M

    Dkt. Gwajima na Joyce Ndalichako wamchanganya raia. Apewa za uso papo hapo

    Huyu jamaa ukute alifeli form 4 (DIVISHENI FOO ). Na ni haki yake kabisa kufeli. Uzi tayari The Mongolian Savage BICHWA KOMWE - Maghayo Ghayo TheMongo Barbarian litutumbwe Mufti kuku The Infinity
  10. GE2025 Laurence Masha nae kala za uso Nyamagana

    Huyu jamaa naona siasa zishamkataa. Wajumbe huko Nyamagana wamempa za uso.
  11. Hiki kidoti kwenye paji la uso kina maana gani?

    Wajuvi wa dini tujuzane
  12. Kikwete anapaswa kuona haya za uso na akili

    Kila alipo Samia na yeye yupo! Na siyo anakuwepo tu lakini pia anataka kuzungumza! Samia anashindwa kupumua kwa sababu kila wakati pua ya Kikwete ipo kisogoni kwake! Kikwete ebu muachie huyo mama, kwanza ni mke wa mtu halafu anahitaji faragha yake na kupata muda wa kutafakari mambo ya nchi...
  13. B

    Polepole katika uso wa, Horace Kolimba

    Mnamo 1990, aliapishwa kuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), akichukua nafasi ya Rashidi Kawawa, na kuhudumu hadi 1995 . Kati ya uteuzi wake, Rais Ali Hassan Mwinyi alimteua kuwa Waziri wa Mipango mnamo 1995, na pia alikuwa Mbunge wa Ludewa kupitia tiketi ya CCM . 🗣️ Mzozo wa “CCM...
  14. Nilidhani haya Mauaji ya kutumia Pikipiki na Muuaji kujificha Uso yalishaisha Kitambo tangia alipouwawa Yule Mtu wao Uwanja wa Ndege miaka iliyopita!

    Nimetoka kutizama Video Clip ya East Africa TV na kuona kuwa Jana maeneo ya Kinondoni Makaburini Mtanzania mwenye Asili ya Uturuki kauwawa kwa Kupigwa Risasi na Mtu aliyepanda Pikipiki mida ya Mchana kabisa huku Watu wakiona kisha alipokamilisha huo Uuaji wake akaangalia kushoto na kulia kisha...
  15. H

    Hakuna Jipya Juu Ya Uso Wa Nchi. Kumbe Machawa Walikuwepo Tangu Kale, Na Walikwishalaanika

    Siku zote tumekuwa tukisema wale machawa wa mama mama mama, ni watu waliokosa akili maana hakuna mwenye akili anayeweza kukubali kuwa chawa, kumbe machawa wamekuwepo tangu kale, na Bwana, Mfalme wa Mbingu na nchi alikwishawalaani. Leo nimelifikia neno la Mungu linaloweka wazi kuwa uchawa ni...
  16. Bado hakuna wakuifuta Israel kwenye uso wa dunia

    📜 BADO HAKUNA WAKUIFUTA ISRAEL KWENYE USO WA DUNIA 🌍 Katika historia yote ya mwanadamu, taifa la Israeli limekumbwa na majaribu mengi – vita, maangamizi, uhamisho na chuki ya mataifa mbalimbali. Hata hivyo, taifa hili limeendelea kusimama imara, likithibitisha kwamba mpango wa Mungu juu ya...
  17. Tunasubiri Iran iifute Israel kwenye uso wa dunia kama ilivyo ahidi

    Kwa style hii bado tunasubiri iran iifute Israel kwenye uso wa dunia kama ilivyo ahidi chini ya kiongozi wao mkuu wa kidini ayatolah al kamenei. Viongozi wa kuu wa kijeshi na wanasayansi wakuu wa nyuklia na teknolojia ya maswala ya silaha na ulinzi wa anga huko iran mpaka sasa wamesha uwawa...
  18. P

    Wakili wa Jamhuri leo uso haukuwa na nuru

    Wanachokifanya wanajua wenyewe. Ila mimi nilikuwa namuangalia usoni, hakuwa na nuru kabisa. Je, anafanya kitu ambacho anajua siyo sahihi? Jibu tumwachie yeye, naowawakilisha na Mungu wake.
  19. Paji la uso kutetemeka na kuwasha umaanisha nini?

    Habari wakuu Hii hali imejitokeza baada ya kuanza kufanya tahajudi,sijajua inamaana gani ktk mabadiliko ya mwili. Ufafanuzi tafadhali
  20. S

    Kwa jinsi inavyoshughulika na wageni wanaokuja kwenye kesi ya Lissu, serikali ya CCM inajikaanga kwa mafuta yake yenyewe kwenye uso wa kimataifa

    Ukichukulia kwamba tayari Ubalozi wa Marekani nchini na Bunge la Ulaya tayari wametoa kauli kuhusu serikali ya Samia kufuata haki za binadamu na utawala wa sheria, na haya mambo yanayotokea nchini kuhusu hawa wageni mashuhuri wanaokuja kwa ajili ya kesi ya Lissu, nashindwa kuelewa ni mtu mwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…