Maumivu ya sikio, kupoteza kusikia, uchafu wa sikio (otorrhea), mngurumo na kuvuma kwa sikio (tinnitus), na kizunguzungu (vertigo) ni dalili kuu za matatizo ya sikio.
Mbali na masikio, pua, koo ya hewa (nasopharynx), na mashimo ya hewa karibu na pua (paranasal sinuses), meno, ulimi, tonsils...