Kwa nini watu wengi wa mataifa yanayopinga ushoga hasa kutoka Africa na Asia huwa wanakimbilia mataifa yanayoruhusu ushoga badala ya yale yasiyoruhusu ushoga?
Mfano Ghana imepitisha Sheria kali za ushoga nchini kwake ila raia wake wamejazana kama wahamiaji halali na haramu Africa Kusini hadi...
Ghana imepitisha moja ya sheria kali zaidi barani Afrika dhidi ya ushoga baada ya Bunge kuidhinisha Muswada wa Haki za Kijinsia za Binadamu na Maadili ya Familia wa mwaka 2025.
Sheria hiyo inaweka adhabu ya kifungo cha hadi miaka mitatu kwa vitendo vya ushoga, na hadi miaka mitano au zaidi kwa...
Huu sio wito wa majadiliano, huu ni msimamo na ujumbe unaolenga kuhamasisha jamii kuhusu suala la ushoga.
Inakuwaje ushoga uendelee kushamiri mitaani huku wahusika wakijinasibu mbele ya macho ya jamii? Wapo wanaoamini kuwa hali hii imeendelea kuvumiliwa kupita kiasi na kwamba jamii inapaswa...
Kama sio kweli basi badili Body movements
======
Edwin Odemba: Gazeti la Tanzania Daima, toleo la 421 la tarehe 20 April, mwaka 2019, liliandika kwenye ukurasa wake wa mbele kabisa ya kwamba Shoga Suphian awachanganya Zitto na Maalim Seif, na ikawekwa picha yako. Hatukuona mara popote...
hili jambo jamii haitaki kulisema sijui inaona aibu kuliongelea kwa vile wenye indusrty yao watasema hakuna ushahidi wa kisayansi lakini amini usiamini matumizi ya porn yanaweza kusababisha kile kinachoitwa "escalation", ambapo mtumiaji huanza na maudhui ya kawaida lakini baada ya muda...
Yasemavyo maandiko kuhusu ushoga
Ushoga ni nini
Ushoga ni ile hali ya mwanaume au mvulana kujihusisha kingono na mwanaume au mvulana mwingine kinyume na maumbile.
Uhusiano wa jinsia moja katika kipindi cha mababu katika Biblia
Mapenzi ya Mungu kuhusu ngono ya binadamu ni nini hasa? Mapenzi...
DEmocrat ya sasa sio ile ya wakina clinton na kurudi nyuma.
Ni chama kilichogeuka kuwa na sera ambazo zinazopinga utamaduni wa kimagharibi.
Ni chama kilichogeukia usasa wa ushetani na matakwa yasioendana na utamaduni chanya wa binadamu.
Ndio maana leo tunaaona vikundi vinavyofaziliwa na...
Nampongeza sana Waziri Dr Dorothy Gwajima ( wazara yake siijui vyema)
Kwa kuthubutu kupinga uchafu wa ushoga ambao ni kinyume cha maadili ya Mtanzania na mtu mweusi Kwa ujumla
Ushoga na usagaji ni kinyume cha nature yaani maumbile
Vita dhidi ya agenda ya ushoga ni ngumu mno
Nadhani hapa...
Kwako Mama Dorothy Gwajima. Natumai unaendelea vizuri na majukumu yako.
Hivi Mama Gwajima, suala la ushoga hapa nchini Tanzania unaliona linavyozidi kasi au hulioni? Nakuelekezea wewe hii mada nikiamini kabisa ni eneo unaloliweza vilivyo tu, ila siku hizi umelikalia kimya, kama halikuhusu...
Yes! nimesoma kitabu chote kimenibariki sana kwa Neno la Mungu, sijaona hata Maneno au habari mbaya zilizo na viashiria vya ushoga hakika. Nimebaki najiuliza waliompa taarifa Mkuu wa mkoa JE ni rangi ya nje ya kitabu au rangi ya mipira maana pia Haina rangi za upinde wa mvua (Rainbow)
Kwa...
Nini chanzo cha kusambaa Kwa ushoga Tanzania? Jee ni:
1. Umaskini
2. Kupungua kwa ushawishi wa dini kwa jamii?
3. Malezi ya hovyo kwa watoto?
4. Maendeleo ya teknolojia ya kupashana habari?
5. Kufuata Mila za mataifa ya nchi nyingine.
Jee tabia hizi pia zimeathiri mahusiano kati ya wanaume...
Baada ya Chief Odemba kumbananisha Zitto Kabwe na kuambiwa hadharani aping ushoga, kulingana na maadili ya Tanzania na Nchi nyingi za Afrika, watu walitegemea atapinga ushoga kwa kauli moja tu. Badala yake alikwepa na kusema yeye anaheshimu faragha za watu. Jambo lililotafsiriwa kama...
Kuna wapuuzi wanadhani hatuna akili kama wao. Tunapolalamikia ukiukwaji wa haki za binadamu, utawala mbovu usiofuata misingi ya sheria, ubadhilifu wa mali za umma, rushwa, utekaji na mauaji ya watanzania wasio na hatia, wanatuambia Marekani na "wazungu" wakishirikiana na baadhi ya watu waliopo...
Mtandao wa TikTok umetawaliwa na maudhui ya Ushoga
Umekuwa ni mtandao uliojaa maudhui ya vijana wa kiume wanaojihusisha na ushoga wakijipamba, kunengua viuno na kuonesha miondoko ya kike
Je umegeuzwa kuwa dating website ya mashoga?
Kinachonipeleka TikTok ni kupata elimu ya Magari
Baada ya...
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha National Reconstruction Alliance (NRA), Hassan Almas, ameahidi kuwa iwapo chama chake kitapewa ridhaa ya kuongoza nchi, serikali yake itatungua sheria kali dhidi ya mapenzi ya jinsi moja ndani ya siku 30 baada ya kuundwa kwa...
Habarini wana jukwaa!!! Tujikumbushe tu oktoba hakuna uchaguzi utayeyuka shwaaa🤓
Nina shemeji yangu wa miaka ishirini ambaye yuko chuo cha uuguzi likizo hii yupo kwangu
Anapenda mitandao ya kijamii balaa hasa hii ya kuitwa Tiktok, toka likizo ianze dogo kawa mtu wa kuingia live...
Zipo apps zinaunganisha wapenzi wa jinsia moja katika eneo walilopo. Humo wamejaa wanachuo, bodaboda na mabazazi. Dakika 5 nyingi mtu huyu hapa anatwetwa kama Una geto ununue na bia/konyagi uweke geto ndo basi tena. Yaan daily kama wanaambiana. Ni hatari ndugu zangu vijana wamekwisha/oza.
Hadithi zake zina mafundisho ila leo ameanza hadithi mpya. katika pitapita zangu nimekutana nayo ila maudhui yake hayendani na tamaduni zetu,
Mtoto wa form one ana rafiki mzungu mara wana pigiana simu video call waogeshane. Kwa video call mzungu na uyo kijana wote wakiume ata kama una...
NB: Maslahi ya uzi; Hii mada nimeombwa niiandike na mdau wa hapa JF ambaye ni mwathirika wa muda mrefu lakini sasa anaendelea vema
Yeye ni shoga kwa ajali na mkewe ni msagaji kwa ajali pia kutokana na mazingira ya makuzi na elimu.. Wote walizaliwa bila hizo kasoro.. Mwanaume akafundishwa na...
Inaarifiwa kwamba Suala la Ushoga limeanza kuongezeka kwa kasi Mkoa wa Mara ambapo Kuna danguro la ushoga, huku baadhi ya watumishi wa umma wakiwemo kwenye kundi la ushoga.