usiku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Shaffi Dauda, umetumia vigezo gani unaposema Samatta atatazamwa/kufuatiliwa na watanzania milioni 4 leo usiku?

    Mimi ni mpenzi mkubwa wa kituo cha redio cha Talk Sport cha Uingereza ambacho hupasha habari za michezo pekee. Tangu nianze kusikiliza kituo hicho cha redio miaka zaidi ya 15 ilopita nimekuwa ni mfuatiliaji mkubwa sana. Katika kipindi cha leo mchana ambacho kilikuwa kikiongozwa na watangazaji...
  2. Uchunguzi dhidi ya Trump: Rais andika barua ya hasira kwa Spika Pelosi usiku wa kuamkia siku ya kura

    Rais Donald Trump na Spika Nancy Pelosi Rais Donald Trump ameukosoa uchunguzi unaokaribia kufanyika kwa kuandika barua kwa Spika Nancy Pelosi, akimtuhumu kutangaza vita vya wazi dhidi ya Demokrasia ya Marekani. Rais Trump anakabiliwa na kura ya uchunguzi itakayopigwa leo kuhusu madai kwamba...
  3. Ajinyonga baada ya kuamka usiku na kukuta mkewe ametoroka nyumbani

    Gurian Adolf-Sumbawanga WATU wanne wamefariki dunia katika matukio tofauti wilayani Nkasi mkoani Rukwa, likiwemo la mwanaume kujinyonga kwa kutumia kamba ya nailoni baada ya kugundua mke wake amemtoroka usiku na kwenda kwa mwanaume mwingine. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa, Justine Masejo...
  4. M

    Hivi usafiri wa Dodoma - Dar usiku ulishaanza?

    Naomba kufahamu taarifa hii. Kuna kipindi ilisemekana mabasi yameruhusiwa kusafiri usiku. Je Dodoma - Dar upo? Ni saa ngapi na magari gani yanaroute hiyo? Nawasilisha.
  5. Usiku mwema

    Hii ndio thread ya mwisho baada ya kuhangaika mchana mzima kwenye thread tofauti, humu ndiyo pakumalizia na kuagana. Sina jipya wala la ziada, ninavyomaliza andika hi thread mjue kuonana kesho tena. Komenti yangu ya mwisho itapatikana thread hiiii, kama ifuatavyo. "usiku mwemeni woteeee"...
  6. India yafanya jaribio la usiku la kombora la Agni II lenye uwezo wa kubeba silaha za nyuklia

    Afisa wa Ulinzi alisema kuwa, hii ni mara ya kwanza kwa kombora hilo kufanyiwa majaribio nyakati za usiku India siku ya Jumamosi ilifanikiwa kufanya jaribio la usiku la kombora la 'Agni-II', kombora la masafa ya kati la ardhini kwenda ardhini lenye uwezo wa kinyuklia kutokea katika kisiwa cha...
  7. U

    Hatma ya ndoa yangu leo usiku imekuwa hatari kwa maisha yangu

    Labda kwa kuanza tu niwasalim wote na nawaomba muwe miongoni mwa mtakaookoa nafsi yangu iliyojaa maumivu yasiyo na kifani Nilianza kuishi na mke wangu huyu 2008 kabla ya ndoa na tukabahatika kupata watoto wawili na mwaka 2018 january tukaamua kubariki ndoa Na kilichokuwa kinachelewesha ndoa...
  8. Zijue faida kabambe za kulala mtupu/uchi wakati wa usiku

    Zijue faida 11 za kulala uchi au mtupu nyakati za Usiku UMEZOEA kulala na nguo nyepesi za kulalia? Au unahisi vizuri zaidi ukilala na nguo nzito laini za kulalia? Watu wengi hujifunika mashuka na wengine hujifunika mablenketi kabisa.Katika makala haya, utakufumbuliwa macho uanze kulala...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…